tamko

  1. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Obama: Huwezi kusema una Demokrasia ukashinda kwa 90% + huku upinzani umeufungia, uhuru wa habari hakuna

    Alisema: huwezi kuwa na Demokrasia na ukashinda kwa zaidi ya 90+ huku mpinzani wako umemfunga, hakuna uhuru wa habari, hakuna uhuru wa vyama kukutana, kufanya mikutano, uhuruwa kukosoa serikali, hakunataasisi imara za check and balance ukasema kuna demokrasia. Unafanya uchaguzi kujidanganya...
  2. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Tamko la waumini wanaopinga Parokia ya Kawe kuendeshwa kinyume cha taratibu za Kanisa Katoliki

    PAROKIA YA MT. MIKAELI KAWE, DAR ES SALAAM Tamko la waumini wanaopinga Parokia ya Kawe kuendeshwa kinyume cha taratibu za Kanisa Katoliki Tarehe 04 Novemba 2019 Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar Es Salaam, Juda Thaddeus Ruwaichi, ambaye ndiye Askofu mwenye mamlaka na Paroko wa Parokia ya Kawe...
  3. Alvin A.

    JamiiForums Tanzania Watishie CCM huyu jamaa kila mtu atatoa tamko, na hapa povu litawatoka tu

    Hadi Lugola anaweweseka!! jamaa anawanyoosha balaa Huyu jamaa anawaumiza kichwa hadi leo ***Mtapata taabu saaana***
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jafo toa tamko kwa watendaji wako wanaokataa kupokea fomu

    Jafo waziri wa Tamisemi hizi kelele na video clips zinazozunguuka mitandaoni huoni au maagizo ya Bwana Mkubwa yanakupofusha? ukiiharibu nchi wewe ndio tutakaekubebesha uchafu wote
  5. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania BAKWATA Watoe tamko umri wa mtoto kuolewa

    BAKWATA wasing'ang'anie kutoa habari za mwezi tu na kama wanavodai wao huwatetea waislamu wote. Suala la kulazimisha ndoa mpaka miaka 18 ni kinyume na imani ya dini. Mtu akibaleghe hio ndio alert kuwa mtu husika ameanza kua mtumzima. Tunaomba mtoe tamko immediately kabla hukumu haijapoa.
  6. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Tamko la Marekani kuhusu hali ya kisiasa, uminywaji wa sheria Tanzania

    U.S. Embassy Tanzania Kuzorotoa Kwa Haki Za Kiraia Na Haki Za Binadamu Tanzania Serikali ya Marekani imesikitishwa sana na matukio ya mashambulizi yanayoshamiri na hatua za kisheria zinazochukuliwa na serikali ya Tanzania, ambazo zinakiuka uhuru wa raia na haki za binadamu, na zinazojenga...
Back
Top Bottom