tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Utofauti wa siasa za Kenya na Tanzania kwa mujibu wa ChatGPT

    Utofauti wa siasa za Kenya na Tanzania unaweza kuangaliwa kwa misingi mbalimbali kama vile mfumo wa vyama vya siasa, uhuru wa vyombo vya habari, historia ya kisiasa, na utekelezaji wa demokrasia. Hapa chini ni baadhi ya tofauti kuu: --- 1. Mfumo wa Vyama vya Siasa Kenya: Ina mfumo wa vyama...
  2. JamiiForums Tanzania Tuchambue kwa Heshima – Kozi Zipi Zinafaa Tanzania 2025?

    Leo napenda kuanzisha mjadala wa kiungwana kuhusu kozi tatu maarufu sana kwenye dunia ya teknolojia. Tafadhali changia kwa heshima na adabu, tukilenga kusaidiana. 1. Computer Science Faida: Hii ndiyo msingi wa kuwa programmer wa kweli. Unajifunza algorithms, data structures, na programming...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa ina watekaji na watekwaji. Hatuko pamoja

    Kuna wanao taka kusema Wakenya wanatutukana sio kweli! Wanatukana watanzania watekaji sio watanzania watekwaji. Tumeona wabunge wanataka utekaji, mauaji na ubakaji uendelee. Hawa sio wenzetu ni watekaji Kuwa sisi ambao wakati wowote wewe, ndugu yako yeyote anaweza kutekwa, kubakwa, kuuliwa na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Affiliate Marketing Tanzania

    Amani ya Mungu iwe juu yenu wanafamilia wa Jamii Forum. Je, kwa Tanzania kuna uwezekano wa kufanya Affiliate marketing? Kama ndio, Tafadhali mwenye ujuzi anifundishe kama inawezekana from zero level beginners . Naamini sio mimi tu nitafaidika pia vijana wengine watapata fursa. Shukran za dhati.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Asante Maria Sarungi kwa kutetea nchi yako hapo Oslo kuhusu kifo cha demokrasia Tanzania na utekaji

    Well presented with illustrative cartoons to drive the points home. Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo Mwanzo: Dakika ya 20:22 Mwisho: Dakika ya 37:26 https://youtu.be/F2RbjppeaKc
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote humu aliyepigiwa simu au kutumiwa email na gaming board of Tanzania kuwa kapata kazi?

    Kuna jamaa angu kaniambia eti gaming board of Tanzania ishawatumia watu email na kuwapigia kuwa wamepata kazi? Je humu jf kuna mdau yeyote aliyefanya oral ambae kapigiwa na hao jamaa? maana utaratibu wao wa recruitment unashangaza sana.
  7. JamiiForums Tanzania Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024

    IMEELEZWA a kuwa Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024, kutoka hasara ya shilingi bilioni 44.42 mwaka 2023, huku faida baada ya kodi ikiongezeka kwa asilimia 170 hadi shilingi bilioni 32.62 kutoka...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tukiri kuwa uongozi wa Rais unatuharibia mambo si tu ndani ya Tanzania, bali pia na Ulaya, Malawi, South Africa na sasa Kenya; tujitafakari

    Ukianza na mambo ndani ya nchi, uongozi wa Raisi Samia umetuvuruga kuliko raisi yeyote aliewahi kuongoza nchi hii. Ni katika uongozi wa Raisi Samia tunaona msuguano uuliopitiliza na vyama vya upinzani hadi taasisi za kidini kwa kiwango kikubwa kuliko huko nyuma - hadi kufikia kesi za uhaini...
  9. JamiiForums Tanzania Wakenya wengi wanaoongea mitandaoni kuiponda Tanzania body language yao ni kama Wanamapepo

    Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua. 1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka. 2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vyanzo vya ubovu wa Magari Tanzania na Suluisho l

    Vyanzo vya Ubovu wa Magari Tanzania na Suluhisho Katika miaka ya karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la magari barabarani nchini Tanzania. Hili ni jambo linaloashiria maendeleo, lakini pia limeambatana na changamoto nyingi, mojawapo ikiwa ni ubovu wa magari. Watu wengi wanapambana na magari...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kujua kusoma na kuandika ndio sifa ya kitaaluma inayomtosha mtu kuwa Mbunge, katika Tanzania ya sasa?

    Tunapofikiria reforms za mifumo yetu ya uchaguzi, sisi kama wananchi ni vyema kwenda mbele zaidi ya agenda ya reform kama zinavyodaiwa na wanasiasa. Si puuzi umuhimu wa hoja za uenguaji wa wagombea, wizi wa kura na utangazaji wa matokeo batili, lakini hata kama yanayolalamikiwa yatabadilika...
  12. JamiiForums Tanzania Je, wanaharakati wa Kenya na nchi Jirani watakuja tena kwaajili ya Kesi ya Lisu ili kuzidi kuitia ndimu na kuchafua serikali ya Tanzania?

    Habari za Leo! Tunajua kilichowakuta awamu ya Kwanza. Bado tunaendelea kushuhudia vijana wa Kenya wakitoa sumu kwa Mamlaka ya Tanzania hasahasa kumshambulia Rais wetu. Swali, je wanaharakati hao wataendelea kuja kushuhudia kesi ya Lisu ili kuzidi kuiharibu taswira ya nchi yetu kimataifa...
  13. JamiiForums Tanzania Tutalinda amani, umoja na usalama wa taifa letu Tanzania kwa nguvu na gharama yoyote ile licha ya matusi ya majirani waandamaji na masufuria vichwani

    Tutakua wa mwisho kujibu matusi yenu dhidi ya Taifa letu na tutakua wa mwisho kuchukua hatua dhidi ya uchokozi wenu wa kichochezi dhidi ya amani yetu, but ni vizuri mkafahamu, Kwa vivu mkubwa na uzalendo wa kiwango cha juu sana, tutailinda amani, umoja na usalama wa Taifa letu Tanzania bila...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwanza movement inazaliwa soon!

    Naona taratibu tunaelekea kuzuri na tutafika. Tanzania kwanza movement inatangaza haki.
  15. JamiiForums Tanzania Gen Z Kenya, wapata kihoro, wanatukana, Tanzania kimyaaa !

    Watazania kiboko, wewe tukana, na mtu anakuona mjinga.
  16. N

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za Tanzania zadaiwa kuiomba Instagram kuondoa nyaraka zinazoonesha ufisadi mkubwa unaofanyika nchini

    Ni kama serikali inakili zile documents zilizopakiwa Instagram ni za kweli, hali ambayo inaonesha nchi inapoteza pesa nyingi sana za walipa kodi. Soma hapo chini inasomeka kama ifuatavyo: This is because we complied with a legal request from Tanzania Communication Regulatory Authority to...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania nako kuna tatizo la utekaji?

    Mbona kama utekaji upo upande wa Tanganyika pekee? Ni kweli? Kama hakuna utekaji Zanzibar, nini siri ya mafanikio yao? 1. Wana vyombo vya dola makini kuzidi Tanganyika? 2. Wana viongozi wenye uweledi? 3. Wananchi wa Zanzibar wamestaarabika kuliko Watanganyika? 4. Hakuna wahuni nchini...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania na siasa zetu

    Siasa zetu hazija komaa, Hii tusidanganyane mtu Ukisema ukweli wewe ni adui, Siasa za aina hii ifike mahali Zikome sisi ndugu malumbano Ya kisiasa ya nn?na nyie viongozi Naomba busara itumike katika Kuwatumikia wananchi
  19. JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu uwekezaji kwenye masoko ya fedha na mitaji Tanzania

    MTIRIRIKO WA MASOMO KUHUSU UWEKEZAJI KWENYE MASOKO YAVFEDHA NA MITAJI. Kuanzia leo, nitakuwa nikiandaa mfululizo wa masomo mafupi ya kila siku kuhusu uwekezaji, hasa katika maeneo ya: 📌 Uwekezaji kwenye soko la hisa 📌 Hatifungani (bonds) 📌 Uwekezaji kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS, FAIDA...
  20. JamiiForums Tanzania Jumuiya za Kimataifa, Gen Z Kenya, Elon Musk na Diaspora saidieni kupaza sauti ukandamizaji mkubwa unaoendelea Tanzania

    Hii ni kwa wale wenye mapenzi mema ma wazalendo wa nchi yao, Wote tunashuhudia ukandamizaji mkubwa wa demokrasia, utekaji na mauaji makubwa yakifanyika mchana kweupe. Wote tunashuhudia ni kwa jinsi gani CCM imedhamiria kutumia mabavu kwa namna yoyote kuhakikisha inasalia kwenye dola, Nani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…