tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ACT, Dorothy Semu akabidhiwa uenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD)

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, amekabidhiwa uenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kipindi cha mwaka mmoja, akichukua nafasi hiyo kutoka CHADEMA baada ya chama hicho kumaliza muda wake. Kwa mujibu wa Katiba ya TCD, chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  2. JamiiForums Tanzania TANZANIA NBC Premier League : Mbio za Top Scorer

    Mpaka sasa hivi msimamo wa first ten huko hivi Yanga ina wawakilishi wanne; JKT ina wawili, Azam, Simba, Dodoma jiji na Namungo wana mmoja mmoja kila mmoja.
  3. JamiiForums Tanzania Bilionea Motsepe na ARC waondolewa kwenye kesi ya Tsh. Bilioni 505.7 ya Mradi wa Graphite wa Tanzania

    Mahakama Kuu ya Gauteng imeamua kuwa kampuni ya uwekezaji ya Patrice Motsepe, African Rainbow Capital (ARC), haiwezi kuwajibishwa katika kesi ya dola milioni 195 (Tsh. Bilioni 505.7) iliyofunguliwa na kampuni ya Marekani, Pula Group. Mahakama hiyo pia ilibainisha kuwa ARC haiwezi kubeba lawama...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meli yenye Bendera ya Kenya yazuiliwa Tanzania, KMA yathibitisha uchunguzi unaendelea

    Mamlaka ya Usafiri wa Majini Kenya, Kenya Maritime Authority (KMA), imethibitisha kuwa meli yenye bendera ya Kenya imezuiliwa nchini Tanzania, huku uchunguzi ukianzishwa kubaini chanzo cha tukio hilo. Katika taarifa rasmi, KMA ilisema meli hiyo, inayojulikana kama M/V Sea Mfalme, inashikiliwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Watanzania tumeamua kujifanya hatuelewi Polepole na Tundu Lissu wapo walipo kwa sababu ya kutupigania sisi na Tanzania?

    Inasikitisha sana. Ona kwamba Pole Pole na Tundu Lissu, hadi leo, wanashikiliwa na Polisi kwa sababu ya kutupigania Watanzania na Tanzania kama nchi. Sasa kweli Watanzania tumeridhika na hali ya hawa watu wawili muhimu kuwekwa ndani na sie tukaona ni sawa tu, hatutaki kufanya lolote kuwapigania...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuna maamuzi mengine ya majaji wa Tanzania hata kama wewe sio mwanasheria unaona wazi wanakosea - labda ni maagizo ya juu

    Ifikie mahali mahakimu na majaji nchini mune aibu kupelekeshwa kamakondoo wa kuchinjwa. Kuna mamamuzi mengine ya kimahakama ambayo hata sisi tusio wanasheria tnaona wazi mnafanya makosa - kwa kutumia common sense tu, wala sio elimu ya sheria. Sasa ifikie wakati mahakimu na majaji mjitambue...
  7. JamiiForums Tanzania Rasmi, Mashindano ya Miss Tanzania sasa kuendeshwa na Lamata Village Entertainment

    Mkurugenzi wa kampuni ya toka The Look Ltd Basila Mwanukuzi amekabidhi umiliki wa uandaaji wa mashindano ya Miss Tanzania kwa kampuni ya Lamata Village Entertainment inayomilikiwa mwongoza filamu nchini Leah Mwendamseke 'Lamata'. Aliyekuwa mmiliki wa Miss Tanzania, Basilla Mwanukuzi (kulia)...
  8. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ndiye kidume pekee hapa Tanzania; Gesi yake, media yake, dhahabu yake, Mbuga za wanyama zake!

    Pia soma:Uhuru wa habari umepigwa kitanzi; Rostam Aziz anunua gazeti la Mwananchi
  9. JamiiForums Tanzania Millya: Tanzania itaendelea kutekeleza wajibu wake mkuu wa kusukuma juhudi za kuanzishwa EAC

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, James Ole Millya amesema Tanzania ikiwa mwanachama mwaminifu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), itaendelea kutekeleza wajibu wake mkuu wa kusukuma juhudi za mtangamano ili kufikia malengo ya kuanzishwa kwa jumuiya...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania ipo juu kwa utajiri wa rasilimali kuliko UK according to chatgpt, Hivi hii kitu ni kweli?

    Je kati ya Tanzania vs UK ipi nchi yenye rasilimali nyingi za asili zaidi? Kwa ujumla, Tanzania ina rasilimali za asili nyingi zaidi kuliko Uingereza (UK). Kwa nini Tanzania ina rasilimali nyingi zaidi? Tanzania ina: Madini mengi (dhahabu, almasi, tanzanite, nickel n.k.) Ardhi kubwa ya...
  11. JamiiForums Tanzania Je, AI Itachukua Kazi Yako? Ukweli Kuhusu Akili Bandia na Ajira Tanzania

    Akili Bandia (Artificial Intelligence – AI) imeanza kubadilisha namna dunia inavyofanya kazi. Kutoka kwenye biashara, benki, kilimo, hadi elimu, mashine na mifumo ya kompyuta yenye uwezo wa kujifunza sasa zinaweza kufanya baadhi ya kazi ambazo zamani zilifanywa na binadamu. Hali hii imezua swali...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Kenya: Serikali ya Tanzania inaniwinda sababu haipendi tunavyofanya

    Serikali ya Tanzania inaniwinda mimi binafsi, kwasababu haipendi tunafanya na tunasema ukweli, Serikali ile ya Tanzania ni ya kiimla haikuchaguliwa na Wananchi wa kweli, ni serikali ambayo imeiba kura na wakaua watu. Sisi kama Maskani tukiangazia wanatuwinda, wametutumia mpaka mademu...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuingilia Uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC): TOC ijiandae kufungiwa na IOC

    "Waacheni wananchi watoe yaliyomo vifuani mwao kwa uhuru. Kwa kufanya hivyo itatusaidia sisi kama Serikali kwa namna mbili; Kwanza, tutajua wananchi wetu wanafikiria nini kuhusu jambo fulani. Pili, itatusaidia sisi kama Serikali iwapo tumekosea tuweze kujisahihisha na kuendelea kuwakelea...
  14. JamiiForums Tanzania BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA (CMSA, DSE, WIZARA YA FEDHA)

    BARUA YA WAZI KWA WADAU WA MASOKO YA MITAJI TANZANIA Kwenda kwa: Capital Markets and Securities Authority (CMSA) Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) Wizara ya Fedha Tanzania YAH: Maboresho ya Sheria, Teknolojia ya Trading, na Vigezo vya Uandikishaji ili Kukuza Soko la Mitaji Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Gari toka Japan linauzwa Mil 5.6 hadi Tanzania, halafu TRA wanataka Mil 9.8 cash!

    Kumiliki gari ni anasa. Kuna mtu anavipenda sana vi BMW MINI sasa tukawa tunacheki cha 2013 tumekielewa. Tukapata cheap kabisa Mil 5.6 Bila negotiations. Tukajua TRA itacheza kwenye Mil 5 hivi au 6. Aisee. Nadhani ataenda kununua pikipiki ya umeme uyu.
  16. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA diaspora seeks talks with Donald Trump and rights bodies over alleged abuses in Tanzania and the release of Tundu Lissu

    Look for any alternatives to secure release of Tundu Lisu and thereafter other issues of democracy in Tanzania to follow such as Katiba Mpya, Tume Huru ya Uchaguzi and many others. Finally to bring to justice those involved in October 29th 2025 massacre of innocent Tanganyikans Najua meeting...
  17. JamiiForums Tanzania Tuseme Ukweli: Tanzania sasa kila idara ni CCM kuendeleza chama

    Nimekaa mda mrefu na kutochangia JF.Ila leo shauku limenifika. Hivi tanzania ya leo tuseme usalama,JwTZ,TCRA na wengine au vinara wazuri wa CCM ambao jeshi la polisi wanajitafakari kweli. Mfano leo tunaona ushambulizi wa vita vya iran na Israel hivi hawa watu wanajua lolote zaidi ya kusema...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Mauritius to Further Strengthen Strategic Cooperation

    Tanzania, Mauritius to Further Strengthen Strategic Cooperation Tanzania and Mauritius have agreed to continue strengthening their strategic cooperation with the aim of promoting trade, the blue economy, and shared development. This was highlighted during a meeting between Tanzania’s Minister...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Mauritius Kuendelea Kuimarisha Ushirikiano wa kimkakati

    Tanzania, Mauritius Kuendelea Kuimarisha Ushirikiano wa kimkakati Tanzania na Mauritius zimekubaliana kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kwa lengo la kukuza biashara, uchumi wa buluu na maendeleo ya pamoja. Hayo yamejitokeza wakati wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Katika watu useless Tanzania ni Hawa wakuu wa mikoa na wilaya, wabunge wa kuteuliwa na viti maalum ni vyawa rasmi wa Rais katiba mpya tuwakatae

    Hawa ma rc na ma DC, Nyerere aliamua kuwarithi kutoka katika mifumo ya kikoloni. Hawa wananguvu kuliko mbunge, hawa ni ma puppet wa raisi hawana kazi nyingine.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…