tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

    Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia tatu na centi. Viwanda vingi malipo ni sh. Elfu 5000 kwa siku, hii maana yake lisaa limoja la kazi ni...
  2. Keylogger

    JamiiForums Tanzania Haki ya Kufa kwa Heshima: Wito kwa Sheria ya Haki ya Kufa kwa Heshima nchini Tanzania

    Haki ya kufa, mara nyingi hujulikana kama kujiua kwa msaada wa daktari (PAS), ni suala tata na nyeti. Hata hivyo, kupuuza mateso ya watu wanaopitia maumivu makali kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali kunakuwa kukosa kuheshimu haki yao ya msingi ya heshima(dignity). Katika uwanja wa haki...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ndio adui wa ustawi wa Watanzania, ushahidi huu hapa

    Habari, Watu wanaishia kulaumu majani na matawi huku wakisahau shinda na mizizi yake kuwa ndiyo chanzo cha mti kutokutoa matunda . Serikali ya Tanzania imeweka kodi za kuumiza kila kona. Ngoja nikupe mfano mmoja kutoka taasisi za mikopo midogo Mtandaoni. Hizi Taasisi au microfinance hazina...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kitanzania msipoacha woga hamtaendelea

    Yaani katika kitu ambacho nawashauri vijana ni kutokuwa na utamaduni wa woga ambao umekuwa utamaduni wa Watanzania wengi. Ukiangalia vizuri kibinafsi na hata vyama vyovyote. Ukubwa wa vyama na hata maendeleo ya sehemu hayatikani tu na mali ya asili bali ni tabia za woga. Watanzania tuna tabia...
  5. Nyamesocho

    JamiiForums Tanzania Facebook Tanzania yakumbwa na picha za ngono, TCRA kazi kwenu

    Katika hali ya kusikitisha kuna wimbi la picha za ngono zinatembea mtandao wa Facebook huku Tanzania na Kenya huku wasambazaji wakiwatagg marafiki kupitia profile zao ambapo inaleta aibu kama upo na mtu wa heshima katika friendlists wako wa Facebook. Baadhi ya wananchi wanaotumia mtandao huo...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Provision Of Information For Supply Of Goods/Services at M&P Exploration Production Tanzania Ltd March, 2024

    Provision Of Information For Supply Of Goods/Services To M&P Exploration Production Tanzania Limited (Ref. No. Mpep/2024/Tm/001) M&P Exploration Production Tanzania Ltd. (MPEP), an upstream producer of natural gas from the Mnazi Bay gas field in Mtwara region hereby invites potential suppliers...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania atembelea Ofisi za JamiiForums, Machi 14, 2024

    Leo, Machi 14, 2024, JamiiForums imetembelewa na Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania, Peter Huyghebeart Ujumbe wa Ubalozi umepata nafasi ya kukutana na Uongozi na Watendaji wa JF na kuona shughuli mbalimbali za Taasisi ikiwa ni pamoja Programu 8 zinazotekelezwa na kujadiliana namna bora ya...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Benki kubwa zaidi Tanzania, CRDB yaongoza

    News Alerts: Benki kubwa zaidi Tanzania CRDB yaongoza Wadau hamjamboni nyote Takwimu mpya kabisa nimeziweka hapo chini.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kila mchezaji wa Young Africans SC atakuwa bilionea kwa Shilingi za Tanzania

    Hii ni fursa adimu na inahitaji juhudi kubwa kutoka kwa wachezaji. Wanapaswa kujituma na kufanya vyema ili kufikia malengo haya makubwa. Tunawatakia kila la heri katika safari yao ya kufikia mafanikio hayo against mamelodi. 🌟🇹🇿 Kufikia mafanikio ya kuwa bilionea ni ndoto kubwa kwa...
  10. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili, ya nne na ya sita zimeleta fujo kwenye usafiri wa umma

    Awamu ya pili ilileta fujo za daladala kwa mara ya kwanza Tanzania, iliruhusu fujo, iliondoa usafiri wa kimpangilio uliokuwepo wa UDA na kuruhusu fujo za daladala. Awamu ya 4 iliruhusu bodaboda kwa mara ya kwanza kwenye nchi yetu na kuleta fujo, leo hii kila mtu karibia ni mhanga wa fujo...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Safi sana Mahakama ya Rufaa Tanzania

    Joran Lwehabura Bashange vs Minister for Constitutional & Legal Affairs & Another (Misc. Civil Cause No. 12 of 2023) [2024] TZHC 774 (13 March 2024) Mahakama ya Rufaa Tanzania imeamua: From the analysis above and fortified with the authorities cited, the Court declares, and orders as follows...
  12. hp4510

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania, Pitieni tena Sheria za hawa watoa mikopo mitandaoni wamekuwa kero na Wasumbufu sana

    Najua kuna watu wa bank kuu hapa. Me naona Pitieni tena Sheria zenu Kwa hawa watu au msimamishe huduma mpaka wajipange tena. How napigiwa simu 50 na msg 100 naambiwa nimemdhamini mtu kuchukua ela kwao na nimeshirikiana Nae kutapeli? Kwanini wakati wanapeana Mikopo hawakupiga simu kwangu...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Tunasafirisha Parcel & Mizigo Yote Kwenda Mikoa Yote Tanzania

    Habari, CITIZEN CARGO LTD Tunatoa huduma ya Usafiri wa Parcel, Vifurushi, Mizigo Mikubwa na Midogo. Kutoka Dar es salaam Kwenda Mikoa Yote Tanzania Mizigo yako itasafirishwa kwa haraka na uwakika. Wasiliana nasi leo tukutembelee kukuhudumia kwa haraka. Asante Yohane Sunguya Citizen Cargo...
  14. Mshenyentaji

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Kaizer Chiefs: Tutawaunga mkono Yanga washinde ushindi wa kishindo Tanzania na hapa nyumbani

    Mashabiki wa timu ya Kaizer Chiefs imetangaza kuisapoti timu ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns katika mechi zote mbili Mashabiki hao wamesema wanataka kuona soka safi la Yanga linalovutia likiwafundisha adabu Masandawana Wametangaza kuwa wapo tayari kutoa msaada wa Hali na Mali,wa kamati za...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini Walimu Kilwa tunalazimishwa kubaki CWT? Wengine tunataka kuhamia CHAKUHAWATA?

    Sisi baadhi ya Walimu Wilayani Kilwa tunazuiwa kujiunga katika Chama cha CHAKUHAWATA licha ya kuwa kuna wenzetu kati ya Walimu zaidi ya 300 wameshaamua kuhama kutoka CWT na kuhamia upande huo wa pili kutokana na makato makubwa ya CWT. Kinachofanyika CWT wanaenda kwa Afisa Utumishi kuzuia Walimu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uchunguzi ufanyike Kituo cha Polisi Ilula Iringa. Kuna viashiria vya RUSHWA kukithiri na kusababisha ucheleweshwaji wa huduma

    Nilipokea taarifa ya kifo cha baba baada ya kupata ajali ya pikipiki Februari 2024. Nililazimika kuahirisha mitihani ya chuo iliyokuwa imeanza siku mbili kabla ya kupata taarifa ya kifo cha baba. Nikarejea nyumbani kwaajili ya mazishi ya baba na taratibu zingine ikiwemo ufatiliaji wa hati ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Express air cargo China to Tanzania

    Habari, Karibu CITIZEN CARGO LTD Kampuni ya usafirishaji wa mizigo kutoka CHINA kuja TANZANIA Kwa Ndege (Express Air Cargo) Gharama zetu ni nafuu kama ifwatavyo; 1. From 1Kg - 10Kg: 12$/Kg 2. From 11Kg - 20Kg: 11$/Kg 3. From 21Kg & Above: 10$/Kg NB: Bei zetu ni Negotiable. Muda ni siku 3...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Express air cargo China to Tanzania

    Habari, Karibu CITIZEN CARGO LTD Kampuni ya usafirishaji wa mizigo kutoka CHINA kuja TANZANIA Kwa Ndege (Express Air Cargo) Gharama zetu ni nafuu kama ifwatavyo; 1. From 1Kg - 10Kg: 12$/Kg 2. From 11Kg - 20Kg: 11$/Kg 3. From 21Kg & Above: 10$/Kg NB: Bei zetu ni Negotiable. Muda ni...
  19. Labani og

    JamiiForums Tanzania Job: Ni Yanga pekee inayoweza kumkanda Mamelodi Kwa Tanzania hapa

    YANGA NDIO TIMU PEKEE YA TANZANIA AMBAYO INAWEZA KUCHEZA NA MAMELOD SUNDOWNS "Daraja la ubora wa Mamelodi liko juu zaidi kuliko Yanga, lakini ukitazama mara ya Mwisho Mamelod kubwa bingwa ni 2016 toka hapo Amefika Nusu fainali mara mbili tu, mara zote amekuwa akiishia hatua ya robo fainali...
  20. Inside10

    JamiiForums Tanzania Album(Nyimbo) Ujio Wa Papa Yohane wa II, Ziara kitume Nchini Tanzania Mwaka 1990

    Ndugu zangu tumsifu Yesu Kristo Ningependa kushiriki nanyi nyimbo hizi.
Back
Top Bottom