tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Lini Tanzania ilibadili msimamo wake kuhusu Israel?

    Ndugu zangu, Lini Tanzania ilibadili msimamo wake? Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ni kijana hodari mwenye kujua kuchagua maneno yake vyema. Hapo chini ameandika masikitiko yake kuhusu Tanzania kukataa kupiga kura kulaani mauaji ya Waislam Myanmar. Katika...
  2. JamiiForums Tanzania Kuelekea Tuzo za Muziki Tanzania (TMA): BASATA yaunda kamati maalumu ili kufanya TMA kuwa na hadhi ya kimataifa

    TAARIFA KWA UMMA KUANZA KWA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA KAMATI YA KITAIFA YA TUZO ZA MUZIKI TANZANIA (TMA) Baraza la Sanaa la Taifa linapenda kuufahamisha umma wa Watanzania na wadau wote wa sanaa kuwa Kamati ya Kitaifa ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) imeanza rasmi kutekeleza majukumu yake kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Starehe binafsi: Ni salama kuagiza hiki kitu mtandaoni ? Kwa hapa Tanzania wanauza ?

    Ni starehe binafsi kwajili ya kuvuta, kifaa hiki kinaitwa bong, waweza vutia kilevi kama tumbaku, naweza kukipata wapi hapa bongo ? nahofia kuagiza maana kimekaririwa kutumika kwenye kuvutia Marry Jane, nisije pigwa maswali nikienda kukichukua. Sababu yangu ya kuhitaji bong ni kwamba hii ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Labda ni mtazamo wangu ila naiona Tanzania ni nchi isiyokua na yenye kuzorota kadri miaka inavyosonga mbele

    Achilia mbali ongezeko la idadi ya watu, Tanzania ni nchi ya ajabu kwenye karibia nyanja zote inachechemea, mfano viongozi wenye kumbukumbu za kitaifa toka uhuru ni mabubu, mazezeta, wanapigwa mkwara na vigedere vya juzijuzi. Taasisi za muhimu zimekuwa machawa, nyanja za uchumi uwezo wa kifedha...
  5. JamiiForums Tanzania Makonda ni nani hasa kwenye Siasa za Tanzania? Kwanini nguvu kubwa inatumika kumrejesha ulingoni?

    Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM anatarajiwa kufanya ziara mikoa ya Kanda ya Ziwa lakini tetesi za mambo yanayoelezwa kuendelea ili kumpokea yanatia aibu, kutia hasira na kufedhehesha sana. Inadaiwa Mkuu wa Wilaya ya Chato ameziamuru Taasisi zote za Kiserikali Wilayani mwake kutoa...
  6. JamiiForums Tanzania MAP, utatu hatari unaosumbua Soka la Tanzania na utakaotawala Soka la Afrika

    MAP - Max, Aziz Ki na Pacome Huu ni utatu /Ramani ya hatari sana na kwa wale wenye macho ya ndani tunaona kabisa kwamba utatu huu utaendelea kufanya mambo makubwa mno pengine kuwahi kutokea Tanzania, Afrika Mashariki hata Afrika kiujumla. Uzi huu ubaki kama kumbukumbu.
  7. JamiiForums Tanzania Yafichuka: Jinsi Tanzania ilivyotia saini mkataba kichaa na kampuni ya siri kuendesha uwanja mkuu wa watalii nchini (KIA)

    Serikali imetangaza leo kuwa hatimaye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) utakabidhiwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) inayomilikiwa na Serikali (TAA) kesho, lakini walengwa halisi wa KADCO, kampuni iliyoendesha uwanja huo kwa miaka 25 na kukusanya mabilioni ya...
  8. JamiiForums Tanzania Unabii: Tanzania itaingia kwenye vurugu za mapinduzi kabla haifikisha miaka 100 ya uhuru

    Ukiachana na suala la katiba mpya ambalo ni bomu linalohesabu dakika zake taratibu kabla halijalipuka kuna mambo mengi yatakayojitokeza na kusababisha kuwaibua wananchi wenye hasira kali (hiki kizazi cha sasa 2000's) watakaogawanyika kwenye vikundi vingi vidogo vidogo vikiwa na lengo kuu moja tu...
  9. JamiiForums Tanzania Israel Vs Tanzania

    Ukubwa(kilomita za mraba) Tanzania: 945,087 km² Vs Israe:22,145km² Tanzania ni kubwa mara 43 ya israel. Uchumi(pato la Taifa/ GDP in $) Tanzania:$85.42billion Vs Israel:$521.696billion Israel inauchumi mkubwa mara 6 ya Tanzania. Idadi ya watu(population) Tanzania: Watu million 61 Vs...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania Uchumi wa kati ulitoka hapa kwa huyu!

    kwangu mimi raisi huyu yuko underrated na hapewi sifa zake anazostaili ingawaje ndiye raisi mwenye mchango mkubwa sana kwa tanzania ya leo, kwanza uchumi wa kati ulianzia kwake. fikiria kampuni kubwa leo hii tanzania kama nmb, crdb, tanzania breweries, tanzania cigarretes hata tra zote ni kwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ifike hatua Tanzania tutoke usingizini sasa; tuinue soko la sanaa kwa kutengeneza filamu zenye hadhi

    Tumekuwa tukiangalia movies zenye story za kiafrica na kizungu pia, kama Hotel Rwanda Tears of the sun Sometimes April Border Sarafina Shaka ilembe Roots Zipo nyingi sana kuzitaja zote hapa zitajaza space tu; sasa twende kwenye hoja ninayokusudia kuiandika hapa. Sisi Tanzania...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mengi ambayo askari wa usalama barabarani wa Tanzania wanapaswa kujifunza kutoka kwa wenzao wa Rwanda

    Nimerudi juzi Jumapili kutoka Kigali, Rwanda ambako nilikwenda na wenzangu 3 kwa shughuli za biashara. Tulikwenda kwa usafiri wa gari binafsi. Tulikaa huko siku 3. Nilishuhudia kitu kimoja kuhusu traffic polisi wa huko, jambo ambalo lilinifanya nitafakari na kulinganisha na traffic polisi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Mahakama za nchi za Kiafrika ni bure kabisa, hakuna kitu!

    Huu upumbavu wa uonevu kwa double standards za kisheria utaendelea hadi lini? Bora kichaa au mlevi asimamie kesi kuliko Mahakama za Africa. Mwizi au mbadhirifu wa billioni 12 anasomewa hukumu yenye upenyo wa faini kiduchu, wakati anayekutwa na nyara ya hovyo tena nyara ya kutibu njaa yenye...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Somo la Historia ya Tanzania na Maadili liwekewe sura maalumu kwenye katiba ili kulipa msisitizo wa kisheria

    Wasalaam, Taifa likiwa katika mchakato wa kuandaa sera ya mtaala mpya ya Elimu na mtaala huo kupendekeza kuwepo kwa Somo la Historia ya Tanzania na Maadili ni jambo jema kwa kizazi Cha Sasa na kijacho kulilinda Taifa dhidi ya mmomonyoko wa maadili. Huu ni mtazamo wangu juu ya uwepo wa Somo...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania, Kenya, Uganda zaanza kusuka mikakati AFCON 2027

    Mawaziri wa Michezo wa Tanzania, Kenya na Uganda wamekutana na timu ya wataalamu kutoka nchi hizo kuweka mikakati ya pamoja kuelekea mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) mwaka 2027, leo Novemba 7, 2023 Mjini Mombasa nchini Kenya Kwa upande wa Tanzania kikao hicho kimehudhuriwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Haya ndio maboresho ya Mtaala wa Elimu yanayoenda kufanyika Tanzania katika jitihada za kuboresha Elimu

    HAYA NDO MABORESHO YA MTAALA WA ELIMU YANAYOENDA KUFANYIKA TANZANIA KATIKA JITIHADA ZA KUBORESHA ELIMU Habari za mchana WanaJF Katika kuboresha elimu, Hivi karibuni serikali ilitangaza mabadiliko ya Kisera Na marekebisho ya Mitaala na baadhi ya Sheria ili Elimu iweze kuenda sawa na Sayansi...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu akikata mauno baada ya Yanga kushinda 5

  18. JamiiForums Tanzania What RC's and DC's in Tanzania Need to Know: Fornication is legal under section 160 of Marriage Act(1971)

    https://youtu.be/lrwEQryyXJQ On 31 October 2023, the Dar es Salaam Regional Commissioner, Mwalimu Albert Chalamila, while Speaking to all Dar es Salaam District Commissioners in a meeting which he convened, he instructed his subordinates to de-register massage service providers who are...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi Aipongeza UWT kwa Kazi Kubwa Wanayoifanya Ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewapongeza Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Chini ya Mwenyekiti wao Mary Chatanda kwa kazi kubwa wanayoifanya katika Nchi hii kwa kutembelea miradi na kufanya...
  20. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Inspector General wa Polisi Tanzania

    Mheshimiwa nina taarifa mbili kama ifuatavyo: Tarehe 24/10/2023 kati ya saa tatu na saa nne nilipita Moshi na gari binafsi nikitokea Arusha. Safari yangu hiyo ilikuwa ni safari ndefu iliyoanzia Tanga, Dar, Morogoro, Dodoma, Manyara, Arusha na siku hiyo nilipita Moshi katika safari ya Kurudi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…