Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Baada ya kimya kirefu tangu kukamatwa kwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu, leo ubalozi wa Marekani hapa nchini umetoa tamko kuhusu hali ya kisiasa na wasiwasi wake mkubwa kwa serikali ya Tanzania kuhusu matukio ya hivi karibuni ya kuminya demokrasia na ukandamizaji kwa vyama vya...
Waziri wa kilimo Hussein Bashe kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X.
====
Salaam Ndugu zangu
Watanzania,Serikali imepokea taarifa kuwa Serikali ya Malawi imezuia kuingia kwa mazao ya kilimo kutoka Tanzania, yakiwemo unga, mchele, tangawizi, ndizi, na mahindi. Hatua hii imeathiri moja kwa moja...
Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China.
Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class.
Picha ya pili ilipigwa miaka 26 baadaye, ambapo anaonekana akiwa mbele ya treni ya kisasa ya mwendokasi...
Mufti Mkuu wa Tanzania Abubakar bin Zuber anatarajiwa kuongoza Dua ya Kuiombea nchi na Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuwaombea Dua masheikh walitangulia mbele ya haki.
Mufti Abubakar amesema katika Dua hiyo inatarajiwa kufanyika kwa siku 2 tarehe 8 - 10 jijini Dar es Salaam na mgeni rasmi...
Ukata wa taifa la Marekani kutokana na kujhusisha na vita kwa muda mrefu unazidi kudhihirika katika azma ya utawala wa Trump kutaka kufunga balozi zake kadhaa kote duniani.
Balozi hizo nyingi zipo barani Ulaya na Afrika.Baadhi ya balozi hizo za Ulaya ni pamoja na Ufaransa na Ujerumani miongoni...
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ninapenda kuzungumzia kipengele kimoja kilichonivutia zaidi katika Ilani ya mwaka 2020-2025 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Sura ya 16, Kifungu namba 16.1 Kipengele b (Ukurasa wa 95) ambacho kinasema:
"Katika kutimiza azma ya kujiendeleza...
Nchi hii kwa Sasa inaongozwa na genge la mafisadi
Hawaoni hatari kufanya chochote kwa mtu yeyote ili kulinda wizi na ufisadi wao!!
Wanachi tuamke Tuseme enough is enough bring our country back!!
Haiwezekani watu 3 wamekaa wanaendesha nchi watakavyo
Nchi inatakiwa kurudi kwenye mikono ya umma...
Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo (vinavyoonekana na visivyoonekana), kama itakupendeza mtumie mwanao Dr. Mpango kuliokoa taifa letu.
Umaskini wakutengenezwa unatuumiza sana.
Watanzania tunaumia, 😭😭😭
Watanzania hatuna furaha kabisa,😭😭😭
Mioyo yetu imekufa ganzi 😭😭😭...
Labda ni hisia zangu tu ila naona kama vile Rais Samia kapunguza safari za mara kwa mara nje ya nchi.
Kama kweli safari zake zimepungua, moja ya sababu yaweza kuwa ni sifa mbaya ya serikali yake kuhusu uminywaji wa demokrasia.
Habari za kukamatwa kwa Tundu Lisu na zile za kutokushiri chaguzi...
•Nchi yetu ni salama, mipaka yetu ni salama chini ya uongozi wa Dr Samia
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuwa hali ya usalama Tanzania ipo shwari chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ndiye Amiri...
Nchi inaenda kwa kufuata kiongozi mkuu anataka nini, ila haifati kuwa kwasasa kama nchi tunahitaji nini..!
Si mbaya kiongozi kuwa na vipendeleo vyake lakini ni vyema mapendekezo ya nchi kwa wakati huo yanatakiwa yapewe kipaumbele!.
Leo anakuja rais anaependa nakuamini ktk uanzishwaji wa...
Hali ya uwanja wa Taifa na ukarabati wake unaenda Kwa kasi ya kunyonga ambapo walitengewa kiasi cha billions 31 ambapo ni pesa ndefu inayoweza kujenga kiwanja kipya
Ujenzi wa uwanja huko Arusha upo kimya na huko Dodoma
Najiuliza Waziri Kabudi na Mwana FA wanafanya Nini ofsini hadi Leo...
Huu ni wakati muhimu Tanzania toka uhuru. Kwana wengine wanaweka utani lakini waelewa wanajua huu ndiyo wakati hasa mashujaa wa karne hii watatokea. Si punde watu wataamka usingizini na kuona haya
Taarifa ya HABARI ITV SAA 2 usiku wa tarehe 14/04/2025 imenishangaza na kuniachia swali mbona kimepitishwa kidokezo pekee bila kusomwa habari ya serikali kupiga marufuku masomo kuendelea likizo?
EIB KUONGEZA UFADHILI KWA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI TANZANIA
• Yatangaza ufadhili mpya kwa miradi mitano nchini.
Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank – EIB) imeahidi kuongeza ufadhili na mikopo ya masharti nafuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini Tanzania...
Taasisi za 9 Wanasheria zimeijia juu Serikali ya Tanzania kwa kumbambika kesi ya uwongo ya uhaini Mhe. Lissu na kumtaka Rais Samia kuirudia ahadi yake aliyoitoa alipoapishwa ya kuheshimu demokrasia na kumtaka amuachie huru Lissu bila masharti yeyote.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni...
ADHABU YA UHAINI TANZANIA SIO LAZIMA KIFO.
Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Mahakama kuu na ya Rufaa zinasema kuwa popote katika sheria ambapo limetumika neno "SHALL BE LIABLE ON CONVICTION TO SUFFER DEATH", maana yake ni kuwa sio lazima mtuhumiwa ahukumiwe kifo bali anaweza kuhukumiwa...
Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano Katika kuendeleza Sayansi na Elimu Watiwa Saini Kati ya Tanzania na Saudi Arabia
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Aprili 13, 2025, nchini Saudi Arabia, imesaini Hati ya Makubaliano ya ushirikiano na Wizara ya Elimu ya Saudi Arabia katika kuendeleza...
Kuna wanaofurahia yanayoendelea katika maandalizi ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Kwa msiofahamu, SSH hataki kabisa TL awe kwenye ballot na ndio sababu ya nguvu kubwa iliyotumika na inayotumika kabla ya uchanguzi wa ndani wa CDM na hata Uchaguzi Mkuu na kesi zinazoendelea mahakamani. Kimsingi mtu...