tanzania na kenya

This is a list of diplomatic missions of Tanzania, excluding honorary consulates.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Uimarishwaji wa Mpaka wa Tanzania na Kenya wafikia Asilimia 75

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na kazi ya uimarishaji wa mpaka wa Kimataifa kati ya Tanzania na Kenya ambapo Km 564 sawa asilimia 75 tayari zimewekewa alama kati ya km 758 za mpaka mzima wa nchi kavu. Akizungumza wakati wa ziara ya kamati hiyo eneo la...
  2. R

    PostGE2025 Balozi Isaac Njenga: Tanzania na Kenya ni ndugu yanayotokea kwa jirani yanatuhusu

    Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Isaac Njenga akizungumza katika Mahojiano na Salim Kikeke ameeleza kuwa uhusiano wa Kenya na Tanzania ni kama ndugu hivyo matukio yanayotokea kwa jirani yako lazima yatakuhusu na utataka kujiridhisha, amerejelea uchaguzi wa Kenya 2007 uliofatiwa na ghasia kuna...
  3. Pearce

    TANZANIA NA KENYA ni Sibling tunaojionesha hatupendani lakini nyakati za Matatizo tupo pamoja

    Tumepoteza wengi waliohusika na wasiohusika 29/10/25. Ni kisa kimoja kwa dogo mmoja tunayemfahamu baada ya vurugu kuanza yeye alikuwa anafanya kazi kariakoo. Wakaambiwa wafunge maduka, kweli akatekeleza hilo shida akaanza kuangaika kupata usafiri kurudi nyumbani Kwa bahati mbaya hakuweza...
  4. Tajiri Tanzanite

    Hili swala la kuhusisha Kenya na maandamano hapa Tanzania linaweza kuzaa jambo kubwa mno

    Hapo vip!! Kama kuna ukweli juu ya hili basi kutakuwa upunguvu wa watu wenye akili na wanaoweza kufikiri sawa sawa. Kama kuna propaganda zinazoandaliwa eti kwa lengo la kuhusisha kenya au kuichafua kenye yakwamba wanahusika na haya maandamano Basi tukubalianane na haya. 1.Nchi yetu haipo salama...
  5. McLaren

    Baada ya Tanzania kubania wageni kufanya biashara nchini, Kenya imejibu mapigo

    Siku chache baada ya Serikali ya Tanzania kutangaza kanuni mpya za leseni za biashara na kodi, Kenya imepinga hatua hizo ikizitaja kuwa za kibaguzi na tishio kwa mshikamano wa kiuchumi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Kenya kupitia Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda imesema ina...
  6. kyagata

    Kwa nini watu wa mikoa ya Mara na Kilimanjaro wanapenda sana kufuatilia siasa za Kenya?

    Nimeishi mikoa yote hiyo hapo juu,nimeona idadi kubwa ya watu wa huko wanapenda sana kufuatilia siasa za kenya. Yani ukiwa mara au kilimanjaro radio station nyingi zinazosikilizwa huko ni za kenya,TV station zinazotazamwa sana ni za kenya.watu wa huko wana details nyingi sana kuhusu nchi ya...
  7. B

    PAMOJA VISA iko mbioni kurahisisha watu kuzunguka katika nchi wenyeji wa mashindano ya CHAN 2025

    03 June 2025 Nairobi, Kenya PAMOJA VISA iko mbioni kurahisisha watu kuzunguka latika nchi wenyeji wa mashindano ya CHAN 2025 Michuano ya CHAN 2025 ikiwa inakaribia, nchi tatu za Afrika ya Mashariki zimejipanga kutoa viza maalum PAMOJA VIZA, itakayowapa mashabiki wa soka kuzunguka katika...
  8. Mwachiluwi

    SI KWELI Donald Trump amtaka Rais Samia kuiomba msamaha Kenya

    Trump katoa masaa 24 kwa rais wa TZ mama Samia kuomba msamaha kwa kenya na kasema hapendi mtu anaechezea kenya na asipo fanya ivyo ata sitisha misaada yote marekani anayo saidia TZ
  9. S

    Kauli ya Dr Tulia kuwa wabunge walipochangia mtafaruku wa Tanzania na Kenya walikiuka maadili na kanuni za Bunge umeonyesha Naibu Spika hafai kabisa!

    Naibu Spika, alisimamia michango ya "waheshimiwa" Wabunge walipokuwa wakibwabwaja na kutoa kauli za kitoto na kijinga katika suala lililoanzishwa na Raisi Samia kuhusu wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania. Wakati huo Dr Tulia hakuwapo bungeni. Wengi wetu tulishitushwa sana na kauli zilizotolewa...
  10. JF Member

    Riba ya Mikopo ya Tanzania na Kenya

    Katika kujisomea kwangu mambo ya uchumi. Naona sasa ni rahisi kukopa kenya na kuja kuwekeza Tanzania. Riba yao ni nafuu kuliko ya kwetu. Kwa hari hii sisi tutaendela kuwa chini kiuchumi. Serikali na BOT fanyeni mpango mpunguze Riba ili wananchi wakope pesa na wawekeze. What is the CBK base...
  11. Teknolojia ni Yetu sote

    Kuna mabaki ya Roketi ya Anga za juu inaweza kuanguka Tanzania na Kenya

    Nchini Kenya shirika la anga la Kenya (Ksa) lilitoa tahadhari kuhusu uwezekano wa kuanguka mabaki ya chombo cha Angani chenye jina la NORAD ID 61909 / 2024 -2025 R ni kipande kikubwa cha Roketi chenye uzito usiojulikana. Taarifa iloyotolewa ijumaa shirika hilo lilieleza kuwa vipande hivyo vya...
  12. D

    Kwanini wachagga (kabila la mpakani) hawapo Tanzania na Kenya??

    Wamasai - Tanzania na Kenya. Wakurya - Tanzania na Kenya. Wajaluo - Tanzania na Kenya. Wanyamwanga - Tanzania na Zambia. Waha - Tanzania na Burundi. Wachagga - Tanzania Peke yake. Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee?? Au mimi...
  13. Roving Journalist

    Waziri Silaa: Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika eneo la Horohoro kitachochea shughuli za kiuchumi Tanzania na Kenya

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa uwepo wa Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika eneo la Horohoro, kinachounganisha Tanzania na nchi ya Kenya, kutachochea shughuli za kiuchumi kati ya nchi hizo mbili pamoja na nchi nyingine za...
  14. Roving Journalist

    Gissima Nyamo-Hanga: Gridi za Tanzania na Kenya kuimarisha upatikanaji wa umeme nchini

    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Gissima Nyamo-Hanga amesema kuimarika kwa mfumo wa Gridi za Umeme za Tanzania na Kenya kutasaidia kuimarisha upatikanaji wa umeme katika ukanda wa Kaskazini Mashariki mwa Afrika . Gissima ameyasema hayo Desemba 20,2024 wakati wa Ziara...
  15. gammaparticles

    Leo ni 9/11: Tujikumbushe mwanzo wa harakati ulioanzia na shambulio la ubalozi wa US Tanzania na Kenya

    Shambulio la Bomu Dhidi ya Balozi za Marekani (Kenya na Tanzania) Soma pia:FBI walivyomdaka Thomas Lyimo 1998 Imepita miaka 25 tangu shambulio la bomu la ubalozi wa Marekani jijini Nairobi na Dar es Salaam kusababisha maafa na kuacha majeruhi. Waathiriwa hao bado wanasaka fidia kutoka kwa...
  16. Gemini AI

    Tanzania na Kenya ni kati ya Nchi 10 zinazopokea nusu ya fedha zote za msaada barani Afrika

    Kenya na Tanzania ni miongoni mwa wapokeaji wakubwa barani Afrika wa pesa za misaada kutoka kwa nchi tajiri na mashirika ya kimataifa, ikionyesha kutegemea kwao fedha za wafadhili kufadhili gharama za serikali. Mnamo 2022, nchi kumi za Kiafrika, zikiwemo Kenya, Tanzania, Uganda, na Jamhuri ya...
  17. BARD AI

    Jose Chameleone: Hakuna msanii wa Tanzania na Kenya anayetufikia kwa Kuimba, wanabebwa na Mashabiki tu

    Msanii Mkongwe wa Muziki, Jose Chameleone amesema licha ya Muziki wa Uganda kuachwa nyuma na Kenya na Tanzania, bado taifa hilo linajivunia uwezo wa kuimba walionao Wasanii wake ambapo hakuna Msanii wa Tanzania wala Kenya anayefikia uwezo huo. Amekiri, Muziki wa Uganda uliyumba kutokana na...
  18. BARD AI

    Tanzania na Kenya zinaongoza kwa Kodi kubwa kwenye Mafuta Afrika Mashariki

    Kenya imejiunga na ligi ya nchi zinazokusanya ushuru wa juu zaidi wa mafuta na kuyapita mataifa makubwa kiuchumi kama vile Marekani na Afrika Kusini. Uchambuzi wa gazeti la Business Daily unaonesha kuwa ushuru nchini Kenya sasa unachukua asilimia 40 ya gharama ya kila lita ya Petroli ya juu na...
  19. DIFFENDA

    Ushauri benki gani inayotumika Tanzania na Kenya?

    Habari, Kuna biashara natarajia kwenda kufanya Nairobi, kiasi cha pesa ni kikubwa kutembea nacho. Naomba ushauri ni benki gani niweke pesa Tsh, ili nikiwa huko Nairobi niweze kutoa kwa ksh.
Back
Top Bottom