tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hazina za Mjerumani zinazopatikana nchini

    Habari zenu, Kuna suala linanitatiza kuhusu hazina zilizofichwa na mjerumani kwenye mikoa tofauti tofauti Tanzania hususan dhahabu. Kuna wanaoamini hizo hazina zilifichwa kwa nguvu za giza, lakini inarepotiwa kuwa wageni wazungu kwa nyakati tofauti wamekuwa wakija na kuchukua hizo hazina na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ee Mungu wa Tanzania, waja wako twakuomba, isijirudie tena hii, tumejua, wa pili kumbe hawi na uchungu kama wa kwanza kwa mali na Watanzania

    Eee! Mola wetu mlezi! Muumba wa mbingu na aridhi, umetuonyesha kwa macho yetu tumeona na sasa twakuomba, Uirehemu nchi yetu, sisi na viongozi wetu na kwamba Ee Mungu wetu, isijirudie tena ya kutwaa wa kwanza ambaye tokea akiutafuta uongozi, hubeba machungu, shida, dhiki za Watanzania na kwamba...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali imezindua Mpango wa Kitaifa wa Nishati (National Energy Compact 2025-2030) ambao unalenga kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme

    Serikali imezindua Mpango wa Kitaifa wa Nishati wa Tanzania (National Energy Compact 2025-2030) ambao unalenga kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme kutoka cha sasa cha asilimia 78.4 hadi kufikia asilimia 100 ifikapo mwaka 2030.
  4. JamiiForums Tanzania Muimba Qaswida Tanzania aalikwa tamashani Idd Mosi Burundi

    MUIMBAJI Qaswida Afrika Mashariki na Kati, Abdulhamid Fannan amealikwa kushiriki tamasha kubwa la nyimbo linalotarajia kufanyika Idd Mosi kwenye ukumbi wa Markaz uliopo Bujumbura, Burundi. Akizungumza na mwandishi wa Habari hizi, Fannan alisema amealikwa kushiriki tamasha hilo ambalo ni la aina...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Wachumi wa Tanzania: Inakuwaje awamu za nyuma zimekopa 60Tril, ila ya sita 30Tril?

    Jamani povu sitaki ila naomba msaada wenu wachumi hivi ni kweli awamo ya sita serikali imelamba mkopo wa 30 Trilioni while other awamu walikopa 60 Trilioni wastan wa 12 Trilioni kwa kila awamu yaani kila awamu ilikopa 12 Trilioni Sasa inakuwaje awamu ya sita wapige 30 Trilion na hakuna wakuhoji...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Peugeot 504.. Chuma cha pua. Chombo ya fundi

    Historia ya Peugeot nchini Tanzania, na kwa hakika Afrika, imefungamana sana na model maarufu ya 504, ambayo ilipata umaarufu mkubwa na kupata jina la utani la "Malkia wa Afrika" kutokana na kutegemewa sana nakuhimili changamoto za barabara za Kiafrika na kutumika kwenye hafla za mikutano mbali...
  7. JamiiForums Tanzania Inakuwaje wageni wanaipenda Tanzania kuliko wazawa?

    Imekuwa kawaida kuona wageni wakiisifia Tanzania kuwa moja ya nchi nzuri kutembelea au kuishi ndani ya bara la Africa. Kiuhalisia kwa wazawa Tanzania siyo kisiwa cha maziwa na asali kama inavyojulikana nje ya mipaka. Tunashuhudia kila mwaka maelfu ya watalii wakiwemo A-list celebrities kutoka...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania kunufaika na mpango wa maendeleo wa Mattei kwa ushirikiano na UNDP

    Tanzania kunufaika na mpango wa maendeleo wa Mattei kwa ushirikiano na UNDP Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki katika mjadala wa ngazi ya juu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) jijini Roma, Italia ukilenga...
  9. JamiiForums Tanzania Watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing.

    Ukifatilia watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing. Biashara zote za online zinahitaji uwe na uwezo mzuri wa kutafuta wateja. Hii ndiyo siri ya mafanikio yao. Fanya hivi ili kupata sales 1. Kutengeneza Authority kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Pembezoni mwa Mkutano wa Mpango wa Mattei kwa Afrika na ‘EU Global Gateway’ jijini Roma, Italia, Waziri Kombo akutana na Waziri wa Ulinzi Dkt Tax

    Pembezoni mwa Mkutano wa Mpango wa Mattei kwa Afrika na ‘EU Global Gateway’ jijini Roma, Italia, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi, Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Waziri wa Ulinzi wa Tanzania, Mhe. Stergomena Tax aliyekuwa kwenye ziara ya kikazi...
  11. JamiiForums Tanzania SIJAJUA NAWAZA, AU NAFIKIRIA AU NI NDOTO KWAMBA KWA TANZANIA INGEKUAJE KWA MFANO'

    Kwa miaka miwili ya IBRAHIM TRAORE aliyoifanyia Bukinabe, vitu ambavyo dunia nzima inaviona, kwa wananchi wake ndio usiseme. Kwa hiki chama chetu nadhani wangevua na mashati kwa sababu wako talented kwenye nyimbo za mapambio Anakuja kiongozi mkubwa kabisa hii miaka minne haijawahi kutokea, kule...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kama Trump, kwa ubabe tu, anadai aichukue Greenland ya Denmark, anaweza kudai aichukue Zanzibar ya Tanzania. Hilo lazima litazamwe

    Hakuna wakati nime-appreciate uwezo wa kuona mbali wa Julius Nyerere kama wakati huu. Huko nyuma nchi kama USA na Russia waliomba waweke vituo vya kijeshi Tanzania na Nyerere alikataa katakata, sababu mojawapo akitambua kuwa katika sias nchi rafiki leo inaweza kuwa nchi adui kesho. Sasa fikiria...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Police Tanzania Babati Manyara ni changamoto sana

    Kwa siku tatu au nne kwa wiki wanapiga Risasi juu katikati ya mji! bila kujali uwepo Watu wagonjwa katika maeneo yanayo wazunguka. Hata kama ni mazoezi ni vema wakafanyie huko nje na sio kuzua hofu hapa mjini.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachagga (kabila la mpakani) hawapo Tanzania na Kenya??

    Wamasai - Tanzania na Kenya. Wakurya - Tanzania na Kenya. Wajaluo - Tanzania na Kenya. Wanyamwanga - Tanzania na Zambia. Waha - Tanzania na Burundi. Wachagga - Tanzania Peke yake. Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee?? Au mimi...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi wenzetu wanavyorenew leseni za udereva. TRA, Trafiki chukueni notice hapo tusichoshane

    Tanzania ukitaka kupata leseni utataga. Uende VETA, ukimaliza VETA unaenda police, police wanakutuma TRA, ukitoka TRA unatumwa tena police, ukifika huko mara unaambiwa mfumo hauko sawa, sijui nenda urudie ya ilimradi uchoke tu basi, au utoe pesa kidogo. Mifumo Bongo Haisomani.
  16. JamiiForums Tanzania Kahawa ya Tanzania kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Italia

    Kahawa ya Tanzania kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Italia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika Mdahalo wa Wadau wa kukuza mnyororo wa thamani wa kahawa inayozalishwa barani Afrika uliofanyika pembezoni...
  17. JamiiForums Tanzania KITAAOLOJIA: Namna ya kusurvive hapo hapo ulipo, VETA sio suluhisho, pesa ipo hapo hapo ulipo

    Hellow wakuu Huu ni uzi wa namna ya kujikimu kimaisha kwa mwana JF, Mtanzania sehemu yeyote alipo Ipo hivi.. Hapo hapo ulipo kuna watu wana njaa ila hawataki kupika, kuna watu wanahamu na makande wanayapenda ila hawana mahindi na mkaa Kuna wachaga wengi ila hawana pa kujumuikia kupata mbege...
  18. JamiiForums Tanzania Tangazo la Mshindi Redio Tanzania Dar es Salaam

    Wimbo Mshindi sabuni mpya yenye nguvu, yenye kutakasa kuliko zote, Mshindiii yeee eeeeeh, mshindiii yeee eeeeeh, mshindi. Maneno ya yule jamaa mwisho wa tangazo "Mshindi ni sabuni mpya na yenye nguvu, nguvu tele ni sabuni mwanaaana kwa mikono yako, hakuna sabuni inayoshinda mshindi." Mshindiiii
  19. JamiiForums Tanzania Tangazo la Sabuni ya Komoa: Redio Tanzania Dar es Salaam

    Nipeni nguo nifue (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Nipeni maji nioge (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Inanukia vizuri (komoaa), inapovu jingi sana (komoaa) Haichubui mikono, (komoaa) kiboko ya nyingine (komoaa) Aeee eee (komoaa), aaa eee eee, (komoaa) aaa eee eee (komoaa) (Tilititititi...
  20. JamiiForums Tanzania Ni vizuri Tanzania ikajenga smelter ya silicon wafer na PCB fabrication

    Kama nchi inataka kuondokana na umaskini ni vizuri yakafanyika maamuzi ya kibingwa ni pamoja na kujenga smelter ya silicon wafer na PCB fabrication kwa sababu zifuatazo Vifaa vyote vya electronics vina PCB kama ubongo Na pia silicon wafer zinatumika kwenye vifaa vya electronics kuprocess data...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…