SoC04 Tanzania tunaweza

Tanzania Tuitakayo competition threads

KIDALI CHA SIMBA

New Member
May 4, 2024
1
1
🇹🇿 Tanzania viongozi na taasisi za serikali bado ushirikiano hakuna baadhi ya taasisi aziwasiliani na taasisi zingine katika kufanya maendeleo unakuta kila taasisi mbabe kwakuwa kila mtu kachaguliwa na rais mfano TANROADS wanatengeneza barabara alafu kuna nguzo za umeme basi barabara hiyo itapindi pinda ili tu kazi yao iende. Tanzania inaitaji umoja na mshikamo katika kuwatendea maendeleo wanainchi kwanza kabisa taasisi za serikali kuwa kitu kimoja kushirikiana kupeana mawazo piaha kubadili mfumo dume wa elimu ilii wasomi wanufaike na elimu zao mana elimu juu ya sasa ukitoka useme unajiajiri ni uongo.

Mabadiliko kwa viongozi wanaoteuliwa na Rais wengine hawana fani za uongozi ni vile tu ana elimu na mtu yupo kwenye chama tawala ndo kapewa uongozi kiongozii anatakiwa atengenezwe kama vyama vya sisasa vinatakiwa viwatengemeze vijana siasa na jinsi ya kufanya makubwa katika siasa sio mtu kajiunga na chama kamaliza kusoma basi kapewa uongozi apo hakutokuwa na maendeleo. Viongozi wajue majukumu yao ilii kuleta kasi na mabadiliko ya maendeleo man kuna kesi hazitakiwa raisi ndo hatoe suluhisho wala wazari ndo hatoe suluhisho kila kiongozii afanye majukumu yako kwa moyo mmoja kesi za ardhi ni nyingi Tanzania ziishie wilayani na sio rais aje kutoa hukumu ni aibu.

Tanzania ilii iendelee umoja kwa taasisi zote za serikali kuwa na mikakati ya kutekelezwa kwa wakati wachaguliwe viongozi wenye sifa za kuongoza wabunge tutakao wachagua na kuwapitisha wawe na sifa za kuletea mabadiliko jimboni na sio kwenda kuzungumza mambo ya kitoto bungeni viongozi hawa unakuta 2025 uchaguzi unakuja na mbinu zake za kuchezesha ligi kwa vijan lede kwa wadada baada ya hapo haonekani tena hivo tunataka viongozi walio na uchungu katika inchi yao .maji, barabara, hospital shule, elimu,visiwe sera kwa viongozi viwe ndo majukumu yao ya kuyaboresha na sio kila siku hivo hivo ndo siraha yao kuwaambia wanainchi.

Wanainchi kwanza kabisa wanaitaji kiongozii anayewakumbatia hivo sio kitu kidogo tumetengeneza barabara mara maji hatutofika tunaitaji kuwa na sera tofauti na ilii kuleta chachu ya mabadiliko kama kuanzisha ya lazima kwa kila mtanzani, kuwa na sera ya mipangirio ya miji mipya na ya kisasa kuluhusu wanainchi kutoa maano live katika miladi mikubwa yenye tija kwa wanainchi kwanza na rais kuwa na kauli ya mwisho na sio kuunda kamati kupunguza sherehe za zamani za kuipandania inchi na kuelekeza pesa kwenye maendeleo zaidi sherehe zote za zamani zibadirishwe namna ya kusheerekewa kipaombe cha kwanza iwe Tanzania kwanza ilii kuleta uzalendo kutoka moyoni
 
Tanzania inaitaji umoja na mshikamo katika kuwatendea maendeleo wanainchi kwanza kabisa taasisi za serikali kuwa kitu kimoja kushirikiana kupeana mawazo
Ncho nzima itende kama kiumbe hai mmoja✔

Viongozi wajue majukumu yao ilii kuleta kasi na mabadiliko ya maendeleo man kuna kesi hazitakiwa raisi ndo hatoe suluhisho wala wazari ndo hatoe suluhisho kila kiongozii afanye majukumu yako kwa moyo mmoja
Kiumbe mmoja na mwenye afya kamili, kwa maana kila kiungo kinatenda kadiri ya kinavyopaswa kuwa. AFYA.

Tanzania kwanza ilii kuleta uzalendo kutoka moyoni
Hakikaa
 
Back
Top Bottom