Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumeambatana na tuhuma za upendeleo na matumizi ya mgogoro wa kimataifa kujinufaisha kupitia biashara ya mafuta.
Ongezeko hilo limehusishwa na vita kati ya Iran, Israel na Marekani, ambavyo vilisababisha mshtuko mkubwa...