Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, ni matusi yanayodhalilisha taifa badala ya kujenga. Uongozi una majukumu magumu; kukosoa kwa lugha ya kejeli hudhoofisha heshima ya nchi.
Kwa uwekezaji wa kutoka nje...
Serikali ya Tanzania imewapa wazalishaji wa saruji muda wa siku nane kuongeza usambazaji na kushusha bei, baada ya mfuko wa saruji wa kilo 50 kufikia hadi shilingi 26,000 pesa za Tanzania sawa na dola 9.8 katika baadhi ya maeneo.
Wizara ya Viwanda na Biashara iliitisha kikao cha dharura na...
Mikoa ya Kanda ya Ziwa na Magharibi mwa Tanzania ni sehemu muhimu ya uchumi wa nchi. Tunazalisha chakula, madini, mifugo, samaki na bidhaa mbalimbali, lakini wananchi wa maeneo haya wanaendelea kukabiliwa na bei kubwa za bidhaa na gharama za usafirishaji.
Swali ni: Kwa nini mwananchi wa Mwanza...
Tanzania: Did you know? Twenty years ago, the World Bank predicted rural electrification in Tanzania would take 100 years, but Tanzanians said no and did something different.
Now, in less than half a century, they have achieved it. They have even gone further with functional electric trains...
Tanzania yaingia hatua mpya kwenye Madini Tembo
Taarifa hiyo inahusu kampuni ya Nyati Mineral Sands Limited, inayotekeleza miradi mikubwa ya uchimbaji na uchakataji wa Madini Tembo (Heavy Mineral Sands) nchini Tanzania. Serikali ina hisa 16% katika kampuni hiyo.
Kwa sasa kuna miradi miwili...
Mara kwa mara mitandao ya kijamii inapozuiwa ama Data za mifumo ya internet zinapokuwa chini ya kiwango, mara nyingi hutokea CCM inapojihami dhidi ya kizazi kipya.
Kuna ushahidi wa kutosha kuwa maendeleo ya teknolojia ya habari, yameifanya CCM kupoteana na kuanza kutumia mabavu ili iendelee...
Makala ifuatayo bado ipo katika hatua za uandishi, nitakuja kurekebisha na kuboresha.
Nimeitumia AI kunisaidi uandishi hivyo Kuna makosa kadhaa
==========================
Tanzania ina hazina ya maarifa Iliyofichwa—Kwa nini tusiifungue?
Tanzania imefanya tafiti nyingi za kilimo kwa miaka mingi...
Baada ya kuangalia hii picha ya ujio wa Rais Tshekedi nimejiuliza maswali mawili,
1.Yuko wapi Makamu wa Rais wa JMT?
2.Nini kinaendlea Tanzania nyuma ya pazia.
Kumekuwepo na machapisho yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii yenye nukuu mbalimbali zinazodaiwa kuwa zimetolewa na viongozi wa nchini Tanzania.Moja ya kurasa hizo ni mjadala tv na siasa za kweli ambazo huchapisha maudhui hayo mara kwa mara
Baada ya kuangalia ramani inayoonesha kina cha bahari, nimegundua ya kwamba kuna eneo la magharibi ya Zanzibar ambalo lina mwambatano wa kina kifupi sana cha bahari na visiwa vidogo vidogo ambavyo inanipa ishara kwamba huko mbeleni miaka ijayo inaweza kufanyika land reclamation ya kujaza vifusi...
Tanzania imekuwa na mjadala wa muda mrefu kuhusu umuhimu wa kuwa na Katiba mpya.
Wapo wanaoamini kuwa baadhi ya changamoto za kisiasa, uwajibikaji na mgawanyo wa madaraka zinatokana na mapungufu yaliyopo kwenye Katiba ya sasa.
Lakini wengine wana hoja kwamba hata Katiba nzuri zaidi inaweza...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Mheshimiwa Prof. Kitila Mkumbo, amewakaribisha rasmi wawekezaji kutoka nchini Saudi Arabia kuwekeza katika sekta mbalimbali za kimkakati nchini Tanzania.
Prof. Mkumbo amebainisha kuwa Tanzania ipo katika nafasi nzuri ya kuisaidia Saudi...
General elections in Africa
Maajabu ya dunia kutoka Tanzania
Data By Liberatus Mwang'ombe
Registered voters:
Zambia – 8.7 million
Kenya – 22.1 million
Tanzania – 37.6 million
Counting speed:
Tanzania “counted” 32 million votes in two days… with no internet and no electricity.
Kenya needed...
17 August 2026
WASAUDIA WANATAKA KUWA NA HIFADHI YA MAFUTA HAPA TANZANIA / WATAKA KUWEKEZA KWENYE SEKTA ZA MADINI, KILIMO PIA UFUGAJI
https://m.youtube.com/watch?v=ZSNh7sy6MD8
Source : Jambo TV
HABARI KWA KINA:
Kongamano la Biashara kati ya Saudi Arabia na Tanzania
August 16, 2026...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amesema Tanzania imedhamiria kuimarisha ushirikiano wa kimkakati na India, hususan katika sekta za biashara na uwekezaji, ili kuchochea maendeleo endelevu na kuboresha maisha ya wananchi...
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk. Tausi Kida (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali wa ubunifu wakati wa uzinduzi rasmi wa Wiki ya Ubunifu Tanzania (IWTz 2026) inayotarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa...
Rais Tshisekedi atafanya ziara ya siku 3 nchini Tanzania kuendelea Kuimarisha Uhusiano wa Kihistoria na Ushirikiano wa Kikanda
Ujio wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, nchini Tanzania kuanzia Agosti 17 hadi 18, 2026, kwa mwaliko wa Rais Samia Suluhu Hassan...
Habari za wakati huu;
Nachokoza mjadala kidogo ambao naamini kabisa ndio mjadala unaoendelea kwa sasa hapa nchini kwetu.
Mara nyingi nimekuwa nikisikia tuhuma kwamba Chama Tawala CCM kimeungana na serikali sana na hivyo kinaitwa chama dola.Katika siasa tunapozungumzia Chama Dola tunazungumzia...
Ndugu zangu Watanzania,
Mti Wenye Matunda ndio Hupigwa Mawe . Tanzania ya Rais Samia Ndio Lulu Ya Afrika, kwa Sasa ndio Taifa ambalo lina uwezo na nguvu ya kuzungumza na likasikika na kusikilizwa . Ndio Taifa lenye ushawishi na uwezo wa kushawishi na kuungwa Mkono na Mataifa mengi.
Tanzania...