tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Benki Kuu iliyo chini ya Serikali ya CCM imeamua kubadili Noti za Tanzania mwakani ambako pia kuna Uchaguzi Mkuu?

    Endeleeni tu kudhani Watu wote hatukunywa Maziwa na hatukula Samaki wa Sato na Sangara ili tuwe na Akili Kubwa za Kuwatangulieni kujua kile mlichokipanga au kuna mbinu gani mmeitumia hapa kwa Zoezi hili na hasa kuelekea huo mwaka wa Uchaguzi Mkuu (2025)
  2. gstar

    JamiiForums Tanzania Huwenda hii ikawa ndio sababu ya kubadilishwa kwa noti za Tanzania

    Mwaka fulani nilipomaliza chuo kikuu nikiwa bado kupata ajira rasmi niliamua kutafuta kazi nje ya kile nilichosomea chuoni. Kwani nilipokuwa o-level shule ya ufundi nilisomea ufundi wa kupaka rangi, hivyo niliamua kutafuta kazi hiyo ili niweze kusurvive ndani ya jiji la DSM huku nikiendelea...
  3. Soul21

    JamiiForums Tanzania TTCL hawana uwezo au ni hujuma kwa taifa na wananchi wa Tanzania?

    Tupo kwenye ulimwengu wa kasi kwa kila kitu ila TTCL kwenye huduma ya Internet wamelala au kukosa ubunifu. Mimi nimzaliwa wa Kilimanjaro na mtanzania ila jambo la mtando limekuwa kero sana kwenye baadhi ya vijiji vilipo chini ya mlima Kilimanjaro. Ukiangalia kwa sasa juu ya mlima huo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi kampuni za kukopesha zinaruhusiwa kukamata mali za wadaiwa wao? Akina mama wanalia kila kona ya Tanzania.

    Wamama wajasiriamali wanalia kila kona. Wanapokwa mali za ndani kwa kutolipa madeni. Je huu ni utaratibu?
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuwa maskini Tanzania ni chaguo la mtu mwenyewe. You can choose to die poor

    1998 nikiwa na miaka 12 kijijini kwetu alikuja kijana mmoja kutoka mkoa mwingine, alikuja kutafuta maisha. Alisema baada ya miaka 10 atawapa watu vibarua. Alifika hana kitu, kibarua chake cha Kwanza alilimishwa na Doni mmoja pale kijijini kwa makubaliano ya kupewa baiskeli used phoenix...
  6. FatherOfAllSnipers

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Palestina nchini Tanzania wameokoa Maisha yangu

    Assalam Aleykum! Habari zenu wakuu, mimi nachukua nafasi hii kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwenda kwenye Ubalozi wa nchi ya Palestina hapa Nchini Tanzania kwa kuokoa maisha yangu. Nilikuwa katika zunguka zunguka zangu hapa jijini kutafuta mkate wangu wa kila siku, nikiwa na njaa...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaridhishwa na ushirikiano uliopo na nchi ya Namibia

    NA. MWANDISHI WETU – WINDHOEK NAMIBIA Tanzania itaendelea kuimarisha misingi ya uhusiano wa diplomasia baina yake na nchi ya Namibia katika kuimarisha mahusiano yaliyopo katika nyanja mbalimbali huku mchango wa Tanzania katika uhuru wa Namibia ukitajwa. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Pakistan zakubaliana kupanua wigo wa ushirikiano

    Tanzania na Pakistan zimekubaliana kupanua wigo wa ushirikiano ili kukuza uhusiano wa uwili baina ya nchi hizo mbili huku wakitilia maanani vipaumbele vya nchi zote mbili kwa manufaa ya nchi na wananchi wa pande zote mbili. Wakizungumza pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya...
  9. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jifunze nguvu ya Sera ya Serikali inavyopaisha bei ya viwanja na mashamba hapa Tanzania

    Tofauti Kati ya Mji Mdogo (Township Authority) na Mji Kamili (Town Council) Mji mdogo (Township Authority) na mji kamili (Town Council) ni ngazi mbili tofauti za utawala wa miji, zenye mamlaka na majukumu tofauti. Tofauti kati yao inahusiana zaidi na ukubwa wa mji, uwezo wa kifedha, na huduma...
  10. KENZY

    JamiiForums Tanzania Hapa kwetu Tanzania msanii gani unafikiri ni mkali wa miondoko ya R&B?

    Binafsi kete naitupa kwa TID na Marioo hapo ni upande wa wasanii wakiume kwa wakike nafikiri maunda zorro na Vumi. TID Mario Maunda Vumi
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania The Delegation of the European Union to the United Republic of Tanzania and the East African Community (EAC) is looking for Secretary

    The Delegation of the European Union to the United Republic of Tanzania and the East African Community (EAC) is looking for: Secretary We are The European Union (EU) is an economic and political union between 27 European countries. It plays an important role in international...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye Bei nafuu ya Mafuta Oktoba 2024, Tanzania haipo!

    Baadhi ya nchi za Afrika zinaongoza kwa kuwa na bei nafuu za mafuta, hali inayosaidia kupunguza gharama za maisha na kutoa afueni kwa wananchi dhidi ya changamoto za kiuchumi. Licha ya changamoto za kimataifa na kikanda, nchi hizi zimefanikiwa kudumisha bei ya chini ya mafuta, jambo ambalo...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tanzania yang’ara kimataifa kwa kuwa na kituo cha ufuatiliaji majanga, wadau wa maafa wavutiwa

    NA. MWANDISHI WETU- WINDHOEK Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kwa kuwa na Kituo cha Ufuatiliaji wa Mwenendo wa Majanga na Tahadhari ya Mapema (National Emergency Operation and Communication Center Situation Room) katika Kituo cha Taifa cha Operesheni na Mawasiliano ya...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Nauliza hivi; tunatumia vigezo gani kupima maendeleo Tanzania?

    Utasikia uchumi umepaa mara maisha bora, hivi kwa speed yetu iko siku tutafikia nchi kama USA?
  15. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania unakua watajwa kuingia kwenye 10 Bora Afrika kwa pato la GDP

    Nchi ya Tanzania imeendelea kutajwa kuwa imara na kukua kiuchumi, hiyo ni baada ya kuingia kwenye orodha ya nchi 10 bora za Afrika kwa Pato la Taifa (GDP) kwa Mwaka 2024, kwa mujibu wa IMF. Ikiwa na GDP ya Dola Bilioni 79.87, maendeleo ya uchumi wa Tanzania yanaonyesha athari chanya za sera...
  16. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia. Tanzania ya 10 bora kwa uchumi imara

    Chadema msipinge
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Filamu za Kimkakati Kuandaliwa Kuelezea Utamaduni na Vivutio vya Tanzania

    FILAMU ZA KIMKAKATI KUANDALIWA KUELEZEA UTAMADUNI NA VIVUTIO VYA TANZANIA Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Bodi ya Filamu @tanzania_film_board na Michezo ya Kuigiza imeandaa Mkakati madhubuti wa kuandaa Filamu tano ambazo zitaelezea utamaduni, vivutio vya ndani, historia na...
  18. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita utakuja kuwa "Johannesburg" ya Tanzania?

    Inasemekana, kabla ya mwaka 1895, Cape Town ndio uliokuwa mji mkubwa wa Afrika Kusini. Lakini kugundulika kwa dhahabu miaka ya 1880's Johannesburg, kulifanya huo mji kukua kwa kasi na hatimaye kuupita Cape Town. Mpaka sasa ndiyo mji mkubwa kuliko yote Afrika Kusini, nafikiri! Inawezekana mkoa...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Upoteaji wa Watu, Hospitali zichunguzwe biashara ya figo na viungo vya binadamu Tanzania

    Wakuu Salaam Katika Swla la Upoteaji na utekaji wa Watu, Watu wa tiba Mbdala na Hospitali zichunguzwe biashara ya figo na viungo vya binadamu Tanzania Tunaweza Walaumu Polisi, TISS, Machawa wa vyama vya siasa nk. Lakini tunawasahau hawa wataalam wetu wa afya. Pia kuna watu wanazikwa na...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nimestaafu Rasmi Kujihusisha , Kushabikia, Kutoa Maoni, Kuhusu Siasa kwa Maudhui ya Tanzania

    Ndugu wana jukwaa naomba kipekee niwaombe radhi wote na nitoe taarifa yangu ya kustaafi kujihusisha na ujumbe au maudhui ya aina yoyote yanayohusu Siasa za Tanzania. Na sababu ya msingi ni kwamba bado jamii ya watanzania, Serikali na viongozi wake, vyama vyote vya siasa watu jawajakomaa...
Back
Top Bottom