tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Frank Wanjiru

    JamiiForums Hii ni kashfa nzito na kubwa sana kwa Viongozi wa Simba na Yanga na mpira wa Tanzania kwa ujumla

    Kama hizi habari zinazosambaa mitandaoni ni kweli basi Viongozi wa Simba lazima watoke watueleze ukweli wa hili jambo. --- Anaandika Wilson Oruma katika ukurasa wake TUHUMA ZA RUSHWA KWENYE KARIAKOO DERBY imekuwa ni sehemu ya Maisha Yetu.. Ndugu zangu Takukuru Simu za wachezaji zipo bize...
  2. R

    JamiiForums Shaping a progressive judiciary in Tanzania

    “Navigating Challenges and Aspirations” In the ongoing journey towards a robust and progressive judiciary in Tanzania, the foundational principles outlined in Article 107A of the Constitution of the United Republic of Tanzania serve as guiding beacons. These principles underscore the imperative...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania Tuna Wakia Milioni 45 ya Akiba ya Dhahabu Leo Tunasomeka Kati ya nchi Masikini Duniani

    Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla wake tuna Wakia Milioni 45 ya akiba ya dhahabu lakini leo tunasomeka ni kati ya nchi Masikini Duniani "Hotuba ya Waziri Mkuu Imezungumzia Maji, Misitu, Madini, Kilimo. Kuna Nchi Haina Msitu ni Jangwa. Kwa Nchi Yetu ya Tanzania 🇹🇿 Kila Kitu Kipo...
  4. Dom2

    JamiiForums Importance of Improving Education in Tanzania through good English Teachers

    Abstract and Figures In 2012, the British Council and the Government of Tanzania through the then Ministry of Education and Vocational Training, now Ministry of Education, Science and Technology, implemented a four-year project, known as Education Development and Quality Improvement Project for...
  5. K

    JamiiForums Kenya imepunguza bei ya mafuta kwa kiasi kikubwa. Je, Tanzania kulikoni?

    Leo Kenya imepunguza bei ya mafuta kwa kiasi kikubwa na fedha yao imeimarika kutoka Ke 160 kwa 1 usd na kupanda kwa Ke 130 kwa 1 usd lakini kwa Tanzania kila kukicha bei ya mafuta inazidi kupaa na fedha yetu inazidi kushuka. Je, kulikoni? --- The shilling’s strong rally against the dollar has...
  6. K

    JamiiForums Kwa bara la Afrika Tanzania ni super power na mzaliwa wa kwanza kwa haki

    Niko katika kazi ya kuipeleka Tanzania kwenye new season in spiritual point of view leo tutaangalia jinsi gani Tanzania ni super power tuaangalia historical perspective na natura perspective Kipindi cha utawala wa nyerere tuliona Tanzania ikijitoa kusaidia nchi nyingi za Afrika kuondokana na...
  7. A

    JamiiForums Serikali ya Tanzania na Malawi waharakishe Kutatua suala la ziwa Nyasa

    Malawi questions Tanzania on port Malawi has faulted Tanzania for embarking on a project to upgrade and expand Mbamba Bay Port on Lake Malawi without seeking consent as the lake boundary dispute between the two countries remains unresolved In a confidential diplomatic note dated February 2...
  8. G

    JamiiForums Tujivunie asili yetu: Tujuzane michezo ya jadi kwa makabila ya Tanzania

    Mods naombeni muuache uzi huu, jukwaa lamichezo limejaa wadau wanaofatilia zaidi michezo ya kigeni hasa mpira wa miguu Kutokana na umuhimu wa michezo kwa jamii katika kila kipindi cha historia ya binadamu, Watanzania nao pia walikuwa wakishiriki katika michezo Michezo hiyo ni kama vile...
  9. funaku

    JamiiForums Ni wakati sasa kwa media za Tanzania kuonesha ubora wa nchi na sio majanga na vitimbwi!!

    Sijaelewa ni nani aliyewafunza waandishi wetu wa habari yaani Taarifa za habari kwenye T.v ,redio na magazeti zimejaa habari za majanga tu hakuna ubunifu. Kwa asilimia kubwa yapo mema yanayotokea kwenye jamii kwanini sasa jamii inalishwa taarifa za vitimbwi na majanga tu? Huu ni upuuzi na...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Provision Of Information For Supply Of Goods/Services To M&P Exploration Production Tanzania Limited April, 2024

    Provision Of Information For Supply Of Goods/Services To M&P Exploration Production Tanzania Limited (Ref. No. MPEP/2024/TM/002) M&P Exploration Production Tanzania Ltd. (MPEP), an upstream producer of natural gas from the Mnazi Bay gas field in Mtwara region hereby invites potential...
  11. kmbwembwe

    JamiiForums Je, ni sahihi Tanzania kuendelea na uhusiano wa kawaida na Rwanda wakati tuko vitani na nchi hiyo DR Congo?

    Nchi ya Rwanda chini ya Kagame imekua kwa muda mrefu ikishutumiwa kukisaidia kikundi cha kijeshi cha Watutsi cha M23 kinachotaka kulidhibiti jimbo la kivu mashariki ya congo. Rwanda imekua ikikanusha kusaidia M23 lakini ukweli imekua na majeshi yake yakiungana na waasi hao kudhibiti maeneo ya...
  12. kavulata

    JamiiForums Azam media haina sifa ya kuidhamini ligi ya Tanzania

    Azam media imeshinda tender ya kuidhamini ligi kuu kwenye matangazo, ingawa hatujui ilishindanishwa na kampuni zipi za habari. Azam groups wanamiliki timu ya mpira inayoshiriki ligi kuu pia lakini Ina watangazaji, waandishi na watendaji ambao wanashindwa kutenganisha kati ya kazi ya kuidhamini...
  13. Michelle

    JamiiForums Rais Samia: Uliapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na SIO Mama wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa Chama tawala Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mheshimiwa Rais Pole kwa majukumu mengi sana. Nikupongeze kwa kujitahidi kuifanya kazi uliyoapa kuifanya kadri ya uwezo wako. Mheshimiwa Rais baada ya...
  14. R

    JamiiForums Why are Elections Not Democratic in Africa? Comparisons Comparisons Between the Recent Multi-party Elections in Zimbabwe and Tanzania: soma article

    Why Are Elections Not Democratic in Africa? Comparisons Between the Recent Multi-party Elections in Zimbabwe and Tanzania LIISA LAAKSO University of Helsinki, Finland
  15. Lord Denning

    JamiiForums Ili Tanzania ibadilike lazima haya yafanyike

    1. Katiba Mpya - Lazima itungwe katiba mpya yenye meno inayoweka hatua anazopaswa kuchukuliwa kiongozi endapo ataivunja. Katiba hii iweke misingi ifuatayo; a) Rais ateue Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Mawaziri tu- Akishateua lazima hao watu wathibitishwe na Bunge. Mawaziri wasiwe...
  16. meghan markle

    JamiiForums Je kwa Tanzania kuna soko la city gani hasa toka nchi kama US?

    Nipo huku kwa Biden najaribu kuangalia fursa za kuleta nyumbani ila ni vizuri kujua demands za soko la nyumbani. Naomba maoni yenu juu ya bidhaa, biashara au huduma zinazoweza kuletwa Tanzania toka USA. Currently nafanya issue ya kupokea oda ya vitu mbali mbali toka kwa watu kisha kuwatumia...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Alichokifanya leo Makonda ndo Jambo analoweza zaidi. Naionea huruma Tanzania

    Ukienda China kuna mfumo wa mikoa kama kwetu. Wao wanaita Provinces, na tofauti yao na sie ni kuwa wao mikoa yao ni mikoa ya kiuchumi ( Economic provinces) wakati sie mikoa yetu ni mikoa ya kisiasa (political provinces) Wanapotushinda China ni watu wanaoteuliwa kuongoza hizo provinces. Kwao...
  18. M

    JamiiForums Yuko wapi Lulu Ibrahim, Miss Kinondoni 2009 na aligombea Miss Tanzania 2009?

    Yuko wapi Lulu Ibrahim, Miss Kinondoni 2009 na aligombea Miss Tanzania 2009?
  19. K

    JamiiForums Tanzania ipo kwenye process ya kuingia kwenye kurasa mpya, na zama mpya

    Kama kisemavyo kichwa cha habari Tanzania inaingia kwenye zama mpya yafuatayo ni matukio yatakayo tokea kama njia ya Tanzania kuachana na zama zilizopita na kuingia zama mpya Kuna ishara itatokea kwenye marais waliofariki na chama flani cha siasa; ishara hizo ni za ajabu ila zikitokea jua...
  20. O

    JamiiForums Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

    Leo kwa bahati nzuri nimepitia sehemu nikakuta kuna issue ya msikiti wa Mtoro wakimuoba msamaha Mufti, nikataka kuangalia nini kimetokea tarehe 29 ya Ramadhan. Nikarudi kutafuta clip nikaipata kumbe kuna Shekh msikitini alisahihisha kauli ya kidini aliyotoa siku alipoenda kufunga darsa wanaita...
Back
Top Bottom