tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania na Visiwa vya Comoro zimesaini Hati nne za Makubaliano kwenye kilele cha Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC)

    Tanzania na Visiwa vya Comoro zimesaini Hati nne za Makubaliano kwenye kilele cha Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Comoro uliofanyika tarehe 24 Julai, 2024 jijini Dar es Salaam. Hati zilizosainiwa katika kikao hicho zinazojumuisha nyanja za...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Udidimizaji wa Haki za Wahandisi wanaofundisha Shule za Sekondari za Ufundi ni changamoto inayohitaji utatuzi wa haraka

    Habari, Mimi ni mhandisi ambaye niliajiriwa ajira za waalimu kwa tangazo la mwaka 2020 kwa niaba ya wenzangu wahandisi kutoka shule za ufundi tunapenda kutoa masikitiko yetu juu haki zetu kama watumishi wa umma. Ikumbukwe serikali ilituajiri tukiwa wahandisi lakini mambo yalibadilika...
  3. JamiiForums Tanzania The Chanzo: Makosa ya Kulawiti, Kubaka Yameongezeka Tanzania

    Makosa ya kubaka na kulawiti yameendelea kuongezeka Tanzania, ambapo kwa mwaka 2022 makosa ya kubaka 6,827 yaliripotiwa polisi, hata hivyo kwa mwaka 2023 makosa haya yameongezeka kufikia 8,691. Matukio ya kulawiti pia yameongezeka kutoka matukio 1,586 yalioripotiwa mwaka 2022 mpaka matukio...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna hatari kubwa ya kuja kutokea maandamano ya vijana kutaka kazi kwa maana ajira hakuna na mikakati hairidhishi

    Kuna hatari kubwa ya maandamano ya vijana kwa sababu ajira ni chache na mikakati ya serikali kupambana na tatizo hili ni ndogo ukilinganisha na ukubwa wa tatizo. Sioni mikakati madhubuti ya kusaidia vijana wanaomaliza kidato cha nne na kufeli. Sioni mikakati ya kusaidia vijana waliomaliza vyuo...
  5. JamiiForums Tanzania The Joint Permanent Commission between Tanzania and Comoro as Covered by TBC

    The Joint Permanent Commission between Tanzania and Comoro as Covered by TBC
  6. JamiiForums Tanzania Watalii wamiminika Tanzania badala ya Kenya, ni baada ya Maasai Mara kupandisha kiingilio karibu mara tatu

    Kasi ya watalii kuichagua Serengeti inazidi kuongezeka huku Masaai Mara ikizidi kupoteza. Watalii hawa ambao wana hamu kubwa kwenda kushuhudia uhamaji mkubwa kabisa wa Nyumbu wanazidi kuichagua Serengeti. Kenya ilifanya mapitio ya kiingilio kutoka usd 70 kufikia $200. Hoteli za kitalii zilizo...
  7. JamiiForums Tanzania Fursa Kwa Madada WA Kitanzania ambao hawajaolewa.

    Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Kwenye pita pita zangu huko mtandaoni nikakutana na Habari ya kijana Mmoja WA ki Jerumani anataka msichana WA Kitanzania Kwa lengo la ndoa. Nimeweka screenshot hapo chini inajieleza kabisa. Mkitaka maelezo zaidi mnaweza kwenda kwenye account yake ipo...
  8. JamiiForums Tanzania Ndoto za kuwa mtu flani kwenye Tehama Tanzania

    NDOTO ZA KUWA MTU FLANI KWENYE TEHAMA Kirefu Cha neno Hilo ni Teknolojia ya habari na mawasiliano, taaluma AMBAYO Hadi mwaka huu 2024 hazija waingia watu wengi na waliyo nayo wengi nchini Tanzania ni wa binafsi wa maarifa na wenye kukatisha tamaa wale wanao taka kujifunza. Na hii ni sifa...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Gen Z Tanzania watangaza maandamano makubwa Jumatatu Agosti 5/2024 kutumia haki yao kikatiba kupinga ukosefu wa huduma mbalimbali nchini

    Kutoka katika Vyanzo mbalimbali vya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya mitaa, joto na vuguvugu la maandamano ya vijana wa kitanzania linaendela, chanzo ikisemekana ni kuchoka na hali ya ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, kulinda rasilimali za taifa ambazo siku za karibuni zimeonekana kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania ni kudhani kwamba Watoto wa viongozi nao wanaweza kuwa viongozi

    Hapo ndipo tunapojikuta tunataabika na kuokota Magarasa na kuyapa uongozi. Uongozi ni Karama kutoka kwa Mungu, haujawahi kuwa urithi wa Ukoo, sasa hapa ndipo ambapo Mamlaka za Uteuzi zinapoboronga
  11. B

    JamiiForums Tanzania Gen Z wa Tanzania wapewe ajira maana ukosefu wa ajira ni chanzo cha maandamano tunayoshuhudia Kenya na sasa Uganda

    Wadau Asalam aleykum. Wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji. Nawashauri viongozi wangu mlioko kwenye vyombo vya kutunga sera, mfanye kuwaajiri vijana walioko mtaani wenye ujuzi na wasio na ujuzi pia watafutiwe kazi za kufanya. Hii itawafanya kuwa bize na hivyo kuwasahaulisha na ugumu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro awasili Tanzania

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu, Julai 23, 2024 amempokea Mhe. Mbae Mohamed, Waziri wa Mambo ya Nje wa Comoro anaeshughulikia Nchi za Kiarabu, nchi zinazozungumza Kifaransa, Diaspora na Utangamano wa Afrika ambae amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ikiwa ni pamoja na kuongoza...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Balozi Shelukindo afungua JPC ya kwanza kati ya Tanzania na Comoro

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Samwel Shelukindo amefungua Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Visiwa vya Comoro katika Ngazi ya Wataalam unaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 22-24 Julai 2024...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania yagoma kujifunza kwa Sudan Kusini

    Sudan Kusini wamefuzu kushiriki michuano ya Olympics upande wa wanaume leo 22-7-2024 Miaka 14 iliyopita Taifa hili lilijipatia Uhuru kutoka kwenye mikono ya Sudan ya Kaskazini ile ya Dikteta Al Bashir. Leo hii wamekabiliana vikali sana na timu ya taifa ya Marekani, inayo ogopwa dunia nzima kama...
  15. JamiiForums Tanzania Uongo wa wazee wa zamani wa Tanzania kuhusu mpira

    Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa. Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la...
  16. JamiiForums Tanzania Vyombo vingi vya habari havina taarifa za kutosha za yanayoendelea nchini. Tunategemea hawa ndio wahabarishe umma juu ya mambo ya msingi?

    Kila wakati huwa ninajiaminisha kuwa umma mkubwa wa watanzania hawako informed kabisa, yaani wako kwenye gizo totor kuhusu mambo ya nchi yanayogusa maisha yao. Hii inakuwa reflected na idadi ya ounline news outlets tulizonazo. Jambo kubwa lililotokea kwenye serikali jana ni mabadiliko ya...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa ukishaapishwa, tunaomba utuletee Star Link Tanzania

    Habari za majukumu Waziri Mteule wa Habari, Sisi wananzengo, tunakuomba ukishaapishwa tu, jambo la kwanza la kutilia mkazo katika vipaumbele vyako ni Internet ya Elon Musk. Tunaomba Star Link wapewe vibali hapa Tanzania maana mtangulizi wako alikataa kata kata. Tunaomba usije ukawekwa mfukoni...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kushabikia mpira wa Tanzania

    Sijui Kuna watu wa aina yangu yaani nikiangalia mpira wa Tanzania naona kama uchafu Fulani hivi jumlisha na viwanja vyao wanavyochezea kama kwenye matuta ya viazi basi naona kama jalalani mfano hizi timu za simba na yanga naonaga watu wanabishana mpaka kutukanana na kununua vijezi vyao ambavyo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Comparative Analysis of Common Laws in Tanzania and Nigeria

    Tanzania and Nigeria, two prominent countries in Africa, share numerous similarities in their legal frameworks due to their colonial histories and subsequent legal evolutions. Both countries have developed robust legal systems that aim to promote justice, protect human rights, and ensure the...
  20. JamiiForums Tanzania Kule Kenya Gen Z wanadili na Wakusanya Kodi wa Kenya, Tanzania tunadili na Mbowe ambaye hakusanyi kodi

    Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya. Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…