tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Leo Desemba 31, 2024 ni mwisho kwa Taasisi za Umma zinazohudumia zaidi ya Watu 100 kutumia Mkaa na Kuni Tanzania

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa amezikumbusha Taasisi na mashirika yote ya Serikali yaliyopo kote nchini Tanzania ambayo yanahudumia watu zaidi ya 100, kutekeleza bila shuruti agizo lake la kuitangaza Disemba 31, 2024 kuwa siku ya mwisho kwa matumizi ya...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Serbia paa la kituo cha Treni limeangua aliyekuwa Waziri kakamatwa na kushtakiwa, Tanzania kilijengwa kituo cha Mabasi Jangwani aliyekuwa Waziri kawa

    Uwajibikaji na kuwajibishana ni moja ya nguzo kubwa sana ya maendeleo. Huko Serbia aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wakati wa Ujenzi wa Kituo cha Treni amekamatwa na kushtakiwa baada ya paa la kituo hicho kuanguka. Tanzania tunakumbuka aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wakati wa Ujenzi wa kituo cha Mabasi...
  3. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Catherine Ruge: Tumejenga BAWACHA ya kisasa Tanzania nzima hakuna Wajumbe naomba mnichague tena ili nishirikiane na Tundu Lissu kuipaisha CHADEMA

    https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ ==== Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa...
  4. Bams

    JamiiForums Tanzania Wito: Rais Samia Toa Maelekezo ya Kumfukuza Anayetajwa Mwalimu na Mhamasishaji wa Ugaidi, Ili Kuokoa Tanzania ya Kesho

    Kila jambo baya lilikuwa na mwanzo mdogo, lakini wahusika hawakuushughulikia mwanzo, na baadaye wakaangamia au wakalazimika kutumia gharama kubwa kuokoa Taifa au jamii yao. Tanzania hii ya leo, pamoja na matatizo mengi tuliyo nayo, umoja wetu usiozingatia dini, kabila au eneo mtu atokalo ni...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Top 5 mikoa ya amani na Top 5 mikoa yenye fujo hapa Tanzania kwetu

    A.Mikoa yenye amani 1.Lindi. 2.Iringa 3.pwani 4.Dodoma 5.singida Vigezo 1.matukio ya mauaji machache na ukatili wa kijinsia 2.matumizi machache ya madawa ya kulevya 3.stress kidogo B.mikoa yenye fujo 1.dar 2.arusha 3.tabora 4.mtwara 5.mara Vigezo 1.matukio mabaya na utapeli umetamalaki...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tanzania inazidi kudidimia katika soko la Viwanda vya Uzalishaji, China, Ulaya & Marekani wakigombea umwinyi wa Afrika

    Zamani tulishuhudia Afrika ikiwa kwenye Makwapa ya mataifa ya Ulaya na Amerika Leo China imeongeza kwapa lake . Tanzania na Afrika imejisalimisha Rasmi na imekubali nguvu zake za uchumi ikabidhi kwa Wachina, YeboYebo na makobazi yanayouzwa kama njugu barabarani hayatengenezwi Dar es Salaam...
  7. milele amina

    JamiiForums Tanzania Usultani na Umangi au Uchifu: Hatari zake katika Maendeleo yetu kwa siasa za Tanzania

    Utangulizi: Katika jamii zetu za Kiafrika, dhana za usultani, umangi, na uchifu zimekuwa na mchango mkubwa katika utawala na usimamizi wa mambo ya kijamii. Hata hivyo, wakati mwingine, mifumo hii inaweza kuleta changamoto kubwa kwa maendeleo yetu. Katika muktadha wa kisasa, tunashuhudia mifano...
  8. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Asili ya Msemo "Underdog"

    Tanzania, kama ilivyo kwa maeneo mengine ya Afrika na duniani, tunapenda sana mpira wa miguu. Mchezo huu umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wetu, ukijumuisha shangwe, mazungumzo na matumaini ya kila siku. Miongoni mwa misemo maarufu inayotumiwa na mashabiki, wachambuzi wa soka, wataalamu, na...
  9. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ni nani anahujumu IP Address za Tanzania?

    Nimelipia online service moja lakini cha ajabu malipo yamekataliwa na kuambiwa kua IP Address niliotumia kufanya malipo iko katika range ya IP ambazo ziko black listed, na Tanzania iko blacklisted kutokana na constant abusive behaviour mtandaoni. najiuliza, watanzania hawa hawa wanaokesha...
  10. Damaso

    JamiiForums Tanzania Majadiliano ya Dini yanayokuja Tanzania hayana mashiko.

    Majadiliano ya kidini baina ya wafuasi wa dini mbalimbali yamekuwa yakijadiliwa sana katika miaka ya hivi karibuni. Wengine wanaamini kuwa haya majadiliano ni muhimu kwa kukuza uelewa, uvumilivu na amani kati ya watu wa dini tofauti. Hata hivyo, ni muhimu kutambua kuwa majadiliano haya yanaweza...
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mufti wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Assalam alaykum warahmatullahi wabarakaatuh. Habari ya majukumu hapo ofisini kwako, bila shaka umzima wa afya na waendelea vyema na majukumu waliyokupatia waislamu katika kukitumikia kiti hicho. Pamoja na raddi na mivuguvugu mingi unayoipata toka kwa mahasimu wako wa kiitikadi lakini bado...
  12. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanzania wanaongeleaga kuhusu viwanda ila sijawahi wasikia wakiongelea na inteligensia ya kuvilinda viwanda

    Ukiwa Arusha mjini, mitaa ya Unga Limited, sasahivi yamebakia kuwa magodown, ila wazazi wetu wanatuambia miaka ya 70 na 80 kulikuwa na utitiri wa viwanda vingi sana. Na hiyo ni Arusha; ukienda na mikoa mingine kama Dar es salaam, Mwanza, Mbeya, Tanga na Morogoro, utakutana na similar story. Kwa...
  13. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kesho huenda kukawa na Maandamano ya Vijana Kenya kupinga Utekaji, wameandaa wenyewe bila Wanasiasa.Njoo Tanzania tunamtafuta mtu wa kutuandamania

    Nitarudia hili mala trilion , Tatizo la Tanzania sio kukosa upinzani imara au watu imara au Chama imara bali ni kukosa raia walio tiyali kupigania nchi, kumejaa keybord worrior tu. Vijana wa Kenya wana set maandamano Kesho wao wenyewe kwenye socia media na wanaingia road wenyewe, bila...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania kero hizi hazijawahi kuisha , sasa ni sehemu ya maisha yetu

    Kuna kero Tanzania zipo tu na zinaonekana hakuna ufumbuzi , yaani hata uwe na billion mia Bado hizi shida utakuta nazo. 1. Barabara mbovu hizi zipo tu nunua gari Yako ya bei Kali Kuna sehemu hutopita nayo kisa barabarani mbovu. 2.shida ya maji ipo tu hii , tafta pesa chimba kisima...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Prof Lipumba: Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa

    Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa, kulingana na uwekezaji wa 46% pato la taifa lilipaswa kukuwa kwa nusu yake ambayo ni 23% lakini uchumi umekua kwa wastani wa asilimia 5.7 tu. Kwa miaka minne...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Raddi kwa Muslim University of Morogoro na Islamic Seminaries zote za Tanzania

    Assalam alaykum jamiah . naam, leo nimekuja kuwananga ndugu zangu waislamu (Wahadhiri) wa Chuo Kikuu Cha Waislamu Morogoro pamoja na walimu wa shule za msingi na sekondari za kiislamu, hususan zinazojiita seminari. Katika uzi huu nitaangazia nukta moja tu kwa vile ninazo nukta kadhaa za kusema...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nyota Mpya ya Tanzania: Rais Samia Hassan aongoza Mageuzi ya Kiuchumi

    Tanzania, ambayo kwa muda mrefu imeonekana kama moja ya nchi zenye viwango vya juu vya kiuchumi katika Afrika Mashariki, sasa inavuma kwa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu kuchukua madaraka mnamo Machi 2021, Rais Samia amejitokeza kama mtu wa mageuzi, akiiongoza nchi kuelekea utulivu...
  18. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Msanii gani wa Muziki au Filamu amefanya vizuri zaidi mwaka 2024 Tanzania?

    Mwaka 2024 umekuwa na ushindani mkubwa katika tasnia ya muziki na filamu Tanzania. Tumeona wasanii wakichanua, wakiachia kazi kali, na kushinda tuzo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Swali linabaki – ni msanii gani amefanya vyema zaidi kwa mwaka huu? Je, ni msanii wa muziki ambaye nyimbo zake...
  19. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jinsi Freeman Mbowe anavyoenda kumfuta Lissu kwenye siasa za Tanzania

    Freeman Mbowe ndio mwanasiasa wa upinzani mahiri kuwai kutokea tangu Tanzania iumbwe, anaebisha ilo ni mjinga. Amewaacha mbali sana wanasiasa wote wa upinzani mtu pekee aliyekuwa anamkaribia Mbowe ni Maalim Seif. Ni mwanasiasa wa mfano na role model kwa kuwa anaweza kukusanya pesa na raslimali...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Watawala wetu wajitathmini upya. Tanzania na Msumbiji hakuna tofauti sana

    Napenda kuwaasa watawala wetu kuwa, kuanzia sasa waanze kusoma alama za nyakati. Mwaka 2025 tunarajia kufanya uchaguzi Mkuu. Viongozi wetu waongoke, wasirudie tena yaliyopita katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, uchaguzi Mkuu 2020 na uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Kinachoendelea...
Back
Top Bottom