tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Wasukuma mulimhola: Mmetisha kujaza Tanzania kila mahali!

    Kweli wasukuma kabila kubwa, kila sehemu ya Tanzania wapo wengi na wanachapa kazi kwelikweli. Nimewakubali sana. Karibuni kwenye huu uzi tuwapongeze.
  2. JamiiForums Tanzania Je Urais wa IPU Una Faida Gani Kwa Tanzania? Majibu Haya Hapa

    Kuna Hype (mhemuko) mkubwa kkwenye social media juu ya clip za Tulia Ackson akiwa kwenye mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Kuna wanaomsapoti kwa kauli zake kali dhidi ya maswali ya wabunge wakidhani amewaonyesha kuwa ana uwezo wa ki-uongozi. Na upande mwingine wanamuona amefeli kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kupewa Mkopo mwingine wa Tsh. Bilioni 720 kutoka IMF

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeeleza kuwa limefikia makubaliano na Serikali ya Tanzania yatakayowezesha utolewaji wa mkopo nafuu wa dola za Kimarekani milioni 265.78 sawa na takribani shilingi bilioni 720 kupitia utekelezaji wa program ya mikopo nafuu ya IMF ya Extended Credit Facility...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji kiongozi kijana kama Ibrahim Traoré wa Burkina Faso

    Wazee hili taifa letu la Tanzania wamelitapanya Sana kwa kuingia mikataba hewa ya kilaghai na mataifa ya nje . Kijana traore anezaliwa Mwaka 1987 nikijana katika viongozi wa afrika wa mfano na anafaa kuigwa, Kila anapopita wananchi hawachoki kumshangilia kwa kazi anayoifanya. Hapa kwetu wazee...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Wataalamu wa Haki za Binadamu wa UN watoa wito kwa Tanzania kumaliza ukiukwaji wa haki za binadamu kuelekea chaguzi za 2024/2025

    GENEVA (17 Oktoba 2024) – Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa Tanzania kumaliza ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea dhidi ya wanachama wa vyama vya upinzani, mashirika ya kiraia, waandishi wa habari, na watetezi wa haki za binadamu. Katika kuelekea uchaguzi...
  7. JamiiForums Tanzania POSSO Yatangaza neema kwa wanariadha Tanzania

    Kutoka kushoto ni Suleiman Nyambui, Luis Posso(Posso International Promotions) , Mao Hando , Zakarie Barie , Yuich Isaka (Asics) na Mwanariadha Gabriel Gerald Geay. Kampuni ya Posso International Promotions yenye Makao Makuu yake nchini Marekani imetangaza neema kwa wanariadha wa Kitanzania...
  8. JamiiForums Tanzania JE wajua ni Tanzania pekee Bunge hukutana kujadili matundu ya vyoo vya shule na zahanati? Duniani ni Tanzania pekee

    Bunge la Tanzania baada ya miaka 60 plus unakuta mjadala unahusu choo cha zahanati, kwamba real watu wanakutana Dodoma kujadili Choo cha zahanati fulani. Unakuta wanajadili Madaraja na Makaravati, wanajadili matundu ya vyoo vya shule. Na raia walivyo wajinga ndio vitu wanapenda kusikia, yaani...
  9. JamiiForums Tanzania Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  10. JamiiForums Tanzania Muda umefika FIFA kuhamishia makao makuu yao Tanzania

    Kila mtu ni mchambuzi wa soka. Kila mtu anajua sheria za FI FA Watu wanakula na kuishi kupitia mpira. Tunasubiri nini
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan VP Impeachment in Senate. Kenya is a million miles away in Democrat Practice. Tanzania inahitaji miaka 1000 kufikia kiwango hichi

    Transparency amongst senators showing clearly their position. Hakuna UNAFIKI wala kuonyesha eti kulamba uchafu wa aliyeko madarakani. Nimeipenda kwa kweli. Nasubiri kwa hamu upigaji kura. Nadhani ni HAKIKA TANZANIA INAHITAJI katiba MPYA ili kuondoa UCHAWA na kuweka COMPITENCE , INTEGRITY and...
  12. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Tanzania inajiandaa kurusha Setelaiti

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kutekeleza wa Mpango mkakati wa miaka mitano 2024/25 – 2029/30 wa Anga za juu utakaoiwezesha Tanzania kurusha satelaiti. Amesema kuwa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam imepata mradi wa Utafiti wa kuwezesha urushaji wa satelaiti...
  13. JamiiForums Tanzania Mini Research Report: Distribution of Registered Medicines Manufactured in Tanzania Homeland, SANITIZERS takes the lead!

    These results reflects the way things are as of today October 17, 2024. This report provides a breakdown of medicinal products registered in Tanzania, focusing on the product categories and performance of key manufacturers. The data highlights significant trends in the production of...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hatuweki open spaces za watu kupumzika katikati ya miji?

    Kwanini Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Mwanza hakuna open spaces katikati ya miji kama Nairobi wakati Tanzania tuna ardhi kubwa kuliko Kenya?
  15. JamiiForums Tanzania Hapa! Nimemkubali Tulia Akson! Mkuu wa mabunge yote duniani kutoka Tanzania

  16. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania Yalaumiwa kwa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Human Rights Watch, limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuchukua hatua za haraka kurekebisha hali inayozidi kuzorota ya haki za binadamu nchini, kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024. Kwa mujibu wa ripoti...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Human Rights Watch: Tanzania izingatie haki za binadamu kabla ya uchaguzi

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuondoa hali ya kuzorota kwa hali ya haki za binadamu kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Taarifa iliyotolewa Jumatano na shirika hilo, imeeleza kuwa tangu mwezi...
  18. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kwanza wa Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao Kusini mwa Afrika Wafanyika Tanzania

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa ujio wa Mkutano wa Jukwaa la Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao kwa Nchi za Kusini mwa Afrika unadhihirisha namna Tanzania chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia ilivyokuwa na mahusiano mazuri ambayo yamefungua milango...
  19. JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere anadhani Israel ni Tanzania

    Mwambieni Yericko Nyerere Israeli siyo Tanzania eti wataendelea kumchekea anavyowachambua huku akionyesha dhahili anawatweza. Mwambieni Yericko Nyerere alipo hata wa Israeli wapo, wakimwangalia tu. Mwambieni Yericko Nyerere Israeli hawacheki na huwa si wavumilivu kwa yeyote wanayehisi ni...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Dr Tulia akumbana na maswala mazito bunge la kimataifa tofauti na bunge la Tanzania

    Msikilize Na bunge letu lingalikuwa kama hili tungalikuwa tupo mbali sana kimaendeleo Cc Peter Msigwa Lucas
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…