Tanzania itajengwa na wachina

Tanzania itajengwa na wachina

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
18,166
Reaction score
29,867
Kuna sera huwa hazitangazwi kwa uwazi, lakini mtu una akili, utaweka mbili na mbili utalipata jibu la nne.

Jijini Dar, wachina wamechukua kazi karibu zote za barabara.
Wazawa walie tu.

Siku hizi kila mtoa kazi za Ujenzi ana "mchina wake".

Wakandarasi wazawa uzeni tu mitambo yenu kabla kutu haijaiharibu kabisa.

Mbaya zaidi TANROADS ndio inakufa, Road Fund inachotwa kama watu hawana akili nzuri.

Awamu ya sita na wachina ni damu damu.
Na Tanzania itajengwa na wachina.
 
Ni sawa

Kwani kuna ubaya ?

Hoja yako nini hapa Mkuu Jidu?
 
Back
Top Bottom