Kwa research waliyoifanya June mwaka 2025, wamesema 36% yamagari yanayotumia iko kipande ni maroli ya mizigo.
Pia, wastani wa magari elfu 29 yanapita kila siku hii njia, na kati yake 9,700+ ni maroli ambayo ni karibia 36%.
Hayo yote yamesemwa na TANROADS Coast Regional Manager, Engineer...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku saba kwa Mameneja wa TANROADS na TARURA wa Mkoa wa Lindi wakae na kutafuta suluhisho la ujenzi wa daraja katika eneo la Congo kwenye barabara inayoenda Masasi kutokea Nachingwea.
Ametoa agizo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza kusimamishwa kazi watumishi wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) waliohusika na uzembe wa kutoshughulikia tatizo la mizani ya Mikese mkoani Morogoro, jambo lililosababisha foleni na usumbufu mkubwa kwa wananchi.
Huyu mkandarasi hadi uwezo, pesa ni ya World bank, why hamjengi mkamaliza? Kuna malori na magari madogo kama buku na kidogo. Kuanzia Visiga hadi ruvu.....
Huu usumbufu usio na maana. WORLD BANK njooni muone huyu mkandarasi
Kuna foleni kubwa sana maeneno ya Ruvu Pwani inayosababishwa na matengenezo ya muda mrefu ya Daraja. Hii inachelewesha usafirishaji wa abiria na mizigo
Shida ni nini?
1. Speed ndogo ya ujenzi wa daraja ambapo ni zaidi ya miezi sita sasa au
2. Polisi wameshindwa kudhibiti foleni pamoja na...
TECU ni moja lakini kila Meneja wa Mkoa anafanya anavyojua na Chief Eng. Mwandambo hajui hata kinachoendelea.
Napenda kuuliza kwanini wafanyakazi wa TECU kwenye miradi mikoa mingine wanalipwa kila mwezi na mikoa mingine wanadai hadi miezi 9?
Mikoa mingine hawakatwi kwenye responsibility/site...
Mtendaji Mkuu wa Wakala Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, amesema ujenzi wa madaraja katika barabara kuu ya Dar es Salaam–Lindi (T7) unaendelea kwa kasi kupitia mpango wa dharura wa CERC, unaofadhiliwa na Benki ya Dunia kwa zaidi ya shilingi bilioni 114.
Akizungumza wakati...
Wahusika niliowataja hapo juu, barabara ya Mwanza - Musoma kipande cha kuanzia Masanza Kona hadi Nyakaboja mlikwangua barabara iliyokuwepo mkaacha virakaviraka. Tangu mama alipopita mpaka leo mliondoka nae au mlitaka kumhadaa? Mpaka msikie msiba ndio mtaamka au mtasema ni mapenzi ya Mungu?
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeanza rasmi ujenzi wa daraja jipya la kisasa katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kudumu wa kuondoa changamoto ya mafuriko ya mara kwa mara yanayoathiri jiji hilo.
Daraja hilo litakuwa na urefu wa...
Hali ni tete na inahitaji hatua za haraka ili kuokoa sekta ya ujenzi na huduma za kijamii zinazotegemea wakandarasi. Bila hivyo, miradi mingi itakwama na uchumi wa ndani kuumia zaidi.
Wakandarasi wengi wanadai malipo kwa kazi walizokamilisha miezi au hata miaka iliyopita. Hii inasababisha...
Tarehe 16 Juni 2025, Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mha. Mohamed Besta amefanya Ukaguzi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Shinyanga na kuagiza Mkandarasi anaetekeleza Ujenzi wa Uwanja huo (CHICO) kuhakikisha anakamilisha kazi za kufunga taa za kuongozea Ndege pamoja na Kumalizia...
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, Jumamosi Juni 21, 2025 ametembelea uwanja wa ndege wa Sumbawanga kukagua maendeleo ya ujenzi wake ambao unaendelea kwa kasi.
Akizungumza baada ya ziara hiyo, Mhandisi Besta amesema ujenzi wa uwanja huo umefikia...
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imesaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami katika mkoa wa Songwe, hatua inayolenga kuboresha miundombinu, kurahisisha usafiri na kuchochea maendeleo ya kiuchumi.
Mikataba hiyo imesainiwa mbele ya Naibu Waziri wa...
Wananchi tunahitaji barabara mbadala zitengenezwe vizuri ili foleni.zipungue tutafukuzwa kazi kwa uchelewaji
Magari yetu yanaharibika sana hamtengenezi njia za kukatisha barabara kwa usahihi.
Nendeni migodini kaombeni.ushauri wa kutengeneza barabara kwa changarawe na udongo. Inaonekana hakuna...
Humu njiani tunavyosafiri baadhi ya mikoa tunaenjoy sana kutokana na utulivu wa safari unaosababishwa na barabara laini,lakini changamoto baadhi ya mikoa mmeweka matuta yale madogo madogo ma4 lakini yamenyanyuka mnatesa gari zetu na kuleta ukosefu wa usingizi murua kwa wakazi wanaoishi maeneo...
Ndugu zangu wapambanaji.
Tanroads mkoa wa songwe,wameanza kuita watu kwa ajili ya written interview.
Kwa tulioomba nafasi ya uhasibu interview itakua ni tarehe 31 May 2025,itafanyikia vwawa secondary school.
Mkae karibu na simu zenu.
Asanteni
TANROADS, TAA SHIRIKIANENI MIRADI YA KIMKAKATI IKAMILIKE KWA WAKATI
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameziagiza Taasisi ya Wakala wa Barabara (TANROADS) na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) kushirikiana na kufanya kazi kwa pamoja kumsimamia Mhandisi Mshauri wa ujenzi wa jengo la abiria katika...
Habari wakuu,
Naomba kuuliza Kwa wale ambao mshawahi kupitia katika interview za TANROADS katika nafas za weighbrige officer naomba msaada wenu nijiandae wapi na wapi
Natanguliza shukurani.
Ukaguzi wa kiufundi wa ufungaji na matengenezo ya vifaa vya barabarani na ishara za mawasiliano ya barabara uliofanywa kwa TANROADS na TARURA umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usimamizi wa mikataba, na matengenezo, hali ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa usalama wa barabara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.