tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kama Botswana, Senegal wameweza mageuzi, lini Tanzania upinzani utashinda?

    Matokeo ya uchaguzi uliokwisha nchini Senegal unaonyesha chama tawala kililchopigwa chini kwenye uchaguzi wa urais uliopita, kwa mara nyingine kimebwagwa vibaya baada ya chama cha Oussumane Sonko cha PASTEF viti 131 wakati chama cha rais wa zamani cha Takku Wallu Sénégal kikiambulia viti 13 tu...
  2. JamiiForums Tanzania Ni muda Cheo cha Makamu wa Rais kifutwe Tanzania

    Kwa Sasa Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatakiwa kupitiwa upya, na kuondoa cheo Cha Makamu wa Rais. Cheo hili hakina tija kinaongeza tu mlundikano wa vyeo visivyokuwa na maana. Makamu wa Rais Hana mamlaka Kama aliyonayo Waziri Mkuu, ndio maana Waziri Mkuu anaweza kumfukuza au kumsimamisha kazi...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha Kenya: Kuna Wakenya wanapiga pesa za Umma wanaenda kuzitakatishia Tanzania na baadae wanarudisha Kenya

    Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo. Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na...
  4. JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania katiba sio muhimu, Gaboni wamebadili katiba na hivyo kuhitimisha enzi za Omari Bongo

    Wakati Tanzana raia wanaambiwa kikubwa wanakula wanashiba na wanapata muda wa kujadili Yanga na Simba, Gaboni wameandika katiba mpga na hivyo kuhitimisha utawalala wa Familia ya Bongo. Kumbuka ni hadi yamefanyika Mapinduzi ya amani ndio katiba mpya imepatikana Gaboni, hii inaleta picha kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Tanzania anapaswa kusifiwa tu na si kulaumiwa

    Kumekuwa na watu wanaohoji kwanini rais anasifiwa sana ila hakosolewi. Kwanza, ana mamlaka makubwa kikatiba. Anaweza kufanya lolote atakalo asivunje sheria. Mfano, alipomteua Makonda wengi walistuka na kulaumu lakini aliwapuuza. Pili, alipomteua mkwewe na kumpa jukumu la kuchakachua, sorry...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu kwenye kupambana na majanga ya aina zote?

    Hello hello! Kulingana na kadhia hasa nyakati za majanga inachekesha sana, kitengo cha maafa, Jeshi la uokoaji, na kamati zote zimeendekeza Utopolo wa kujirudia, nyakati zote huambatana na haya. Uokoaji hafifu, duni wenye vitu hivi 1. Hakuna vifaa 2. Waokoaji sifuri 3. Raia wa kawaida...
  7. JamiiForums Tanzania Kamati ya kudumu ya bunge ya uwezeshaji taasisi za umma yaridhishwa na utendaji kazi wa benki ya TCB

    KAMATI ya kudumu ya Bunge ya uwezeshaji Taasisi za umma imeridhishwa na utendaji kazi wa Benki ya Biashara Tanzania -TCB, huku ikiielekeza benki hiyo kuendelea kutoa gawio kwa serikali kuu ili fedha hizo zitekeleze miradi mingine ya kimkakati. Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es salaam Leo na...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa Draft ndio mchezo unaoshika nafasi ya pili kwa kupendwa nchini Tanzania, Serikali ikae na wadau kuanzisha na kuendeleza mchezo huu

    Ukiondoa mpira mguu, mchezo wa draft ndio mchezo ambazo unachezwa katika wilaya zote nchini, hakuna wilaya hapa nchini utaenda utakosa wachezaji wa mchezo huu, nenda wilaya yoyote draft lipo na wachezaji wapo, Dar es salaam ndio balaa, kule manzese, mbagala, kinondoni ndio kuna mafundi wakubwa...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kikao cha Balaza la mawaziri kikiisha lazima taarifa itolewe ya walicho azimia, Tanzania ni kimya

    Kenya kila kikao cha mawazili kikiisha huwa inatolewa taarifa kwa umma kile walicho azimia hii ni ili Raia wajue nini kinazungumzwa na kupitishwa Hio ni Jana, na hio ni Taarifa tena Breaking News kabisa. Tanzanua vikao vya mawaziri ni siri nzito mno, waoiga Kura hawapaswi kujua hizo siri...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hivi rushwa kwa Matrafiki barabarani imeshahalalishwa Tanzania?

    Matrafiki hapa dar wanachukua rushwa balaa kwenye daladala na hawaogipi tena. Wanachukue buku mbili mbili hadharani kabisa bila woga na wameachiana idadi ya magari kwamba wewe tunakupa magari labda 40 kwa siku na yule atachukua elfu mbilimbile magari 50 na wanaachiana kabisa. Kidogo wanaogopa...
  11. JamiiForums Tanzania FT: Ethiopia 0 - 2 Tanzania | AFCON QUALIFICATION | Stade des Martyrs - DRC | 16-11-2024

    Match Day. KIKOSI CHA TANZANIA KINACHOANZA LEO Mpira ndio unaanza sasa. Updates Game on 05' Tanzania wanafanya mashambulizi hafifu kidogo kwenye lango la Ethiopia. Tanzania wanatawala game. 06' Msuva anakosa goli la wazi kabisa hapa, Amepata assist nzuri sana toka kwa Samatha. Namna gani...
  12. JamiiForums Tanzania Uganda analipwa mara nne ya mshahara wa Daktari wa Tanzania

    Sasa udokta Tanzania umekuwa kama uuguzi au ualimu wa shule ya msingi. Unatolewa kama UPE. By the way how can you strike for your rights if literally you were unqualified to study medicine? Madaktari wenye akili waliishia kwa akina Ulimboka. Nenda page 21, schedule 6. Kama mvivu kusoma...
  13. JamiiForums Tanzania Kusifu Viongozi Kupita Kiasi: Je, Ni Heshima au Dhihaka?

    Katika utamaduni wa Kiafrika, kuheshimu viongozi ni jambo la muhimu. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la tabia ya kuwapongeza viongozi kupita kiasi, hata wakati hawastahili. Je, hii ni kweli heshima, au ni dhihaka isiyo na maana? Utamaduni wa Kiafrika umekuwa na...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania: Mtendaji wa Kijiji auawa na kuchomwa moto porini. Makamu wa Rais atoa salamu ya shilingi ml 5 Kwa familia

    Serikali imesema baadhi ya watuhumiwa wanaodaiwa kumuua Afisa Mtendaji wa kijiji cha Nyahua wilayani Sikonge, Said Maduka kisha mwili wake kuuchoma moto na kuutelekeza porini, watafikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa baada ya uchunguzi wa kisayansi kukamilika. Mkuu wa Mkoa wa Tabora...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania, hapa tunatosha wapi?

    Aristotle, the great philosopher, alisema unaweza kuainisha serikali zote duniani katika haya makundi sita. Mimi binafsi naona nchi yangu ipo kwenye Oligarchy.
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania kuimarisha ufanisi wa mfumo wa kodi ili kukuza uwekezaji nchini

    Tanzania imechukua hatua stahiki za kuimarisha ufanisi wa mfumo wake wa kodi, ili kukuza uwekezaji na biashara na mataifa mbalimbali duniani. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahamoud Thabit Kombo, amesema hayo tarehe 13 Novemba, 2024 jijini Dar es Salaam...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania inaweza kwenda vizuri zaidi tusikubali tulipo!

    Ndugu zangu hii nchi yetu haitakiwi iwe hivi ilivyo sasa. Kuna Watanzania wengi wajanja na wabunifu na Mungu katupa mengi. Sasa inashangaza kama wananchi tunakubali tu mambo ya ajabu ajabu yaendelee nchini kama vile hayatuhusu. Tuache kwa mara moja kufikira sisasa na kufikiria nchi. Mfano...
  18. JamiiForums Tanzania Huduma za Starlink Tanzania: Uchambuzi wa Bei, Kasi, Ubora, na Uenezaji

    Huduma za Starlink, zinazotolewa na kampuni ya SpaceX, zimekuwa zikivutia nchi mbalimbali duniani kutokana na uwezo wake wa kutoa intaneti ya kasi kupitia satelaiti, hata katika maeneo ya mbali yasiyofikiwa na miundombinu ya kawaida ya intaneti. Tanzania, ikitarajiwa kuanza kutumia huduma hizi...
  19. JamiiForums Tanzania Diaspora Wetu Wanafanya Nini cha Kuonekanika Huko Ughaibuni?. Diaspora Mliofanikiwa, Onekanikeni Kupitia TAK na Rudisheni Tanzania Japo Kidogo!

    Wanabodi, Bado niko hapa nchini Marekani kwa ziara binafsi, nimejitahidi kujichanganya na baadhi ya wana diaspora wa Tanzania walioko nchini Marekani, na kujiuliza jee wana Dispora wetu, wanafanya nini cha kueleweka na cha kuonekanika?. Nimejitahidi kuwasiliana na kile chama cha DICOTA...
  20. JamiiForums Tanzania Starlink to launch its operation in Tanzania

    What you need to know: The application marks a significant step in Starlink's efforts to expand its global reach and bring high-speed satellite internet to underserved regions of Tanzania. Dar es Salaam. Starlink, the satellite internet service provider owned by Tesla billionaire Elon Musk, is...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…