tamko

  1. nizakale

    JamiiForums Tanzania TFF Toeni tamko juu ua marefa wanaoibeba timu ya simba kila inapocheza mechi

    Hili halina ubishi kwamba msimu huu 2024/2025 marefa wameamua kuibeba timu ya Simba Kila mechi. Hali hii ilianza taratibu na sasa ndio imekuwa kawaida Kila mechi Simba ambayo ni timu choko lazima itafutiwe ushindi wa mchongo au kupewa penati ili tu ionekane imeshinda. TFF badala ya kuchukuwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa mikoa wa Kanda ya Pwani wanaomuunga mkono Tundu Lssu wanatoa tamko muda huu

    MUDA HUU: WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CHADEMA TAIFA AMBAO NI VIONGOZI WA CHADEMA WA MIKOA MBALIMBALI YA “KANDA YA PWANI” WANAOMUUNGA MKONO  TUNDU LISSU WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI. KARIBU KUWASIKILIZA https://t.co/ZqIQkJEQLF Chanzo: Joel Msuya X account.
  3. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali watakiwa kuwasilisha taarifa za Mali na Madeni kabla ya Desemba 31, 2024

    Kamishna wa Maadili, Jaji (Stahiki) Sivangilwa Mwangesi amewakumbusha na kuwataka viongozi wote wa umma wanaotajwa kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kuwasilisha tamko la rasilimali na madeni yao kabla ya Desemba 31, 2024. Amesema hayo leo katika taarifa yake kwa umma...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania TLS yamchamba Ndumbaro, yasema inafanya kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni na haijawahi kukurupuka kwenye matamko yake

    TLS [Chama cha Wanasheria Tanganyika] kikiongozwa na rais wake Machachari Boniface Anyunywile Mwabukusi kimetoa tamko ambalo kwa vijana wa kijani wanaona kama ni kuchamana na Ndumbaro. chama hicho kimeelezea kusikitihwa na kitendo cha Ndumbaro ambaye ni waziri wa sheria kukabishi gari la...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yalaani vurugu zilozofanywa na Klabu ya CS Sfaxien jijini Dar

    Klabu ya Simba inapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa; Tarehe 15 Desemba 2024, katika mchezo wake wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika uwanja wa Benjamin Mkapa, zilizuka ghasia zilizoanzishwa na timu pinzani licha ya kupokelewa na kupewa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latoa tamko baada ya mashabiki wa Simba kuvunja viti Uwanja wa Taifa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limeripoti fujo zilizotokea tarehe 15 Desemba, 2024, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na CS Sfaxien. Mashabiki wa CS Sfaxien walikasirishwa na mwamuzi kuongeza dakika saba, hali iliyopelekea...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tunasubiria Tamko la Lema kuhusu Lissu

    Ni kawaida kabisa Bwana Lema huwa anakurupukaga na kutoa maoni yake hata kama ni ya ovyo haswa pale Kaka yake Mbowe anapoguswa kwa aina yoyote ile. Lema ni chawa namba moja wa Mzee Mbowe ila inashangaza hadi muda huu hatujaona taarifa yake kuhusu nafasi ya kudumu ya kaka yake ambayo Msomi Lissu...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linawashikilia watu 4 kwa tuhuma za mauji ya Mtumishi wa TRA Amani Simbayao kutoka tukio la Tegeta

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro anazungumza na Vyombo vya Habari. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaaam linawashikilia wanaotuhumiwa wanne, Deogratius Paul Massawe (40), Bakari Idd Bakari (30), wote ni kuli wa Tegeta kwa Ndevu, Omary Issa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la Umoja wa Wazee kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Umoja wa Wazee kutoka Taasisi ya TAFEYOCO Tanzania wamewataka Wananchi na Jamii mbalimbali Nchini kuhakikisha wanapuuza matamko yanayotolewa kuhusu Uchaguzi wa Serikali za mitaa ambayo yanalenga kuleta uchochezi machafuko na machafuko Nchini. Wamesema hayo leo Dec 03, 2024 Jijini Dar es Salaam...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mbona TEC wananivua nguo kila siku. Kwani kuna nini. Zamani walikuwa wakitoa tamko limeshiba kweli kweli.

    Ukizingatia matamko ya siku hizi ni kwamba yako juu juu sana na hayana uchambuzi makini. Ni kana kwamba wanaandika wakiwa wanawahi kuwa wa kwanza wasiwahiwe ni kkkt nk. Au wanaandika wakiwa wanampango wa kumkomoa mtu. Imagine matamko yale ya dp world, hivi kweli walikaa chini wakafikiri na...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Nategemea tamko 'LAINI' kutoka Kamati Kuu ya CHADEMA

    - Yaliyopita yamepita tumwachie Mungu. - Uchaguzi umekwisha tujipange kwa uchaguzi ujao. - Wanachama wa Chadema tunawaomba mshirikiane na viongozi waliochaguliwa. Asanteni kwa kunisikiliza. Expect same shit from the same goons. Rest In Peace Comred Maalim Seif, if you were you today...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo yatoa tamko kuhusu Erick Yugalila Venance kushambuliwa

    Hali ya upigaji kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji leo tarehe 27, Novemba 2024 mpaka muda huu wa saa 8 kamili mchana. TUKIO LA SHAMBULIZI Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuujulisha umma kuhusu tukio la kusikitisha lililotokea ambapo Katibu wa Jimbo la Igunga Ndugu...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la CCM kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    TAMKO LA CCM KWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandaa tamko maalum kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Uchaguzi huu ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu, kwani utahusisha kuchagua wenyeviti wa mitaa, vijiji, vitongoji, wajumbe wa kamati za...
  14. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la kutangaza siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa siku ya mapumziko la mwaka 2024

    TAMKO LA KUTANGAZA SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA SIKU YA MAPUMZIKO LA MWAKA 2024 KWA KUWA kifungu cha 3 cha Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35, kinampa Rais mamlaka ya kutangaza siku yoyote kuwa siku ya mapumziko kama nyongeza ya siku zilizoainishwa kwenye Jedwali la Sheria...
  15. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tamko la Vyama nane vya siasa rafiki kwa CCM | vyaishambulia CHADEMA

    19 November 2024 TAMKO LA VYAMA NANE VYA SIASA RAFIKI KWA CCM KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 | VYAISHAMBULIA CHADEMA https://m.youtube.com/watch?v=HFSf_Bu5y9E Vyama hivyo rafiki wa CCM chama dola kongwe, vikiongea na waandishi wa habari kiongozi wa chama cha UMD wametaka vyama...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Serikali: Toeni tamko Land Rover Festival liwe tukio rasmi la kufanywa kila mwaka kama tukio kubwa zaidi la kiutalii kwa Kanda ya Kaskazini

    Ubunifu ndo bidhaa adimu zaidi kwa sasa duniani ambayo endapo utaitumia vizuri unaweza kujihakikishia una survive vizuri katika dunia hii ya ushindani mkubwa. Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikisemwa kuwa na vivutio vingi ikiwemo rasilimali, mbuga, wanyama ila kwa bahati mbaya haijaweza...
  17. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tanzania Muslim & Youth Association (TAMSYA) toeni tamko yanayoendelea Lebanon

    Watukufu Viongozi wa TAMSYA, Assalam Aleikum. 1. Je hamuoni mashambulizi dhidi ya Lebanon, Hezbollah si haki na anaonewa? Mbona hamtoi tamko lolote? 2. Hizi Dhuluma zitakwisha lini? 3. Dunia inasubiri tamko lenu Wasomi.
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Shambulio la risasi laitikisa Ofisi ya Kampeni ya Kamala Harris huko Arizona. Polisi watoa tamko!

    Ofisi ya kampeni ya mgombea urais wa Marekani, Kamala Harris, huko kwenye mji wa Phoenix ilishambuliwa kwa risasi na kusababisha uharibifu kwa majengo na madirisha huku hakuna majeruhi walioripotiwa. Tukio hilo lilitokea usiku wa manane, siku chache kabla ya ziara ya Harris jimboni humo, na...
  19. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Makonda: Jakobo alipochinjwa, Kanisa liliomba, halikutoa tamko au waraka.

  20. B

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yatoa tamko kuhusu joto la utekwaji na mauaji

    Ofisi za Makao Makuu BAKWATA Kinondoni Tanzania BAKWATA YATOA TAMKO KUHUSU JOTO LA UTEKWAJI NA MAUAJI. https://m.youtube.com/watch?v=J0sxfuUAyJI Tamko hilo rasmi la maandishi likisomwa na Sheikh Hassani Chizenga katibu wa baraza la Ulamaa Tanzania ambaye pia ni Sheikh, Hassani Chizenga...
Back
Top Bottom