tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Tanzania tuna teknolojia inayoweza kuangalia Saratani inayoweza kujitokeza miaka 10 ijayo mwilini

    Mbunge wa Jimbo la Siha ambaye ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Sekta ya Afya imepiga hatua kubwa nchini kutokana na maendeleo mbalimbali yaliyofanyika kutokana na uwekezaji uliofanywa na Serikali. Dkt. Godwin Mollel amesema Shilingi Trilioni 6.7 zilizotolewa na Serikali...
  2. JamiiForums Tanzania Ikulu WIki Hii: Muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan katika wiki hii

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
  3. JamiiForums Tanzania Kenya inapaswa kuiwekea vikwazo mamlaka za Tanzania kutoingia nchini humo ili kushinikiza haki za kusafiri za wakenya nchini zinafatwa

    Kenya inapaswa kuiwekea vikwazo mamlaka za Tanzania kutoingia nchini humo ili kushinikiza haki za kusafiri za wakenya nchini zinafatwa. Kuna idadi kubwa sana ya wakenya wamezuiliwa kuingia nchini kwa sababu zisizo za kisheria ikiwemo viongozi wa juu kwa kenya hili haikubaliki hata kidogo.
  4. JamiiForums Tanzania CEO JKT Tanzania ameiabisha taasisi ya umma kwa uchawi michezoni, hafai

    Hakuna jambo kubwa linaloweza kufanyika ndani ya taasisi bila CEO kufahamu na kuruhusu lifanyike. Kama anafahamu anajua na kama hafahamu anajua pia kuajibika kuko palepale. JKT Tanzania wameonesha vitendo vya ushirikina michezoni kwenye mechi ya nusu finali na yanga. Hii sio sawa kwa timu ya...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Martha Karua wa Kenya ameshikiliwa Tanzania kabla ya kesi ya mahakamani ya Tundu Lissu

    Mwakilishi wa Kenya, mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu Martha Karua amekamatwa Tanzania alipoingia katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tarehe 18 Mei 2025. Alikuja kumwakilisha kiongozi wa upinzani Tundu Lissu ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kusaliti nchi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania itanufaika vipi na uteuzi wa Prof. Janabi WHO

    Kwanza napenda kumpongeza Prof. Mohamed Yakub Janab kuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kipindi cha 2025–2030. Napenda kufahamu sisi kama watanzania pamoja na nchi kwa ujumla tutanufaika vipi na uteuzi huu. Naomba kuwasilisha The introvent ✍️ Soma...
  7. JamiiForums Tanzania Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika

    Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono
  8. L

    JamiiForums Tanzania Moshi Mweupe Wafuka Juu Ya Bendera Ya Tanzania Geneva Uswisi. Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea

    Ndugu zangu Watanzania, Moshi Mweupe Wafuka Juu ya Bendera Yetu ya Tanzania Geneva Uswisi. Yatabiliwa Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea kwa mara nyingine tena katika kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika. Hii ni kutokana na uungwaji mkono mkubwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Wana intelligence unit wa Tanzania mnajua Dunia imebadilika sana?

    Kiukweli naandika kwa uchungu sana naandika kwa maumivu sana our intelligence unit mna failed ktk kuikinda hii nchi na high brid war warfare. Naandika nikiwa kama Raia ila najiona kuwa na uwezo wakuona nje ya unit. Hivi kweli mnajuwa kabisa hili Taifa lime sign mikataba ya kimataifa na nyie...
  10. JamiiForums Tanzania Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

    Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu. Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa. Nina mashaka.
  11. JamiiForums Tanzania Je, Tatizo la Tanzania ni Kukosa Viongozi Wenye Akili na Maadili?

    Wakuu, nimeona nilete huu mjadala hapa jukwaani kwa maslahi ya taifa letu. Ni mjadala mgumu lakini muhimu sana kwa kila Mtanzania mwenye uchungu na mustakabali wa nchi yetu. Tangu tupate uhuru, tumepita na marais, mawaziri, wabunge na viongozi wa kila aina—lakini matatizo yetu yamebaki kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani uliopo nchini zaidi ya mara moja umetoa tahadhali kwa raia wake kutokana na matukio ya utekaji na uhalifu yanayoendelea nchini

    Tahadhali zimetolowa kulingana na website ya ubalozi huo zilitolewa mfululuzo kwa kwanzia tarehe, 1 April, march 21 na May 15. ikitoa tahadhali za kiusalama kwa raia wake walio nchini kutokana na kuongezeka kwa mauwaji ya kiholela na matukio ya kiuhalifu na utekaji kwa watu mbalimbali ikiwemo...
  13. JamiiForums Tanzania Bora kusomea Degree nyumbani Tanzania halafu Masters Nje kama una uwezo?

    .
  14. M

    JamiiForums Tanzania Labda uwe Mcha Mungu wa kweli unaweza ukaachia madaraka Tanzania

    Huwezi kuacha madaraka ukakosa hivi nchini Tanzania 1. Posho 2. Usafiri mzuri 3. Ulinzi wa kutosha 4. Mahitaji yote free Ukiwa mbunge, waziri au cheo chochote hivyo ni matunda Labda uwe mchamungu wa kweli kweli ndio uachie hayo
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA yaita Watu wote Duniani kuhudhuria Kesi ya Tundu Lissu Mahakamani

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kote Duniani hii hapa Kwa Wale wasiojua Kiswahili nyingine hii hapa
  16. JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Mkuu wa Tanzania Assemblies of God, Dkt. Immanuel Lazaro amefariki Dunia

    Tutaendelea,kuwapatia taarifa zaidi! TANZIA: Askofu Mkuu wa kwanza mstaafu wa Tanzania Assemblies Of God (TAG) Dkt.Emmanueli Lazaro amefariki Dunia Mei 17,2025 . Akitoa taarifa za kifo hicho Makamu Askofu Mkuu wa TAG, Magnus Mhiche amesema kuwa Hayati Dkt.Emmanuel Lazaro alifariki hapo jana...
  17. JamiiForums Tanzania FT |Young Africans SC 2-0 JKT Tanzania | CRDB Federation Cup | Semi-Final | Mkwakwani Stadium | 18.05.2025

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 DAY 🔰 🏆 #CRDBBankFederationCup ⚽️ Young Africans SC🆚JKT Tanzania 📆 18.05.2025 🏟 CCM Mkwakwani 🕖 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Updates Kikosi cha Yanga Kinachoanza. KIKOSI CHA JKT Updates... DK 41 Prince Dube anaipatia Yanga Goal lakuongoza. Alipokea Assist nzuri...
  18. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae

    Polisi Tanzania: Ni Wakati wa Kujenga Urafiki na Wananchi na Vyama vya Upinzani, ikiwemo CCM- Mpinzani Mtarajiwa wa siku za baadae. Katika jamii yoyote yenye misingi ya kidemokrasia, jeshi la polisi muna nafasi ya kipekee kama muhimili wa kulinda haki za watu, usalama, amani na haki za kila...
  19. JamiiForums Tanzania TEHAMA TANZANIA (IT)

    Nianze na Pale Mjini YouTube Uki search " Jinsi ya kutengeneza Software " saaana inakuja Youtube Channel Ya NK -- NK- Computer Training,, kwa wingi sana, na Uki Muuliza ROBOT yoyote au wengine wanasema AI , wengine ChartGPT,, Majibu unayo yapata huko mjini youtube na kwa ROBOT ni tofauti...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania inarudia historia ya Yerusalemu?

    SABATO NJEMA .... "Ee Tanzania, Tanzania… Uwauaye Wakosoaji wako Kama Yerusalemu" Neno Kuu Mathayo 23:35 “Ili juu yenu ije damu yote ya haki iliyomwagika juu ya nchi, tangu damu ya Habili mwenye haki, hata damu ya Zakaria mwana wa Barakia, mliyemwua kati ya patakatifu na madhabahu.”...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…