tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Neno hili likumbuke sana ewe mfuatiliaji wa siasa za Tanzania

    Nimeona niseme hapa jambo muhimu. Iwapo kama siyo Mungu hakuna anayeweza lolote, basi aliye juu aangalie asijeanguka. Ujumbe kwa watawala upo katika Ufunuo wa Yohana 3: 11. Naam atakuja kuwapatiliza kila mtu kwa kipimo alichowajazia wengine. Mungu ailinde Tanzania kwa kila pito tunalopita...
  2. JamiiForums Tanzania TOP 10: Tanzania ni kati ya Nchi 10 za Afrika zinazoongoza kwa kupokea Misaada kutoka Marekani

    Takwimu za World Population Review kwa kipindi cha takriban miaka 5 Nchi za Afrika pekee zinakadiriwa kupokea 32% ya misaada ya Kifedha kutoka Marekani, 31% ni Nchi za Mashariki ya Kati na 25% katika Nchi za Asia. Nchi 5 za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania ni kati ya Nchi 10 Barani Afrika...
  3. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika ya Haki za Binaadamu yapinga Adhabu ya Kifo kuendelea kutolewa Tanzania

    Kwa mara nyingine Tena, Mahakama ya Africa ya Haki za Binaadamu (African Union Court of Human and People's Rights) imetoa tamko juu ya adhabu ya kifo iliyopo kwenye sheria za makosa ya jinai ya Tanzania. Tamko hili limetolewa June 2023 wakati wakifanya mapitio ya kesi ya Bwana Thomas Mwingira...
  4. JamiiForums Tanzania Kenya yavunja rekodi ya deni la Taifa mpaka kuvunja sheria, Tanzania tumejipangaje?

    Utawala wa William Ruto umeshutumiwa kutokana na mwenendo deni la Taifa nchini Kenya huku akiwa ndiye Rais aliekopa pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka mmoja tangu Taifa la Kenya liumbwe. Deni hilo limeongezeka kwa $ bilioni 10.8 kufikia $ bilioni 70.75 kulingana na takwimu zilizotolewa Jumanne...
  5. JamiiForums Tanzania 93.6% ya Watanzania wote walizaliwa baada ya Muungano

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Muungano wa Nchi mbili huru za Tanganyika na Zanzibar. Muungano huu ulioasisiwa na viongozi wakuu wa nchi hizo ambao ni Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyekuwa Rais wa kwanza Tanganyika na Sheikh Abeid Aman Karume aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar na...
  6. JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) awasilisha Hati za Utambulisho

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Sheikh Mohammed Bin Zayed Al Nahyan katika Ikulu ya nchi hiyo iliyopo Mjini Abu Dhabi...
  7. JamiiForums Tanzania Umerogwa sio bure: Unang'ang'ania Dar es miaka mingi, kula kwa shida, kulala kwa shida, unasafiri kwa shida huku kuna ardhi Tanzania haina mwenyewe

    Bila salamu nawapa ujumbe wenu enyi watu. Mnaweza kusema kuwa najiinua au nawakashifu ila Mimi siko huko. Ni upendo tu. Waarabu wanasema fikisha ujumbe hata kama ni mchungu. Miaka 5 inatosha kabisa mtu kupima bahati ya maisha Dar es salaam au mahali popote. Unaishi Dar miaka zaidi ya 5 huna...
  8. JamiiForums Tanzania Medical Officer (03 Posts) at MDH

    Position: Medical Officer (03 Posts) Location: Bukoba RRH & Nyakahanga Hospital Reports to: Facility In–charge Duties and Responsibilities Providing clinical care to HIV patients in the Clinic including: Management of Opportunistic Infections Staging of HIV patients for Antiretroviral...
  9. JamiiForums Tanzania Digital Implementation and Support Officer at Exim Bank Tanzania

    Position: Digital Implementation and Support Officer Reporting to: Assistant Manager – Digital Product Design and Support Department: Information Technology and Digital Transformation Region: Dar es Salaam Hours of Work: 8am – 5pm Monday to Friday. 8am – 1pm Saturdays. Additional hours as...
  10. JamiiForums Tanzania Ubepari wa Kigeni Katika Uchumi wa Tanzania Leo

    Habari ya siku, wasomi wa kweli, nguvukazi yetu na watu mlio Imara. Poleni na shughuli na purkushani za hapa na pale. Mola awajaalie mpate afadhali zaidi. Moja kwa moja kwenye Mada: Pamoja na Ubepari wa kibinafsi na mabwanyenye wa kienyeji hapa Tanzania, kuna utaratibu wa uzalishaji mali wa...
  11. JamiiForums Tanzania Logistics Associate G6 (Operations Documentations & planning) at WFP Tanzania

    Position: Logistics Associate G6 (Operations Documentations & planning) Type of contract: Fixed Term Appointment Duty station: Dodoma Liaison Office Duration: 12 months Standard Minimum Qualifications Education: Completion of secondary school education. A post-secondary certificate in the...
  12. JamiiForums Tanzania Logistics Assistant G5 (Commodity Accounting & Reports) at WFP Tanzania

    Position: Logistics Assistant G5 (Commodity Accounting & Reports) Type of Contract: Fixed Term Appointment Duty Station: Dodoma Liaison Office Duration: 12 months Standard Minimum Qualifications Education: Completion of secondary school education. A post-secondary certificate in the related...
  13. JamiiForums Tanzania Key Merchant Sales, Merchant Acquiring at Transsnet Financial Tanzania Ltd

    Position: Key Merchant Sales, Merchant Acquiring Duties and Responsibilities: Onboarding new Merchants with Company product and services. Train merchants on the benefit of our products, QR, POS Terminal, USSD, LIPA NAMBA, etc. Discover new business opportunities – including new markets, growth...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania aliyevurunda nchi ya SADC ni nani? Rais Samia apangua mabalozi akiwepo mmoja kutoka SADC

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida rais Samia ameeleza kupokea ombi kutoka kwa mmoja wa marais wa nchi za SADC akimwomba rais Samia ambadilishe balozi wa Tanzania aliyeko nchini “kwake” kutokana na utendaji wake mbovu. “Nilishakutana na Rais mwenzangu ndani ya nchi za kiafrika, ndani ya Sadc...
  15. JamiiForums Tanzania Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Unapozungumzia masuala ya kiuchumi, huwa mara zote tunaangalia Zaidi ‘numbers’. Kwenye uchumi hakuhitaji porojo na mihemko. Waweza kumchukia mtu lakini kamwe huwezi kujidanganya kwamba eti hakuna lolote alilofanya, kwasababu namba huwa hazidanganyi. Lengo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye mamlaka ya kutoa tamko la kiserikali Tanzania?

    Nimeona tamko la Nape, nikajiuliza yeye anayo mamlaka yakutoa tangazo kama lile? Kwanini kukamatwa na kuwekwa mahabusu watuhumiwa iwe jukumu la Nape kutangaza? Mfumo wa serikali upo vipi?
  17. JamiiForums Tanzania Kabla ya DP WORLD Tanzania ilikuwa imetulia, Sasa Tanganyika inalia😭

    Hili zimwi la Dp world ni la Dubai, lirudi Dubai. Bora amani kuliko hela za Mwarabu. Viongozi wasitumie vyeo vyao kufanikisha watakayo, kwa manufaa yao na familia yao na ndugu zao. Hili la Dubai ni mradi wa watu? Je, Tulio wakabidhi nchi wametusaliti? Amani na utulivu ni muhimu kiliko...
  18. JamiiForums Tanzania Senior Restricted Funding Compliance Advisor at WaterAid

    Position: Senior Restricted Funding Compliance Advisor Contract: Permanent, Full time Location: The role can be based anywhere that WaterAid has a country office, subject to right to work eligibility in the respective countries. Priority will be given to candidates based in countries within...
  19. JamiiForums Tanzania Assistant Storekeeper G3 at WFP

    Position: Assistant Storekeeper – G3 Type of Contract: Fixed Term Appointment Duty Station (City, Country): Dodoma Liaison Office Duration: 12 months Standard Minimum Qualifications Education: Completion of secondary school education. Experience: At least 3 years of logistics operations...
  20. JamiiForums Tanzania Board Directorship at Institute of Directors

    Position: Board Directorship The right candidates will have the minimum of the following profile: General An loDT member (or a commitment to qualify within 6 months of the appointment) Commitment to the loDT mission, values and objectives Meets the minimum requirements for a Board member as...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…