TANESCO: Kuna changamoto kwenye kununua Umeme

TANESCO: Kuna changamoto kwenye kununua Umeme

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,181
Reaction score
17,658
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kuna changamoto katika ununuaji wa Luku kupitia mitandao ya simu huku likitoa njia mbadala ya kupata huduma hiyo.

Taarifa ya Tanesco imetolewa leo Jumapili Machi 16, 2025 na Kurugenzi ya Mawasiliano na Huduma kwa Wateja huku ikiahidi kuitatua changamoto hiyo.

"Shirika linawataarifu wateja wake kuwa, kuna changamoto katika ununuzi wa umeme unaosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu na njia za kibenki kuanzia leo majira ya saa tatu asubuhi," inaeleza taarifa hiyo.

Shirika limewashauri wateja kufanya ununuzi kupitia mawakala wake walioko nchi nzima wakati wataalamu wakiendelea na jitihada za kurekebisha changamoto iliyojitokeza.
IMG_3524.jpeg



Updates

IMG_3529.jpeg
 
Tanesco ni mbwa tena takataka
Ni MAKUMA Hawa watu...kukata na kurudisha umeme ili luku zipotee na vitu viungue watu wapate hasara..naskia watu wameondolewa kwenye tarif walizokuepo za unafuu na kupelekwa kwa lazima kwenye tarif wasizoziweza ..
 
Back
Top Bottom