tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Special Thread: Motivational/ Interesting/ Wise Quotes

  2. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tanzania watembelea Bandari ya Oslo nchini Norway

    Bandari chanzo kingine cha Biashara ya Kaboni, hayo yaamelezwa na Ingvar M. Mathisen, Mkurugenzi Mkuu wa Bandari ya Oslo, Norway kwa ujumbe wa Tanzania uliotembelea bandari hiyo hivi karibuni. Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania Immigration laws prohibits a prostitute to enter the country! Read Sect.23e

    Immigration Act sect. 23(1-e)states clearly as follows; A prohibited immigrant means any person who ,If he seeks to enter Tanzania is or,if he has entered Tanzania was at the time of his entry is a (e)A prostitute or a person who is living on or receiving,or who prior to entering Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Reliable Air Cargo Services from China to Tanzania at $11.5/Kg

    Dear Customers We are excited to introduce our reliable and efficient air cargo service from China to Tanzania, designed to meet your shipping needs at an affordable rate of $11.5 per kilogram. Why Choose Our Service? Speed: Timely delivery of your goods using efficient air transport routes...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu zaidi kwa CHAUMMA kupata mafanikio ya Kisiasa Tanzania tena ni rahisi zaidi kwa TLP ya Mzee Mrema kukamata dola 2025

    .CHAUMMA INA UMA. Kuna baadhi ya wanasiasa wanajidanganya na wengine kudanganywa kuwa CHAUMMA inaweza kuwa tishio kwa chama tawala leo au kesho, hii naomba wasahau kabisa. Kwa taarifa tu, Vyama vyote vilivyoanzishwa kama matokeo ya migogoro havijawahi kufanya vizuri popote duniani tujiulize...
  6. JamiiForums Tanzania Nani anawadanganya Wakenya kuwa wana Ubavu wa Kushindana 'Kijeshi' na Tanzania inayoogopeka 'Kijeshi' na 'Kiujasusi' Ukanda wa Maziwa Makuu?

    Na bahati nzuri nilipo sasa GENTAMYCINE nakutana na Wanajeshi wa kutoka Tanzania, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini na wa Kenya. Taarifa ambazo ninazo na pia tu kwa Kuona kwa Wanajeshi wa Kenya ni kwamba wanachojivunia nacho zaidi ni Majigambo na Kiingereza kingi ila nikiwaona katika Mazoezi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma Tanzania kazi yetu kubwa ni kusubiri mshahara, posho na madili

    Mimi siku zote nakuwa honestly, mkweli. Si mbinafsi, sifurahishwi na ubadhilifu na uzembe kazini. Ingawa mazingira yanaweza kummeza mtu. Naamini watumishi wa umma wengi tu ni watu wenye MIOYO safi, wenye MIKONO safi lakini mazingira yao ya kazi yanawameza. Na baadaye kugeuka kuwa watu wa hovyo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni kama Ujerumani mashariki kabla ya 1989

    Ni Muda tu lakini Tanzania itakuwa na mfumo kama wa Kenya kwasababu watu hao hao, wote wanapenda uhuru , jamii ni moja, utamaduni ni mmoja. Tofauti ya Kenya na Tanzania ni mifumo tu. Mfumo wa Kenya utashinda kwasbabu unaleta maendeleo zaidi na jamii ya watu wa Kenya na Tanzania wanapenda uhuru...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X

    Hali si Hali nchini Tanzania. Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X. Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa...
  10. JamiiForums Tanzania Innocent until proven guilty OR guilty until proven innocent; Where does Tanzania stand?

    Umeshawahi kujiuliza, hivi ukikamatwa na polisi, ukafunguliwa kesi, ukakaa mahabusu mwaka mzima kupisha uchunguzi ukamilike, baadaye ukaachiwa kwakuonekana hukuwa na hatia, nani anayekufidia hasara ya muda, maumivu na haiba yako inayotokana na kadhia hii? Jambo hili ndio msingi wa masharti ya...
  11. JamiiForums Tanzania Martha Karua na wenzake wakawaulize makaburu kuhusu balaa la vyombo vya dola vya Tanzania kabla hawajajilaumu mbeleni

    Ninasikitika sana nikiona mitandaoni watu wakiwasifu kina Martha Karua na wanaharakati ushuzi wengine wakidhani wanaweza kuitikisa serikali ya Tanzania. Ninasisitiza kuwa serikali ya Tanzania chini ya CCM ni serikali imara kuliko wajinga wengi wanavyodhani. Makaburu na ubabe wao wote walikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu zinazomfanya Tundu Lissu kuwa shujaa wa taifa la Tanzania. Ndani na nje ya nchi amepata sifa kubwa

    Kutaka taifa la Watanganyika kuwa na katiba ambayo italinda na kutetea rasilimali za Watanganyika. Kuwa msema kweli na kutopindisha maneno. Kuwa Mzalendo wa kweli.
  13. JamiiForums Tanzania Kuna kipindi kupitia redio ya Kenya radio47 kikijadili udukuzi wa Tanzania account za serikali

    Kama utapata mda kuna kipindi kina channel yake kikiitwa radio47 kuna mkenya mmoja kaeleza kama kafunguka kwa hasira. Anavyo dai tanpol kwenye account zake kwenye nywira (password) wametumia jina la diamond,zuchu au mama samia 1234 ndio zinatumika. Mpaka anaeleza haya inawezekana hata account...
  14. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaomba Jumuiya za Kimataifa msamaha kwa niaba ya Tanzania, kwa madhila yaliyowakumba wageni wa kesi ya Lissu

    KISINGIZIO CHA SOVEREIGNTY BILA WAJIBU CHA SERIKALI YA TANZANIA, CHADEMA YAAMUA KUBEBA WAJIBU WA KUWAJIBIKA KUZIMA HASIRA ZA JUMUIYA YA KIMATAIFA CHADEMA katika press conference leo 20 May 2025 imewaomba wageni wote waliopata kadhia kutoka mamlaka za serikali ya Tanzania. Wageni hao wengine...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania na kosa la uhaini

    Kupitia mijadala mbalimbali na hasa baada ya TAML kukamatwa na kufunguliwa shitaka la uhaini kumekua na mijadala mingi sana na nilichogundua ni kwamba watu wengi hawajielekezi kwenye kanuni za uhaini. Ili uhaini utendeke vipo vipengele kadhaa (principles) vikamilike ndio waweza kumtia...
  16. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu: Usiku wa kuamkia leo na ninyi mlidukuliwa ama shida ilikuwa ni nini?

    . Hali isiyo ya kawaida leo kuanzia mida ya sita usiku nimetumiwa message kwenye simu yangu kwa namba tofauti tofauti. . Nikawa nafikiria labda kuna watu walikuwa wananitafuta kuhusu masuala fulani au wamesajili namba tofauti hivyo wananijulisha kuwa wana namba mpya. . Asubuhi naamka kisha...
  17. JamiiForums Tanzania Fighting for Tanzania

    Fighting for Tanzania "Fighting for Tanzania" ni nini ? ni uhamasishaji wa mabadiliko chanya kwenye nchi na kupinga vikali matukio ya kiuhalifu na utekaji, matukio yote ya uvunjifu wa haki za binadamu, matukio yote ya matumizi mabaya ya madaraka, matukio yote ya ukiukwaji wa makusudi wa...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania yang’ara katika mkutano wa wakaguzi wa majitaka migodini nchini Sweden

    Tanzania imeendelea kung’ara katika majukwaa ya kimataifa baada ya kuwa kivutio kikubwa katika mkutano wa Tathmini ya Mafunzo ya Ukaguzi wa Majitaka ya Migodini unaofanyika katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Luleå, nchini Sweden. Mkutano huo wa kitaalamu unahusisha nchi saba...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Gaming board of Tanzania wanaboa sana.

    Hawa jamaa ukisikia kimeo ndo hawa yani,watu wamepiga oral tangu tarehe 16 April,ila cha kushangaza mpaka leo yenyewe hayajawajulisha wahusika kama wamepata au not. Hawa watu ukiwatizama wana changamoto nyingi unaweza kusema wanatengeneza mazingira ya kupachika watu wao.mifano ni hii. 1...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tamko rasmi la mashabiki na wadau wa mpira wa miguu Tanzania

    TAMKO RASMI LA MASHABIKI NA WADAU WA MPIRA WA MIGUU TANZANIA Kuhusu Msimu wa 2024/2025 na Wito wa Mabadiliko ya Haraka TPLB Sisi kama mashabiki wa mpira wa miguu Tanzania, tunatoa tamko hili kutokana na kukithiri kwa dosari, vitendo visivyo vya kitaalamu, na uendeshaji mbovu wa Ligi Kuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…