Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Amani iwe kwenu watu wa Mungu wanajf popote mlipo kila mmoja kwa imani yake, ila sio kwa machawa wa ccm.( zingatia neno sio kwa machawa wa ccm)
Rejea mada tajwa.
Binafsi nachukua nafasi hii ya kipekee sana ,kukipongeza chama cha Demokrasia na maendeleo( Chadema Tz) kuonesha dunia na...
Chadema imejichimbia kaburi lake yenyewe na imetumbukia shimino na kujizika yenyewe.
Ni upande yupi wa kulaumiwa katika mauaji haya ya kikatili kwa uhai wa chadema kisiasa?
Ni G55 au ule upande wa no reform no elections?
Je,
ni kweli kiburi, kudeka na kutegemea huruma za wananchi, kukurupuka...
Orodha ya mafisadi wakubwa waliowahi kutajwa au kuhusishwa na kashfa kubwa za ufisadi Tanzania tangu mwaka 2000 ni ndefu na imejumuisha wanasiasa, wafanyabiashara na watendaji wa serikali. Zifuatazo ni baadhi ya kashfa na watu waliotajwa kuhusika:
1. Kashfa ya EPA (External Payment Arrears) –...
Mataifa kadhaa Duniani yamepitia nyakati ambazo Tanzania inapitia kwa sasa, ambapo mifumo yote ya haki za wananchi huangamizwa na watawala.
Kwenye utawala wa kidikteta, hakuna mifumo ya haki ambayo huwa inafanya kazi. Utawala wa kidikteta hupora mifumo yote ya utawala na haki, na kuiweka chini...
Queen Cleopatra
Mara nyingine mimi P h a r a o h huketi na kuwaza juu ya anguko la Misri ya kale ( Ancient Egypt )—taifa lililokuwa na nguvu, hekima, na heshima iliyozidi mipaka ya dunia ya kale. Misri haikuwa tu nchi, ilikuwa moyo wa ustaarabu. Kwa karne nyingi, walitawala kwa fahari, farao...
"The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed."
— Steve Bi
Msemo huu unasisitiza kuwa usababua wengi ziamke. Ninaumia sana
Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema.
Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
Ni ajabu nchi inakumbwa na janga la ushoga alafu watu wetu wa sanaa ambao ni kioo cha jamii wapo tu kimya?
Tulitegemea kipindi cha majanga ya namna hii tungeskia nyimbo na maigizo mengi juu ya ushoga lakini wapo kimya,!
Kuna wimbo mmoja wa Jay combati unaitwa sio mwana,
Unapendwa sana...
Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa ina mwaka siitumii kwakuwa huku nilipo natumia Laini ya Mtandao wa huku.
Kwahiyo nauliza ni Mbinu...
Job Advertisement: Business Manager
Company: First Housing Finance (Tanzania) Ltd
Department: Business
Reports To: Chief Executive Officer
Company Description:
First Housing Finance (Tanzania) Ltd is the leading housing finance company in Tanzania, committed to providing long-term housing...
Siku moja watoto wetu watatuuliza: Tulifanya nini wakati taifa letu lilikuwa linahitaji mabadiliko? Natamani kusema nilisimama kwa ajili ya haki, nilipigania Tanzania yenye matumaini, haki, na uwazi. Sisi vijana tuna nguvu ya kuleta mabadiliko.
Hatuhitaji tu kubadili jina, tunahitaji kubadili...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu. Na kwa kuwa ni chaguo la Mungu ,Taifa linaendelea kupata Neema na baraka kila uchao .
Siyo jambo dogo wala la kawaida kwa club kubwa na tajiri Duniani na yenye...
FOR ACADEMIC PURPOSE ONLY.
Uaminifu au utii kwa Nchi ni jukumu mama na la kwanza kwa Kila raia wa Nchi husika. Mtu yeyote asiye raia anaweza kutokuwa muamimifu kwa Nchi yoyote na isiwe na madhara kwakwe Lakini sio kwa upande wa Raia. Uaminifu kwa Nchi unazaliwa na uraia wa Mtu au unaanza na...
Vita vya kibiashara vya Trump vimepelekea kuporomoka kwa sarafu ya dola vibaya sana tangu miaka 10 iliyopita.
Tayari Trump ameshafedheheka na vita vyake hivyo vya kibepari hata hivyo dola bado haijakaa sawa hasa kwa vile wafanyabiashara wengi wakubwa wamezihofia bidhaa kutoka nchini Marekani...
Tundu Lissu is a prominent Tanzanian lawyer and politician, renowned for his unwavering commitment to democracy and human rights. Born on January 20, 1968, in Ikungi district, Singida, he has played a significant role in the nation's political landscape.
Early Life and Education
Lissu completed...
Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akifikishwa mahakamani na kusomewa shitaka la uhaini, kumekuwa na hisia tofauti kuhusu kosa hilo, hasa ikizingatiwakuwa kiongozi huyo amekamatwa akiwa kwenye mikutano ya No Reforms No Election (Hakuna Mabadiiliko Hakuna Uchaguzi), inayofanywa na Chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.