Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
DAARUL MAARIFA DAY 2025
Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber Bin Ally anawaalika Waislam wote kuhudhuria katika Maulid ya Daarul Maarif, itakayofanyika Viwanja vya Msikiti wa Mfalme Mohammad VI Bakwata Makao Makuu.
Mufti amewataka Mashekhe wote wa Mikoa, Wilaya, Kata...
Akizungumza katika mahojiano na Radio Mjini FM leo Julai 25, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amehoji kwa nini Watanzania walale njaa wakati Tanzania ndio nchi pekee yenye madini aina ya tanzanite duniani na yenye hifadhi kubwa za wanyama duniani?
Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa.
Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA.
Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee...
Katika taifa linalohitaji mabadiliko yoyote, vyama vya siasa vikiwepo vya upinzani huwa na nafasi ya kipekee. Nchini Tanzania vyama vya upinzani ambavyo vilitarajiwa kuwa chachu ya mageuzi sasa vinaonekana kugawanyika kuliko wakati wowote ule.
Badala ya mijadala ya sera na hoja mbadala dhidi ya...
Hawa watu watano ni kwa Mujibu wa Akili mnemba.
Manabii watano wakubwa na maarufu Tanzania walio hai hadi sasa
Nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine nyingi barani Afrika, kuna viongozi wengi wa kiroho wanaojitambulisha kama "manabii" na wanavutia wafuasi wengi. Huduma zao mara...
Kampuni kubwa zaidi ya uchimbaji madini duniani, BHP Group (BHP.AX), imeamua kuuza hisa zake kwenye mradi wa nikeli wa Kabanga uliopo nchini Tanzania kwa mshirika wake, Lifezone Metals (LZM.N). Mradi huo una thamani ya takribani dola bilioni 2.5, na Lifezone imethibitisha kuwa itanunua hisa hizo...
1. Kama mnataka kutoa service wapeni wateja wenu taarifa. Pension/salary advance/nisogeze loan /jihudumie hakuna..is now ON/OFF. Kuweni na msimamo, consistency, kama haipo mwezi fulani waambie wateja wenu kuwa service hii imefutwa.
Tunajua kuwa ni discretion yenu kuweka au kuondoa service hizo...
Kirusi hicho ni EX CEO.
Kikiondolewa hiki kirusi Tanganyika itapona na itapata ahueni.
Hata mubadilishe Ma CEO mara elfu moja kama bado hiki kirusi kitakuba bado SCANNED ni bure.
Serikali imesema kuwa, mafunzo ya uimarishaji mpaka wa kimataifa kati ya Tanzania na Burundi yanalenga kujenga uelewa wa pamoja kati ya wataalamu wa nchi hizo mbili.
Hayo yamebainishwa leo tarehe 22 Julai 2025 jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kutoa hoja kadha akieleza kuwa haridhishwi na utendaji wa Baraza la Wauguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) akidai halisimamii vizuri uhuishaji wa leseni na mengine kadhaa, ufafanuzi umetolewa na Baraza hilo...
Hoja ya awali ya Mwananchi huyo ipo hapa - Baraza...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amewasili jijini Minsk, Belarus kwa ziara ya kikazi ya siku nne kuanzia tarehe 21 hadi 24 Julai 2024.
Alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa nchi hiyo, Mhe. Waziri Mkuu alipokewa na Naibu Waziri Mkuu wa Belarus...
Mamlaka ya mapato Tanzania yaani tra ni chombo cha serikali cha kusimamia ukusanyaji wa kodi na mapato ya serikali, ni mamlaka ambayo kwa jicho fulani hivi inayojitahidi kuhimiza watu katika kulipa kodi kwa njia na mifumo halali.
Mamlaka hii imetoa idhini kwa baadhi ya watu au taasisi binafsi...
Katika nchi yetu Viongozi wamekuwa wakianzisha miradi ya kujikwamua kimaendeleo kama taifa lakini je kwanini hiyo miradi hatuoni ufanisi wake badala yake baada ya muda Fulani miradi hiyo inakufa na kupotea kabisa
Baadhi ya miradi hiyo ni pamoja na;_
1,Big Results Now BRN)_2013
2, MKURABITA 2004...
waTanzania katika umoja na mshikamano tunajivunia uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan ambao ni tunu ya amani na umoja wetu kama taifa, lakini pia Dr. samia suluhu hassana ni chachu ya mabadiliko na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya Taifa letu.
Daima kwa pamoja kama taifa, tuna kula...
Kila zama na kitabu chake..by Ali Hassan Mwinyi
Tuangazie namna Tanzania yetu tungetaka iwe leo zama hizi.
Ndoto zangu na zako mdau tuziunganishe.
Hata Traore alianza na ndoto.
Mabadiriko hayajawai kuletwa na lundo la watu kwa mkupuo bali watu wachache sana wenye nia njema.
1. Iwe nchi moja...
WAKATI zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu kwa wagombea wa katika uchaguzi wa Shirikisho la Riadha Tanzania (SRT), likifungwa rasmi Julai 18 saa 10:00 jioni, jumla ya wagombea 20 wamejitosa kuwania nafasi mbalimbali.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Julai 21, Mwenyekiti...
Kila mtu analitumia kwa muda wake. Wengine wanaenda katika hilo pagala kujisaidia. Wengine kufanyia matucy na wale maskini humo wanaenda kulala. Wanaishi humo. Wenzao wanaenda kufanyia haja zao.
Wengine wanachomoa vifaa vilivyopo kwenye hilo pagala kila kinachowezekana na wameanza hadi kuondoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.