Affiliate Marketing Tanzania

Affiliate Marketing Tanzania

Joined
Mar 21, 2024
Posts
16
Reaction score
10
Amani ya Mungu iwe juu yenu wanafamilia wa Jamii Forum. Je, kwa Tanzania kuna uwezekano wa kufanya Affiliate marketing? Kama ndio, Tafadhali mwenye ujuzi anifundishe kama inawezekana from zero level beginners . Naamini sio mimi tu nitafaidika pia vijana wengine watapata fursa.
Shukran za dhati.
 
Ndio unaweza kwanza lazima uwe na page zenye watu au ujue sehemu za kununua traffic. Pia lazima ucahue niche kwamfano kama unapost kuhusu utalii basi tafuta affiliates za mahoteli , usafiri ,ndege na makampuni ya utalii,, ukishajiunga utapewabanner, link ay promo code anza kupromote. Asanteni
 
Back
Top Bottom