tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tangu Taifa la Tanzania lipate uhuru hajawahi kutokea mwanasiasa bora na mzalendo kama Lissu. Kila atakayeshindana naye ataanguka

    Hakuna aliyewahi kuthibitisha kuwa Tundulisu amewahi kuhujumu mali au fedha za umma hata sh. Mia mbili. Hajawahi kuwa muoga kwasababu ya maslahi. Anaposimamia jambo uhai wake huuweka pembeni kabisa. Awamu ya tano kila walipotafuta mpenyo wamfunge afie jela hawakuona hata kadirisha kaliko wazi...
  2. Ma mee

    JamiiForums Tanzania Ni biashara gani ukifanya Tanzania unaweza kuwa millionaire au billionaire

    Habari zenu wapendwa kwa Tanzania kwa sasa ni biashara gani. Ukiifanya inaweza kukufanya kuwa millionaire au billionaire?🙏
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wakunja ngumi wanaleta mapinduzi Tanzania polepole

    Tulishasema mwaka jana mwezi wa kwanza kwamba misimamo mikali itaingia kama demokrasia ikipuuzwa na yameanza kutimia. Kuna watanzania vijana wengi nje na ndani ya vyama hawapendwezi na mwenendo wa sasa wa upatikanaji wa viongozi kwa njia ya wizi wa kura, polisi na usalama wa taifa na wako tajari...
  4. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi CHADEMA na kutawala siasa za Tanzania

    Bila kujali nani atashinda ama kushindwa na nini kitatokea baada ya uchaguzi, nimeona ukubwa wa CDM katika siasa za Tz. Uchaguzi wa Mwenyekiti CDM Taifa umetawala siasa za Tanzania kwa wiki kadhaa. Hakuna Chama tawala wala vyama vingine vya upinzani ambavyo vina-trend kwa sasa. Hili ni jambo...
  5. SIPENDI SIASA

    JamiiForums Tanzania KARIAKOO DERBY: Mechi baina ya Simba na Yanga, waamuzi watoke nje ya Tanzania kwa usalama wao pamoja na familia zao?

    Oya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani. Kama mtu anaweza kujiua kisa tu Simba kamfunga yangu au Yanga kamfunga Simba, wewe unafikiri...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kama China na Dubai zingesimamisha uzalishaji, ni wapi pangekuwa kimbilio la wafanyabiashara wa Tanzania?

    Nalenga kupanua wigo wa kufikiri! Ni wapi bidhaa za bei rahisi zinapatikana tofauti na China & Dubai? Vipi Thailand? Nasikia Pakistan nako kuna bidhaa bora na za bei rahisi hata kuzidi Dubai na China! Kuna mwenye uzoefu wa hizo nchi? 🙏🙏🙏
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania ufunguzi wa Kituo cha Afya Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema, dhamira njema ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ya kuipa kipaumbele Sekta ya Afya nchini ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma za uhakika za matibabu bila kuzifuata nje ya nchi. "Vission yake ni...
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna msanii Tanzania anaemzidi harmonize yaani Hadi wale wa zamani

    Hivi wakuu kuna msanii anaemzidi Harmonize yaani Kila nikiangalia hata wale wa zamani naona hamna kitu Sidhani ata kutakuja kutokea kama huyu mwamba Konde Boy. Bongofleva haimdai hata akifa leo yaani jamaa anajua mziki
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Nipeni Urais wa Tanzania muone namna gani CCM wametuchelewesha!

    Nitafanya mambo matano muhimu. 1. Kuufanya Arusha kuwa Mji wa Taasisi za Kimataifa Afrika ambapo Taasisi zote za kimataifa zitapewa maeneo ya kujenga Ofisi zao na Makazi ya Wafanyakazi wao Arusha- Kupitia hili nina uhakika wa kuingiza fedha nyingi sana za kigeni pamoja na kutengeneza ajira za...
  10. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Chadema na CCM ndiyo vyama vikubwa Tanzania kwa sasa. Hivi vingine vidogo ni bora vikachagua upande wa kuingia kati ya hivi vikubwa

    Sio kwamba navidharau hivi vyama vingine ila wasipojitathimini, wakaamua kujiunga na moja wapo wa hivyo vyama viwili vikubwa. Tanzania kwa sasa, wataishia kuzunguka hapo hapo mambo yajayo kisiasa yanaonyesha hivi ndio vyama vitakavyokuwa vikipokezana utawala katika taifa hili la Tanzania...
  11. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Fao la Kukosa Ajira Tanzania (Unemployment Benefit)

    Fao la Kukosa Ajira ni faida/msaada wa kifedha unaotolewa kwa mwanachama wa mfuko wa pensheni aliyepoteza ajira kwa sababu zisizo za hiari, kama vile kufukuzwa kazi, kuisha kwa mkataba, au sababu nyingine za halali. Hata hivyo, fao hili halitolewi kwa mtu aliyeacha kazi kwa hiari, kwani kufanya...
  12. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Doscover the wonders of Tanzania

    DISCOVER THE WONDERS OF TANZANIA The Serengeti National Park is a world-renowned safari destination known for its vast grasslands and diverse wildlife, including the annual Great Migration of millions of animals. Meanwhile, the Ngorongoro Crater is a UNESCO World Heritage site, featuring a...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo najiuliza, ilikuwaje mpaka Magufuli akawa Rais?

    Mpaka hii leo nafikiria, tena critically, ilifanyika vipi hadi John Pombe Mgufuli akafikia hatua ya kuwa Rais wa Tanzania? Sijamfahamu Magufuli akiwa Rais, nilikuwa namfahamu toka akiwa Naibu Waziri pale Wizara ya Ujenzi. Kuingia ofisini tu siku alipoteuliwa na Rais mkapa kuwa Naibu Waziri wa...
  14. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Vivutio vya utalii Tanzania

    Utalii Tanzania na Afrika Utalii ni sekta muhimu katika uchumi wa Tanzania na nchi nyingi za Afrika. Katika Tanzania, historia ya utalii inarudi miongo kadhaa nyuma, na inajumuisha vivutio vya asili kama mbuga za wanyama, milima, na maziwa. Ukweli kwamba Tanzania ina vivutio kama vile Mlima...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hakuna Tanzania bara Kuna Tanganyika.

    Ziliungana Zanzibar na Tanganyika sio Zanzibar na Tanzania bara. Tanganyika tunakwama wapi? Sio sawa kuita Tanganyika kwa jina la Tanzania bara kwasababu hata Tanganyika Kuna visiwa vingi pia kama vile Mafia, Mbuja, ukerewe, nk. Tanganyika inahitaji kuombewa ili ijitambue.
  16. Mandingo

    JamiiForums Tanzania Tanganyika yaitwa Tanzania Bara Azam tv!

    Nimeumia sana kuona Zanzibar ipo ila Tanganyika imebatizwa jina la ajabu eti Tanzania Bara!!!
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kama yote alioyaandika Kabendera ni ya kweli jambo zito lipo mbele ya jamuhuri ya Tanzania

    Mhandishi Kabendera ameandika mambo mazito na magumu sana ila ameniliza amenitoa machozi na sasa nina taka kuamini Tabiri zangu Mungu alikuwa na Mimi. Kifo cha Ben Saanane kiukweli kimnishituwa sana japo sishangai kwa maana kwa wale tuliona mbali tulijuwa kijana anacheza na moto wa makaa ya...
  18. mjasiriamali mdogo

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Matatizo ya Makocha WA mpira wa miguu Tanzania

    Wanamichezo naomba tujadili Kwa kina Matatizo ya Makocha wetu WA mpira miguu hapa nchini. Kwanini Makocha wetu hawaendi kufundisha nje ya Tanzania. Wana udhaifu gani na ni changamoto zipi wanazokumbuna ambazo huwafanya washindwe kutekeleza majukumu yao Kwa ufasaha.
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Japan nchini Tanzania ameipongeza TRA kwa kufanya makusanyo makubwa ya kodi kistarabu

    Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa leo tarehe 03 Januari, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumuaga baada ya kumaliza muda wake. Katika...
  20. eden kimario

    JamiiForums Tanzania hivi jeshi la polisi Tanzania linalinda usalama wa raia wa uingereza na mali zao au linalinda usalama wa raia na mali za mtanzania!!?kwa nini 1919

Back
Top Bottom