tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. Huyu mwamba inaonyesha kapelekwa Tanga ku deal na Mafia wa magendo

    Ndani ya mwezi mmoja yeye na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tanga na yeye akiwa ndiye M/kiti wamefanikiwa kukamata mali za magendo zisizopungua thamani ya bilioni 4! Na inaonyesha dhamiraye ni kukomesha kabisa uhuni ule unaofanywa na ma mafia wa Tanga na Dar es Salaam. Je, atawaweza...
  2. Tanga mkawashtaki Google kwa udhalilishaji huu

    Aisee nimepigwa na butwaa kule google ukitafuta "Utopolo fc" matokeo yanayoletwa ni Young African sports club!! Kama Mimi nadanganya basi gugo na Wewe!!.. Pamoja na Kwamba Mimi ni Simba ila nimeumia sana maana Kila jina la utani la simba nikiweka halileti!! Utopolo bhana!
  3. Tanga: Afisa Upelelezi ashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba amesema Afisa Upelelezi Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga anashikiliwa na Polisi kwa kudaiwa kuwaachia huru Watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokamatwa na mali za magendo zenye thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 1.2. RC Mgumba amesema September 09,2022 akiwa na...
  4. Serikali: Mikoa ya Tanga, Arusha, Mwanza, Pwani na Geita ina viashiria vya Ugaidi

    Waziri wa Mambo ya Ndani Eng. Masauni Yusuph Masauni ameitaja mikoa hiyo kuwa imekuwa na matukio ya kukamatwa kwa watuhumiwa waliokimbia baada ya kufanya vitendo vya ugaidi katika nchi jirani. Pia, kuna dalili ya kuenea kwa itikadi za msimamo mkali zinazopelekea watu kuhamasika na kujiunga na...
  5. Kikwete amekutana na Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza, Je atatutetea Bomba la Mafuta la Uganda - Tanga?

    Salaam Wakuu, Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Mheshimiwa Gordon Brown, Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Jijini New York, Marekani, leo. Je atatutetea kuhusu bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanzania ambalo Bunge la Ulaya limepiga...
  6. Tanga: Watendaji Bodi ya Mkonge wahukumiwa kwa Matumizi mabaya ya Mamlaka

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga, Septemba 13, 2022 iliwahukumu Shabani Mapinda aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi na Imani Mduruma aliyekuwa Meneja wa Bodi ya Mkonge Nchini kifungo cha mwaka Mmoja jela kwa matumizi mabaya ya Mamlaka. Katika Shauri la Uhujumu Uchumi Namba ECC 06/2022, washtakiwa...
  7. R

    Kupotea (misplacement) kwa barua Masijala, Tanga

    Mkurugenzi Jiji la Tanga nakuomba ulifanyie kazi hili la kupotea kwa barua kwenye ofisi yako ya Masijala. Nadhani hakuna letter movement /trail order nzuri ya kuifuatilia barua iko wapi tangu inapopokelewa ofisi ya masijala. Kumekuwa na watu wengi masjala kuulizia barua zao "zimefia" wapi baada...
  8. Works Inspector - Drainage And Structure at TANROADS - Tanga

    TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY (TANROADS) is a Semi-Autonomous Agency under the Ministry of Works, Transport and Communications established on July 1, 2000 and is responsible for the day-to-day management of the Tanzania Mainlands Trunk and Regional Roads Network and Construction of Airports...
  9. Environmental Officer at TANROADS - Tanga

    TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY (TANROADS) is a Semi-Autonomous Agency under the Ministry of Works, Transport and Communications established on July 1, 2000 and is responsible for the day-to-day management of the Tanzania Mainlands Trunk and Regional Roads Network and Construction of Airports...
  10. Dodoma, Mbeya, Mwanza na Tanga sio majiji; zirudishwe kuwa halmashauri au manispaa

    Nimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji. Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia. Nyumba zimesambaa kama takataka...
  11. Ukame kupandisha tena bei za vyakula nchini

    Wakati mfumuko wa bei ya bidhaa za chakula ukiripotiwa sehemu mbalimbali nchini, hofu ya bei hizo kuendelea kupanda imeibuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutangaza uwezekano wa kuwepo upungufu wa mvua za vuli katika maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua. Hofu ya bei ya...
  12. NMB Tanga mnakera sana

    Hawa jamnaa ukienda kwa madirisha YAO unakuta madirasha yapo kama mannne hadi Matano lkn linalofanya kazi ni moja tu. And the gui yuko hapo is like anawashwa anaingia anatolia. Yupo slowly kama funzaa Shame on you NMB
  13. Kiwanda cha Cement Tanga chasimamisha uzalishaji kutokana na ukosefu wa umeme

    Taarifa ya habari ya UTV imeripoti leo magari ya kubeba cement yamekwama kwa zaidi ya siku saba kwa ukosefu wa mzigo wa cement kutokana na kusimama uzalishaji. TANESCO imeshindwa kutoa umeme wa kutosha kwa uzalishaji na meneja wa kiwanda amedai wanatumia zaidi ya milioni 500 kwa mwezi kununua...
  14. Mwalimu Kihere apewa mtaa Sahare Tanga

    MWALIMU KIHERE APEWA MTAA SAHARE TANGA Tanga imemtunuku Mwalimu Kihere Mtaa kwa kutambua mchango wake katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Siku moja katika miaka ya mwanzo sana baada ya uhuru ikatokea Mwalimu Kihere, Dossa Aziz, Abdul Sykes na Julius Nyerere walikuwa wako pamoja wakawa...
  15. Naomba kujuzwa haya kuhusu Jiji la Tanga

    Wakuu nilikuwa naomba kujuzwa frame Tanga Mjini bei gani pale Kati kati ya mji kabisa na changamoto za kibiashara zikoje na ule utamaduni wa kuona wazee ndio ufanye jambo bado upo.
  16. Barua ya wazi kwa Mkuu wa Mkoa Tanga

    Kwa niaba ya rafiki wangu huko Tanga na-share hii uzi Barua wazi kwa mkuu wa mkoa tanga. Mheshimiwa mkuu wa mkoa Tanga, Ni kwa masikitiko makubwa tunakueletea malalamiko dhidhi ya club ya Ben Bistro hapa wilayani Tanga, kati ya mtaa wa Ekcenforde na ring - Guinea Street Club hii...
  17. Tanga: Wanawake walalamika kunyonywa maziwa na wanaume, watoto hawashibi

    Wanaume wametajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa wanawake wanaonyonyesha kwa kutokutoa muda wa kupumzika vizuri pamoja na kusababisha stress zinazofanya washindwe kuzalisha maziwa ya kutosha kunyonyesha watoto. Wanawake wilayani Handeni mkoani Tanga wametoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wao wa wilaya...
  18. Rais Samia: Utafiti umebaini kuna matumizi mabaya ya fedha Idara ya Uhamiaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifunga Mafunzo ya Awali ya Askari wa Uhamiaji Kozi na. 1/2022, katika Chuo cha Uhamiaji Boma Kichakamiba leo tarehe 15 Agosti, 2022 Mkoani Tanga. MKUU WA MKOA TANGA – OMARY TABWETA MGUMBA Mrundikano wa wafungwa kutoka nje wasio na...
  19. Rais uendapo Tanga jaribu pia kufatilia shida ya maji Handeni hasa mji mdogo wa Kabuku

    Katika Wilaya ya HANDENI tatizo kubwa ni shida ya maji, niliwahi kununua shamba Kijiji cha KABUKU, Nimepitia sehemu nyingi za maeneo hayo, kwakweli watu wanaishi kama wanyama, huwa najiuliza mbunge wa pale hii kero haitambui? Sijawahi kusikia akiizungumzia bungeni, kule Kila mtu anaejenga...
  20. M

    Rais Samia karibu Tanga na wasaidie Wanatanga kero zifuatazo

    Rais Samia nakusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninayokila sababu ya kukuambia karibu Tanga lakini uwe makini maana viongozi waliopo bado hawajajua unacho kitaka. Ninasema hivo kwasababu zifuatazo 1: Hela asilimia 10 kwaajili ya wanawake,vijana na walemavu Tanga ni hadithi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…