tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania, Ujerumani Wasaini Mkataba wa Bilioni 60.7 Kuboresha Huduma za Maji Tunduma na Vwawa-Mlowo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa msaada wa Euro milioni 20 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 60.7 kutoka Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) kwa ajili ya kufadhili mradi wa Uboreshaji wa Huduma za...
  2. JamiiForums Tanzania Maandamano ya July 07, yakimbiza watalii, wageni wengi wame cancel safari za Tanzania

    Daa hii nchi sijui kama itatulia, serikali inazidi kukaza kichwa. Nimeongea na mtu wa Tourism sector Arusha, alikuwa analia kilio Cha kusaga meno. Wageni wengi kutoka ubeberuni walikuwa wamefanya booking za kuja Tanzania, ila kutokana na hofu ya maandamano ya July 07, wame-cancel safari zao...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania Tunajifunza nini kutoka Uganda ya Mzee Museveni kwenye hili?

    Mzee Museni yeye ameamua kuiacha sekta binafsi ijenge uchumi wa Uganda, Mfano ni huu, Katika bajeti ya Uganda ya mwaka wa fedha 2026/27 yenye thamani ya Shs 84.4 trilioni ($22.8 bilioni), eneo la Ushirikiano wa Sekta ya Umma na Binafsi (PPP) limegusiwa kama nguzo muhimu ya kuchochea mkakati...
  4. JamiiForums Tanzania DENI LA TAIFA: Wakati Tanzania likiwa chini ya 50% ya GDP Rwanda kufikia 79% waamua kuachana kabisa na mikopo na kujikita kwenye PPP tu

    Wasalaam, Mnaohusikia na mambo ya Uchumi wa Tanzania someni hii stari kwa mstari, Sikuwa naelewa anachofanya Kafulila kupitia hii taarifa nimeanza kumwelewa. Katika bajeti ya Rwanda ya mwaka wa fedha 2026/27 yenye thamani ya Rwf 7.8 trilioni ($5.3 bilioni), sekta ya Ushirikiano wa Sekta ya...
  5. JamiiForums Tanzania Moshi, kati ya Manispaa Chache Chafu Zaidi Tanzania Bara!

    Manispaa ya Moshi iliyopo mkoani. kilimanjaro inayoongozwa na Mbunge wa CCM-Ibrahimu Shayo, Meya wa CCM ndugu Kidumuyo, RC naDC wa CCM ndio manispaa chafu zaidi kwa sasa. Kipindi CHADEMA wakiwa na mbunge Ndesamburo na Mayor Ray Mboya , ndio manispaa iliyokuwa safi zaidi Tanzania na Afrika...
  6. JamiiForums Tanzania Mchango wangu juu ya hali ya Tanzania hasa kipindi hiki kigumu.

    Nimejaribu kumsikiliza professor Tibaijuka ambaye anafanya constructive criticism juu ya mambo mbalimbali nchini pia kufuatia hali ya nchi sasa ilivyo nimekuja na mtazamo wangu binafsi. 1.Nchi yetu sasa hivi imeparanganyika .Hakuna ukaribu kati ya wananchi hasa tabaka la chini na watu wa tabaka...
  7. JamiiForums Tanzania Ni Yetu Sote- Tanzania

    Tanzania ni yetu sote, hakuna kutishana na nyie wenye mamlaka.. Mjirudi tusonge mbele....!
  8. JamiiForums Tanzania Narudia tena kushauri Jinsi ya kuiokoa Tanzania

    Njinsi ya kuiokoa nchi yetu ni kuwaondoa wahuni wote waliopo Madarakani .watu hao wanaunda mpka vikosi vya kigaidi na wanasema hadharani na wanaachwa? Tuiokoea nchi yetu kwa kuwamaliza wahuni wote waliopo madarakani kuanzia juu bila huruma. Baada ya hapo turekebishe mifumo kama ya siasa na...
  9. JamiiForums Tanzania DUNIA IMEBADILIKA KUTEGEMEA MISAADA KUMEPITWA NA WAKATI WAZIRI MKUU MWIGURU NCHEMBA AMEONGEA HAYO AKIWA ZIARANI..

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema enzi za kutegemea misaada kugharamia maendeleo na huduma za kijamii zimepitwa na wakati, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kujenga utamaduni wa kujitegemea na kuwajibika kutatua changamoto zao wenyewe. Dk Mwigulu amesema dunia ya sasa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Awa Mshauri wa Kanisa La Anglikana Tanzania Baada ya Kuridhishwa na Uchapakazi wake. Achangisha Zaidi ya Billion Moja.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba maarufu kama Mr Clean kama ambavyo watanzania wengi hupenda kumwita . Amepata na kupewa heshima ya kipekee kabisa ya kuwa Mshauri wa Kanisa la Anglikana Tanzania Baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Tunapoilaumu CCM tukumbuke na haya!

    Katika mijadala ya kisiasa hapa kwetu, mara nyingi lawama zote hupelekwa moja kwa moja kwa chama tawala, CCM. Wengi husema chama hiki ndicho chanzo cha matatizo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii. Lakini kabla ya kufikia hitimisho hilo, ni muhimu kujiuliza: kwa nini tumefika hapa tulipo? Je...
  12. JamiiForums Tanzania Toka kuanzishwa kwake Chadema haijawahi kuwa na Ushawishi Tanzania Zanzibar

    Ni vyama viwili tu vya upinzani ndio vimeweza kupenya kwenye ngome ngumu ya Tanzania visiwani yaani CUF na ACT wazalendo. Hii inamaanisha ili wapinzani kushika dola wanapaswa kuungana dhidi ya CCM. Mwaka 2015 walijaribu wakisaidiwa na EL lakini kwa kuwa muungano wao haukuwa na baraka za wananchi...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania haina haja ya kua na ushirikiano wa kidiplomasia au kimaendeleo na taifa ambalo haliheshimu uhuru wa taifa jingine.

    Na ni muhimu sana wadau wa Jf kufahamu hili. Tanzania kama nchi huru, kamwe haiwezi kubabaishwa na mabadiliko ya kidiplomasia au kimaendeleo na taifa ambalo haliheshimu uhuru wa mataifa mengine, mathalani Tanzania. Tanzania itaendelea kuheshimu uhuru wa mataifa mengine na kuendelea kua kisiwa...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Iraq wa dola millioni 191 kwa Tanzania wazua mjadala mkubwa nchini Iraq

    Nyaraka rasmi kutoka Wizara ya Fedha ya Iraqi zinaonyesha kuwa Iraq iliidhinisha mikopo ya jumla ya dola milioni 191 kwa Tanzania. Takwimu hii ilithibitishwa Aprili 2026 na Mfuko wa Maendeleo ya Nje wa Iraq. Kwa jumla, vifurushi vya usaidizi wa kifedha vya Iraq vilifikia dola milioni 254, ambazo...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania na Namibia zasaini Mikataba Minne ya Ushirikiano Kuimarisha Ulinzi, Biashara na Maendeleo ya biashara ndogo na za kati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, wameshuhudia utiaji saini wa mikataba minne ya ushirikiano kati ya Jamhuri ya Muungano waTanzania na Jamhuri ya Namibia, hatua inayotarajiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge wa IRAQ afichua mkopo wa dola milioni 191 kwa Tanzania uliotolewa na serikali iliyopita

    Tanzania inatajwa kuwa na deni kubwa zaidi miongoni mwa nchi zilizotajwa, ikidaiwa dola za kimarekani milioni Mataifa mengine yaliyotajwa ni Uganda (dola milioni 15), Jamhuri ya Afrika ya Kati (dola milioni 7), na Niger (dola milioni 4),. Washiriki wa mazungumzo hayo wanaonyesha mshangao na...
  17. JamiiForums Tanzania Shigongo: Kwa Afrika, Tanzania tunashika nafasi ya 5 kwa kubeti Afrika, nafasi ya 3 kwa unywaji pombe

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inashika nafasi ya tano barani Afrika kwa shughuli za kubeti na nafasi ya tatu kwa unywaji wa pombe, akieleza kuwa hali hiyo si sifa nzuri kwa taifa lenye idadi kubwa ya vijana. Ameitaka Serikali kuweka mazingira yatakayowasaidia vijana...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini kumekuwa na story nyingi sana za kutunga mtandaoni Tanzania?

    Nini kimetokea kuanzia JamiiForum, Facebook, Twitter na Instagram raia wengi wa Tanzania hasa vijana wanaposti visa au story nyingi mbalimbali za matukio ya uongo tu ya kutunga ya mahusiano, ndoa, uchawi n.k ?
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yasema huduma zilizotolewa katika Mradi wa Kupanua Huduma za Uzazi wa Mpango (SuFP) zitaendelea kutolewa nchini

    Viongozi wa serikali, washirika wa maendeleo, wataalamu wa afya, asasi za kiraia pamoja na wawakilishi wa jamii wamekutana jijini Dodoma, Juni 18, 2026 katika kongamano la kujifunza lenye kaulimbiu “Kudumisha Mafanikio Yaliyopatikana katika Afya ya Uzazi na Jinsia”, kuadhimisha kufungwa rasmi...
  20. JamiiForums Tanzania Ujio wa huyu ni kwamba na Tanzania deni linafutika kwa kualikwa au ?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…