tanroads

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: TANROADS na TARURA wabainika na mapungufu makubwa, Usalama wa barabara hatarini kwa ukosefu wa bajeti

    Ukaguzi wa kiufundi wa ufungaji na matengenezo ya vifaa vya barabarani na ishara za mawasiliano ya barabara uliofanywa kwa TANROADS na TARURA umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usimamizi wa mikataba, na matengenezo, hali ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa usalama wa barabara na...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Barabara ya njia nne (Bukoba) yenye urefu wa Kilometa 1.6 iliyoanza kujengwa 2023 kukamilika Novemba 2025

    Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Kagera, Mhandisi Ntuli amesema kwamba ukamilishaji wa ujenzi wa Barabara njia Nne Bukoba kutoka Rwamishenye hadi Makutano ya barabara ya stendi ya mabasi Mkoani Kagera unatarajiwa kukamilika Mwezi November 15/2025. Akizungumza kuhusu maendeleo ya...
  3. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania KERO TANROADS fanyieni ukarabati Musoma Road imechoka sana hasa kipande cha Mwanza mpaka Nyashimo

    Barabara hii imechoka sana hasa kipande cha Mwanza mpaka Nyashimo, lakini cha kushangaza TANROADS wanaitazama tu kila kukicha, barabara imejaa mashimo kila sehemu; sio katikati, sio kulia wala kushoto, ni mashimo kila upande. Kuna baadhi ya vipande (kabla na baada ya Daraja la Simiyu) inabidi...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania CAG asema amebaini TANROADS wameilipa kampuni ya Kichina malipo ya ziada ya Tshs Milioni 586.43

    Wakuu, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), amesema amebaini Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) alimlipa mkandarasi malipo ya ziada kwa wakandarasi ya Sh.milioni 586.43. Amesema katika ukaguzi wake alibaini Agosti mosi mwaka 2023, TANROADS ilimlipa Kampuni ya M/S China...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akagua athari za Mvua Lindi, atoa maelekezo kwa Mameneja wa TANROADS nchini

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameagiza Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) wote nchini kuhakikisha wanakagua vipenyo vya makalvati na madaraja yote katika maeneo yao kabla na baada ya msimu wa mvua ili kujiridhisha kama vinapitisha maji kwa urahisi bila kuathiri barabara. Majaliwa...
  6. Insidious

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ubovu barabara Tabata Kimanga

    Kwa Yeyote Anayehusika, Ninaandika barua hii kama mkazi wa Tabata Kimanga aliyechanganyikiwa, nikilazimika kupaza sauti yangu dhidi ya hali mbaya ya barabara ya Tabata Kimanga. Kwa moyo mzito na hasira inayochemka, ninawasiliana nanyi, mamlaka ambayo imepewa jukumu la kuhakikisha ustawi na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mwezi ujao mwaka unakamilika toka ahadi ya serikali kujenga barabara ya kibada Mwasonga kwa lami

    Nakumbuka ni 29/04/2024 Siku ambayo wana Kigamboni tulikaa barabarani kumsikiliza Waziri wa ujenzi kwa wakati huo Innocent Bashungwa akitueleza namna serikali imeridhia kuwekwa rami kwa barabara hii ya kibada Mwasonga. Tunasikitika kuwa sasa tunakaribia mwaka toka ahadi hiyo hakuna jipya zaidi...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TANROADS yatatua hitilafu ndogo iliyotokea katika eneo la barabara ya mchepuko la Daraja la Somanga Mtama

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imeshughulikia kwa haraka hitilafu ndogo iliyotokea katika eneo la barabara ya mchepuko la Daraja la Somanga Mtama, na kwa sasa barabara hiyo inapitika kama kawaida. Asubuhi ya leo Machi 24, 2025 majira ya saa 12:30, maji kutoka milima ya Kitumbi na...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Dereva Mwanamke wa Lori aliyezuiwa Mizani, Vigwaza kwa Siku Tatu, amezua taharuki njia aliyotumia kulalamika

    Kufuatia mamalamiko ya dereva Bi. Pamela Bukumbi, kudai kuongezewa uzito katika mzani wa Vigwaza mkoani Pwani, Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), wametolea ufafanuzi sakata hilo na kuwataka wasafirishaji wote nchini wanaozidisha uzito kulipa faini kwa mujibu wa sheria. Akitolea ufafanuzi...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma imeiagiza TANROADS kuwasimamia makandarasi kukamilisha miradi kwa wakati

    Wakati Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega aking’aka hatua ya makandarasi wanaojenga miundombinu ya mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, kutokamilisha kwa wakati, Bunge nalo limeiagiza Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) kuwasimamia kikamilifu makandarasi. Limeagiza mradi wa...
  11. Pfizer

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TANROADS yasaini mkataba wa Km 3.8 kwa Tsh Bilioni 54 na Wachina kujenga barabara ya Njia Nne Mbagala Rangi Tatu–Kongowe

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam imetia saini mkataba wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Mbagala Rangi Tatu hadi Kongowe kwa kiwango cha lami, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan la kutatua...
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania TANROADS kwa kushirikiana na NIT waanzisha kituo cha umahiri cha usalama barabarani

    Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kushirikiana na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) wameanzisha kituo cha umahiri (Centre of Excellence) cha usalama barabarani, hatua inayolenga kuimarisha elimu, tafiti na teknolojia katika kupunguza ajali za barabarani...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TANROADS yamjibu Khana Mbarouk, ubovu wa barabara na msongamano wa magari barabara kuu Mbagala - Kongowe

    Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta amesema wameiona video clip iliyopostiwa na Mtangazaji wa Clouds media Khan Mbarouk siku mbili zilizopita inayoonesha ubovu wa barabara na msongamano wa magari katika barabara kuu iendayo mikoa ya kusini mwa Tanzania...
  14. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Kunenge awataka TANROADS na TARURA kumaliza miradi ya barabara iliyoahidiwa na CCM 2020

    Kunenge alitoa agizo hilo katika mkutano wa Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Pwani uliofanyika Kibaha, ukiwahusisha wadau wa maendeleo na wataalamu wa sekta hiyo. Alisisitiza umuhimu wa kuwa na mpango wa utekelezaji wa ujenzi wa barabara, hasa zile zilizokuwa sehemu ya ahadi za uchaguzi. Pia...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania DC Iringa atoa siku 14 TANROADS, TARURA kuzuia uvamizi wa hifadhi za barabara ikiwemo biashara ndogo ndogo

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James ametoa siku 14 kwa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) wilayani humo kuhakikisha wanatimiza majukumu yao kisheria kuzuia vitendo vya mara kwa mara vya uvamizi wa hifadhi za barabara vinavyosababishwa na...
  16. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Wasafi FM, wanatupitisha kwenye ulaghai na utapeli wa ujenzi wa Barabara zisizokuwa na tija Tanzania. Je ni mamlaka, Engineers au Rushwa?

    Kwanza niipongeze WASAFI FM, nadhani ndio chombo cha habari huwa wanajadiligi ishu za msingi sana. Ni ngumu sana kwenda nchi za watu kukuta maujenzi ya barabara kila mwaka hususani maeneo ya mjini. Na hata barabara zinazojengwa mjini ndani ya miezi 6 barabara zinakuwa zimeharibika. Je tatizo...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS Katavi yalipa fidia ya Tsh. Bilioni 2.4 kupitisha ujenzi wa barabara ya kwenda Bandari ya Karema

    Zaidi ya fedha Bilioni 2.4 zinatolewa kwa Kaya 435 za Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kupisha ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami yenye urefu wa Kilometa 112 kutoka Kijiji cha Kagwira hadi Bandari ya Karema. Ujenzi wa barabara hiyo ya lami unatajwa kuwa kichochea cha...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS Songwe walia mifugo kuharibu barabara

    Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Songwe umeonyesha wasiwasi wake kuhusu uvamizi wa hifadhi za barabara unaofanywa na wafanyabiashara ndogo ndogo (machinga) pamoja na changamoto ya mifugo kupitishwa kwenye barabara, hali inayosababisha uharibifu wa miundombinu hiyo. Taarifa hiyo...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TANROADS Yapokea Tuzo ya Kimataifa Kutokana na Mchango Wake wa Kuboresha Usalama wa Barabara (Safer Road)

    TANROADS YAPOKEA TUZO YA KIMATAIFA KUTOKANA NA MCHANGO WAKE WA KUBORESHA USALAMA WA BARABARA (SAFER ROAD) Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea tuzo ya heshima katika mashindano ya kimataifa ya usalama wa barabara, iRAP Gary Liddle...
  20. J

    JamiiForums Tanzania TANROADS wins global iRAP awards 2024

    TANROADS wins global iRAP awards 2024 By Our Reporter The Tanzania National Roads Agency (TANROADS) has won the International Road Assessment Program (iRAP) 2024 awards as the world’s best performing road authority in eliminating high-risk roads. The event that took place at the Gary Liddle...
Back
Top Bottom