tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    Makala: Rais wa kivuli, mvutano ndani ya CCM, nguvu inayoongoza machafuko Tanzania

    Makala ya uchunguzi iliyotolewa na Lens TV imeibua mjadala mpana baada ya kutoa maelezo ya kina kuhusu misukosuko ya kisiasa iliyoikumba taifa letu Tanzania kufuatia matukio ya Oktoba 29, 2025. Makala hiyo inadai kuwa machafuko hayo hayakuwa ya ghafla, bali yalitokana na mgongano wa muda mrefu...
  2. PostGE2025 Madowo: Tanzania president getting global attention

    "Who are you?" Tanzanian President Samia Hassan's tirade against the youth, opposition, and the international community is getting global attention.
  3. PostGE2025 Rais Samia umeongea kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania

    Wanaukumbi. Ni mtu mjinga tu ambaye angeweza kudhania kuwa Rais Samia angejitokeza hadharani na kuongea na wazee wa Dar Es Salaam na kuanza kutiatia huruma na kubembeleza watu!.. Rais Samia ametenda sawasawa kama ambavyo Rais mwingine yoyote angetenda kutokana na nyakati hizi za sasa. Yaaani...
  4. PostGE2025 Niwakumbushe tu, Deni la Serikali ya Tanzania limefikia takribani TSh 107.7 trilioni, sawa na 32–35% ya GDP

    Niwakumbushe tu , Deni la Serikali la Tanzania limefikia takribani TSh 107.7 trilioni, sawa na 32–35% ya GDP kiwango ambacho bado kinachukuliwa kuwa himilivu kimataifa endapo ukuaji wa uchumi utaendelea kuwa thabiti. Ukuwaji wa uchumi unaendana na utulivu wa kisiasa. Hata hivyo, kukosekana kwa...
  5. Tanzania ambayo Gen Z wengi wanatamani kuiona

    Ukiachana na mambo ya katiba, uhuru wa kuongea, hiii ndio Tanzania ambayo vijana wengi wanatamani kuiona kipindi hiki cha uhai wao 1. Tanzania yenye viwanda tele ikiwemo viwanda vikubwa vya magari, laptop, simu na pikipiki. Viwanda viajiri watanzania wengi na bidhaa tuuze nchi jirani. Malighafi...
  6. M

    Waislam Tanzania; Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa kiongozi mwenye hekima kubwa, na alisimamia migogoro kwa ustadi wa hali ya juu

    Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa kiongozi mwenye hekima kubwa, na alisimamia migogoro kwa ustadi wa hali ya juu. Hakupendelea vurugu, bali alitegemea mazungumzo, usuluhishi, uadilifu, subira na maono ya mbali. Hapa chini ni baadhi ya njia muhimu alizotumia wakati nchi au jamii ipo katika migogoro...
  7. Rais Samia nakutahadharisha kwa Mara ya mwisho, Tanzania sio kisiwa

    Nimsikiliza Samia kwa umakini mkubwa lakini naomba nimwambie kuwa amemwaga petrol kwenye Moto. Tanzania sio kisiwa Tanzania haina uwezo wa kuzalisha na kujiuzia na kujitegemea Kama ilivyo Urusi na uchina Tanzania sio kisiwa utalii peke yake unatengeneza trion 10 kwa mwaka. Tuna import karibu...
  8. PostGE2025 Rais Samia: Lililotokea ni tukio la kutengenezwa, ni mradi wenye nia ovu kuangusha dola ya nchi yetu

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema matukio yaliyotokea kuanzia Oktoba 29, 2025 na kuendelea yalikuwa matukio ya kutengenezwa ambayo yalikuwa na lengo la kuangusha dola ya nchi yetu. Ameyasema hayo leo Disemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa...
  9. R

    PostGE2025 Rais Samia: Vijana wa Tanzania hawana uzalendo, wanatumwa na kuyumbishwa mambo yasiyowahusu

    Rais Samia ameyaongea hayo leo Disemba 2, 2025 wakati akiongea na Wazee wa Dar es Salaam akiongelea yaliyotokea siku ya Uchaguzi na yanayoendelea mitandaoni na mitaani akisema matukio hayo yamewapa Serikali funzo kuwa vijana wa Tanzania hawana elimu ya uzalendo na ndiyo maana serikali imeamua...
  10. Kwa Mara ya kwanza nakiri - Tanzania haina Rais

    Kwa hili la leo, niwe muwazi kama kuna mtu anadhani kuna raisi. Kama Taifa tukubali kuwa hii miaka kumi hatuna raisi kabisa. Tusubiri labda wakati ujao tutapata kiongozi. High level of incompetency. Hata Gigy Money angeweza kuongoza hili taifa vizuri sana. Mungu nipe wepesi.
  11. Je, Askari anaruhusiwa shoot to kill bila kupokea order yoyote kwa mujibu wa sheria ya Tanzania na za UN

    Ukisoma sheria za jamhuri ya muungano wa Tanzania tukianzia na ile sheria na Penal Code, CAP. 16 R.E. 2022 kifungu cha 18. Kinaeleza kuwa katika kulinda mali za umma au za mtu binafsi zinaweza kutumika nguvu za ziada na yule ambaye atahusika kumuua mtu yeyote katika tukio hilo hatakuwa na kosa...
  12. Kushitakiwa kwa Mange, makosa ya uchumi, anaweza kurudishwa Tanzania kuhukumiwa na Mahakama zetu

    Inasemekana Mange wameshtakiwa hapo Kisutu Kwa makosa ya kiuchumi. Kumbuka Ahadi ya kwanza ya mwanasheria mkuu wa serikali ilikuwa kumrudisha na kumkamata Mange ambaye anaishi. USA na Sasa ni raia wa Marekani Sijui sheria za kimataifa zikoje, ikiwa nchi x itamtaka raia wako afike kushitakiwa...
  13. Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  14. Mufti mkuu Tanzania baada ya kuwasili kutoka Saudia afunguka kuhusu kusaini mkataba mnono

    Sisi wapenda amani yetu haya hapa: https://youtu.be/xAT7JC7WHwE?si=bFUzvnPFGj7vY30G
  15. Kitima, elewa kuwa dunia imebadilika. Ujerumani iliangushwa na Uingereza na sasa Itaangushwa na Uingereza - Tanzania tupo Commonwealth

    Father kitima bado yupo na mawazo ya kizamani sana, bado yupo na mawazo ya Ujerumani kuitawala dunia. mbinu zenu zote za kuangusha mataifa kupitia dini zinajulikana zote. Vita vya kwanza vya dunia mlishindwa, vita vya pili vya dunia mlishindwa. Kitima umeshazeeka waachieni vijana waiongoze...
  16. R

    PostGE2025 Padre Kitima: Tanzania sasa hivi hakuna Election kuna Selection

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, amesema kwa sasa Tanzania hakuna utamaduni wa election (uchaguzi) bali kuna utamaduni wa selection (kujichagua) akisisitiza kuwa nchi hii isiendeshwe na mtu ni ya...
  17. Tanzania Considers ICC Exit as Court Faces Accusations of Unfair Targeting of Africa and Western Bias

    Tanzania may soon consider leaving the Rome Statute of the International Criminal Court (ICC). This debate has grown stronger after recent calls on the court in The Hague from Lawyers for the victims, backed by groups like the World Jurists Association and the Madrid Bar Association to...
  18. Tetesi: Picha: Watalii wakiondoka Tanzania kukimbia maandamno ya Desemba 9

    Mamia ya watalii wakiondoka nchini Tanzania kukimbia maandamano ya Disemba 9 na utekaji unao endelea nchini. Hapa ni Julius Kambarage Nyerere International Airport, Dar Es Salaam. Hii ni usiku wa leo Novembea 30. ic
  19. R

    PostGE2025 Ado Shaibu: Sitolala mpaka Tanzania ipate Katiba mpya

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kukosekana kwa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kumeendelea kuwa chanzo cha wananchi wengi “kulia machozi ndani ya mioyo yao,” akiahidi kupigania mabadiliko hayo ndani ya Bunge bila kuchoka. Ado alitoa...
  20. Watu waliopigwa risasi kule arusha leo na polisi wakiwa wamekaa tu, wapeleke taarifa kwa madowo wa CNN ili dunia ione Tanzania ilipofikia kwa sasa

    Watu waliopigwa risasi kule arusha leo na polisi wakiwa wamekaa tu, wapeleke taarifa kwa madowo wa CNN ili dunia ione Tanzania ilipofikia kwa sasa. Viongozi wajinga ndio wametufikisha nchi kwenye machafuko,
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…