Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Wadau, sina mengi zaidi ya kusema kwamba naona kabisa Maisha yangu hapa Tanzania yanaelekea pabaya, nadhani suluhisho pekee ni kwenda mbali kama sio nje ya Tanzania basi mbali kabisa na mji wa dar es salaam.
Kama kuna wadau wowote wanafahamu au wana uwezo wa kunisaidia kutimiza hilo naomba...
Kwa Mwaka wa Masomo 2025-2026, Ubalozi wa India nchini Tanzania kupitia Baraza la Mahusiano ya Kitamaduni la India (ICCR) unatangaza ufadhili wa masomo kwa raia wa Tanzania wanaotaka kusoma shahada ya uhandisi kwa miaka minne katika vyuo vikuu vya India kupitia Mpango wa Quad STEM Scholarship...
Leo tumehabarishwa na Benki Kuu ya Tanzania(BOT) jinsi shillingi ya Tanzania bado ni HIMILIVU. Binafsi mimi sikuelewa maelezo yao lakini cha ajabu leo Dollar moja ya Kimarekeani ni Tshs.2,642.934 na wiki ijayo si ajabu utakuta Dollar moja ya Kimarekani itakuwa Tshs.3,000. Bado thamani ya...
Ripoti mpya iliyochapishwa leo Machi 26, 2025 inaonesha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda yanapoteza hadi dola bilioni 5 sawa na Shilingi Trilioni 13 za kitanzania kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja.
Ripoti hiyo ya shirika la hisani la Open for Business la...
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI YA TANZAΞΞΞ DHIDI YA DOLA YA MAREKANI
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari. Taarifa hiyo, iliyochapishwa tarehe 19 Machi 2025, ilidai kuwa Shilingi ya Tanzania...
Copper inachimbwa kwa wingi sana DRC tokea mda sana ila cha ajabu kama nchi tumeshindwa kutumia hii nafasi ya kuitumia copper kwa manufaa ya nchi
Ni wakati wa nchi kuvutia waekezaji waje wajenge smelter za copper Tanzania na uzuri wa smelter za copper unaweza tumia blast furnance kwenye...
Nimesikitishwa niliposikia kumbe Tanzania ni ya mwisho kiteknolojia nyuma ya
Kenya
Uganda
Rwanda
Nataka kujua hii taarifa inaukweli wowote, na kama ni kweli imekuaje tukabaki nyuma wakati Tunaambia Tech ndio Kila KITU?
Je ni matokeo ya ujamaa?
Je ni hofu za wanasiasa?
Je sisi ni vilaza na...
Utangulizi
Uongozi unachukua nafasi muhimu katika maendeleo ya taifa. Nchini Tanzania, changamoto kama ufisadi, utawala dhaifu, na maamuzi mabaya vimezuia ukuaji wa uchumi na maendeleo ya kijamii. Ili kukabiliana na matatizo haya, mfumo wa kuchagua viongozi unahitajika. Kielelezo cha Sifa Jumla...
TLS tuliitisha Mdahalo wa Kitaifa kuzungumzia Utekaji Baadhi ya sababu kuu zinazochangia utekaji kulingana na mjadala ule ni pamoja na
Udhaifu wa mifumo ya utendaji wa Jeshi la Polisi ( Colonial Mentality ) na kutotenganishwa kwa shughuli za Upelelezi na Uchunguzi kutoka Jeshi la Polisi na...
A man to watch, Godbless Lema!!
Kwa muda mrefu sana siasa za mikakati nchini Tanzania zimekuwa zikiratibiwa na kuongozwa na Abdulrhman Kinana.
Askari huyu kwa miaka mingi sana ndiye amekuwa nguzo kuu ya siasa za mikakati zilizofanikiwa kukiweka Chama cha Mapinduzi katika anga ya siasa nchini...
Mpaka sasa 90% ya Online Tv za Watu Maarufu Tanzania zinaelekea Kufa huku wakiwa na Madeni na Wafanyakazi wao Kulia kwa kutokulipwa Mishahara. Na kuna Mmoja nae kaanzisha yake, ila Kutwa ni Kujiposti Yeye tu na Mkewe kwa Events zao, ila nina uhakika Mdhamini wake (Tajiri Mkubwa) akimchoka tu...
Usiku wa leo saa 6:30 timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itashuka dimbani kuwakabili wenyeji wao Morocco.
Ni mchezo wa aina yake kwani Morocco anaongoza kundi E akiwa na alama 12 huku Taifa Stars ikiwa nafasi ya 3 ikiwa na alama 6.
Je Taifa Stars itaondoka na alama 3 au ni Morocco?
Mchezo...
Ni juzi tu Jeshi la polisi walitangaza nafasi za kazi kwa wananchi wenye sifa lakini Cha kushangaza ni kuwa mfumo wa kuwasilisha maombi una changamoto kila ukijaribu kujaza taarifa zako unakuandikia hv na muda unazidi kwenda sasa sijuhi wenye mamlaka wanawaza Nini kuhusu kadhia hii ya mfumo wao?
Kuna hii trend inaota mizizi. Uhuni wa idara za ardhi kutangaza maeneo ya mashamba ya watu kama planned areas in the preparation for future dhuluma, na hivyo in the long run kuyakaya viwanja.
Sisi ni nchi ambayo watu wengi by 80% and above wanategemea kilimo. Hakua ajira za viwandani and the...
Wafanyabiashara wengi Tanzania kukuta wamebandika bei ili kuondoa usumbufu hawapendi.
Na kitendo cha kuuliza tu bei hapo unatengenezewa bei nyingine kwa vile na wewe mnunuzi unapenda punguzo.