tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Hebu tuitazame ZESCO ya Zambia na TANESCO ya Tanzania kisha tujiulize what went wrong

    1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania. 2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700. 3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61. 4. Zesco ama Zambia...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania ni moja ya nchi zisizo na furaha duniani

    Leo katika pita pita zangu mitandaoni, nikakutana na post ikionyesha kwamba Tanzania ni moja ya nchi zisizo na furaha duniani. Hivi hawa wachambuzi wanatazama nini hasa mpaka wanatoa hizi takwimu?
  3. JamiiForums Tanzania Helium Tanzania: Chanzo, Utafiti, Faida, na Mwelekeo wa baadaye

    .Mradi wa Helium Tanzania: Chanzo, Utafiti, Faida, na Mwelekeo wa Baadaye. Utangulizi: Helium, gesi adimu isiyoweza kuchoma, isiyo na harufu, isiyoonekana, na isiyo na ladha, imekuwa ikipata umaarufu katika sayansi na viwanda kwa zaidi ya karne moja. Lakini, je, wewe unajua kwanini gesi hii...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa sana na waandishi wa Sheria Tanzania (Draftsmen)

    Hivi wasomi wa miaka hii mnasomeaga shule Gani.?Au shida ni hizi English medium zinaboronga elimu yetu. Yaani Kiingereza hatujui.. Kiswahili hatua! Wakuu naomba msome wenyewe kiambata hiki.
  5. JamiiForums Tanzania Mawazo binafsi: Kwanini Tanzania tusiahirishe Uchaguzi Mkuu wa 2025 hadi mwaka 2026 ili kupata Katiba mpya?

    Serikali imepanga kutoa elimu ya katiba. Inaonyesha hadi mwaka 2025 katiba Mpya itakuwa haijapatikana kwa sababu elimu itakuwa inaendelea kutolewa. Sasa, kwanini Uchaguzi Mkuu usiahirishwe Ili ufanyike mwaka 2026 tukiwa na katiba Mpya?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sheria mbaya zimechangia ukosekanaji wa Dola Tanzania

    Sheria mbaya za wakati wa Magufuli zimechangia sana ukosefu wa dollar 1. Vitendo vya kuingiza jeshi na Polisi kwenye biashara ni kitendo kibaya. Kitendo cha kuvamia maduka ya pesa za kigeni karibu yote na kuchukuwa pesa bila amri ya mahakama, bila kuwa na kesi za wizi kulitoa mwanya kwa wezi...
  7. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tanzania Watembelea Ubalozi Misri

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA WATEMBELEA UBALOZI MISRI KATIKA KUPIGA KURA NCHI MWENYEJI MASHINDANO YA AFCON 2027 Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Septemba 25, 2023 ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Ubalozi Cairo nchini Misri kabla ya siku ya...
  8. JamiiForums Tanzania Benki Kuu Tanzania: Mlioficha Dola zirudisheni kwenye mzunguko

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini. Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa nchi ya matukio; hongera CCM kwa kufaulu kujenga Taifa la namna hii

    Wiki chache zilizopita tulishuhudia mjadala mkali kuhusu bandari, baadaye kukaibuka tetesi za rupia kupenyezwa kwa baadhi ya wakazi wa Ufipa ili wajiondoe katika mjadala huu. Dkt. Slaa, Dkt. Nshallah, Mwabukusi, Tundu Lissu, TEC na wananchi wengine wakaendelea kutoa elimu kuhusiana na kile...
  10. JamiiForums Tanzania Internal IT Sales officer (one position) at Right Click Solutions Tanzania September, 2023

    Position: Internal IT Sales officer (one position) Duty Station: Mwanza-Nyamagana Job Description: · Issue Proforma Invoices and follow up for payment · Educate customers on how our products and solutions can benefit them. · Keep customers informed on their ordersand Manage...
  11. JamiiForums Tanzania Receptionist at WWF September, 2023

    Position: Receptionist Reports to: Operations Manager Duty Station: Dar es Salaam Supervises: None 1. Specific Duties: Answer telephone and direct calls to relevant destinations in the office and outside the office Take and relay messages to relevant staff and provide information to callers...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya licha ya kuwa namba 3 kwa kuchangia Uchumi Tanzania ila hakuna hata Mpango wa kujengwa stendi ya Kisasa?

    Majiji yote makubwa na Mikoa Maarufu Ina Standi Kuu za Kisasa kabisa na Sasa Arusha inaenda Kujengwa Standi Kubwa lakini hakuna ambae anataja Mbeya. On top of that Barabara za mitaani ndio kabisaa ni vumbi tupu.Nikajua Tactic itakuja na package nzuri ya Barabara za mitaa kumbe hole,eti Km 12 ni...
  13. JamiiForums Tanzania Administrative Assistant at U.S. Embassy September, 2023

    Announcement Number: Dar es Salaam-2023-049 Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam Position Title: Administrative Assistant (All Interested Candidates) Open Period: 09/20/2023 -10/04/2023 Format: MM/DD/YYYY...
  14. JamiiForums Tanzania Finance and Administration Officer at Transform Trade September, 2023

    Post: Finance and Administration Officer Location: Rufiji; Tanzania Contract Period: Fixed Term Contract (1 year- renewable contract upon satisfactory performance) Role Finance and Administration Officer. People, Prosperity and Planet Project. (Annual- renewable contract upon satisfactory...
  15. JamiiForums Tanzania Accountant at Jumla Africa September, 2023

    Position: Accountant Location : Arusha Tanzania Position Description Preparing and reconciling daily sales report and post to the system. Analyzing, vouching and verifying all retirements from the Team leaders and other staffs and post to the system. Preparing weekly transport allowances and...
  16. JamiiForums Tanzania Administration Assistant – Record Management at VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd (VFT MFB) September, 2023

    Work reference no: 009/2023 Position: Administration Assistant – Record Management Supervisor: Administration and Security Manager Responsibility: Safeguard the Bank’s institutional memory and to ensure the management of all archives, including documents of historical value and vital...
  17. JamiiForums Tanzania Senior Risk Officer at VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd (VFT MFB) September, 2023

    Work reference no: 007/2023 Position: Senior Risk Officer Supervisor: Head of Risk and Compliance Responsibility: The purpose of this role is to establish, implement and enforce a robust bank wide Risk Management Framework and systems covering Legal and regulatory. Ensure risks facing the...
  18. JamiiForums Tanzania Field Officer Supervisor at VisionFund Tanzania Microfinance Bank Ltd (VFT MFB) September, 2023

    Work reference no: 008/2023 Position: Field Officer Supervisor Reporting to: FAST Product Manager Responsibility: Setting/Agreeing targets with Field officers Agreeing daily activity plan with Field officer Monitor Field Officer Performance on regular basis. Continuously coach and train FOs...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Je, Spika mstaafu Job Ndugai, ana sifa ya kugombea kuwa Rais wa Tanzania 2025?

    Nimejaribu kufuatilia msimamo wa Job Ndugai ni kama wa JPM, ni mzalendo na hapendi Nchi kuombaomba misaada au kukopa sana kutoka nje, badala anapenda kujitegemea. Natafakari kama CCM itampitisha kugombea Urais 2025, je ana sifa ya kuwa Rais wa Tanzania?
  20. JamiiForums Tanzania Afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Botswana anaonekana mitaani na mahakamani mkoani Kilimanjaro akizurura na gari la Ubalozi!

    Ninasikitika sana! Serikali imejisahau au ni watumishi wa umma wamejisahau? Kuna mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Botwana anaonekana kila mwezi akizurura na gari lenye namba za ubalozu wetu nchini Botswana. Sababu za kimsingi kuwa na gari hilo mkoani kilimanjaro ni kuhudhuria mahakamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…