In a statement to AFP news agency, Germany’s foreign ministry said it is “monitoring the situation in Venezuela very closely and following the latest reports with great concern.”
“The foreign ministry is in close contact with the embassy in Caracas,” Berlin said adding that the government’s...
Madrid called for de-escalation, moderation and respect for international law in Venezuela, the Spanish Ministry of Foreign Affairs said in a statement. It also offered itself as a negotiator to help find a peaceful solution in Venezuela.
TAARIFA KWA UMMA
Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya...
Balozi hizi zimekuwa kimya mno na juu ya kinoendelea nchini.
Twangojea balozi hizi zitoe matamko au tamko moja kama tamko lilotolewa na balozi 17 zilizopo hapa nchini.
Balozi hizi 17 zina makazi yake hapa nchini na bila shaka wala chembechembe za ushahidi wowote ule maofisa wake wameona...
Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) limepitisha azimio linalopendekeza kusitishwa kwa ufadhili wa fedha za maendeleo kwa Tanzania, likieleza wasiwasi juu ya mazingira ya kisiasa na ukiukaji wa haki za binadamu ulioripotiwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025.
Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Ulaya...
Inatia hasira. TEC wanadharau sana. Serikali iangalie jambo hili kwa ukaribu sana. Hawa TEC wakitoa tamko kisha wakaja jibiwa wala hawahangaiki kufafanua au kujibishana.
Hiyo ni dharau na kiburi kuonesha wao hawajibishani na vilaza au wasiojielewa. Hili jambo linanikwaza. Serikali imejaribu...
GT
Hao maaskofu wana msemo wao unasema " Don't argue with the fool"( Yaani usibishane na mjinga). inawezekana ikawa slogan fupi lakini ina ujumbe mzito sana.
TEC wameshasema mara moja na hawajaja tena kusema lolote lakini BAR KWATA taasisi zote zime chomoza hadi za mchongo in short wanaongea...
Asalam Alyekum..
Naona wameibuka mashehe ubwabwa wanaotumiwa ili kujaribu kupinga dhuruma na mauaji ya Raia
TEC walimtoa tamko la kisomi kabisa
Hawa mashehe badala wawajibu wao wanapandikiza chuki
Hivi hii Taasisi ya BAKWATA inayoshindwa kuweka mawakili kuwatetea mashehe wanaosota gerezani...
Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika...
Umuofia kwenu wanabodi!
Kutokana na uhuru wa kikatiba tulionao wa kutoa mani, siku za hivi karibuni kumekuwa na watu binafsi au makundi mbalimbali ya kijamii yanayojitokeza kusajili (register) hisia zao mbele ya umma - Jambo jema kabisa kwa jamii inayoheshimu na kustawisha fikra mbadala...
Leo tarehe 15/11/2025, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), kupitia Rais wake Askofu Wolfgang Pisa, limetoa tamko zito kufuatia matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 29 na siku iliyofuata
TEC imekemea vikali utekaji na mauaji ya raia yaliyijitokeza wakati wa...
Ndugu Raia wa Afrika Mashariki,
Tunasimama hapa tukiwa na wasifu wa utambulisho halali kama Raia wa Afrika Mashariki, tukiwa tunasukumwa na ukweli kwamba Jumuiya ni yetu sote.
Tunaendelea kushuhudia ukiukwaji wa haki za binadamu na uharibifu wa demokrasia katika eneo lote, na kama raia wa...
Hawa wazee ni hatari sana, msiwachukulie poa, ombi lao lifanyiwe kazi haraka kabla madhara hayajatokea.
Najua mtapuuza lakini tutakutana hapahapa kijiweni.
Huyo alienyoa W kwenye ulimwengu wa kiroho ni hatari sanaaaaaa.
Polisi polisi na Serikali ya Samia mbona mnazidi kutengeneza chuki zaidi kwa Watanzania, Hivi hivi utasikia Heche haonekani tena au kafungulia kesi nzito ilimradi tu wahodhfishe CHADEMA. Hii si sawa.
==================
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikihoji alipo Makamu...
Haya mambo ni kufa kufaana!
Upande wa polisi hawajui kuitumia fursa!
Huu ndiyo ulikuwa muda sahihi wa kutengeneza hata copro mmoja kama chambo atoe tamko (halafu mnazuga kumkamata na kumhoji huku mkimlinda kwa kufikisha ujumbe)
Wakuu lazima waje meza ya mazungumzo waweke dau!
Wote hawawezi...
serikali inayojali utu wa mtu tunaomba itoe tamko kuhusu Polepole huyu alikua katibu Mwenezi Mjumbe wa kamati kuu Usalama wa Taifa hawezi kupotea kama kuku
Leo nimepokea jumbe nyingi sana kutoka kwa wanaJF wengi wakitaka kujua msimamo wangu kuhusu hii video inayoendelea kusambaa.
Kesho mchana kwa saa za Afrika Mashariki nitatoa tamko kwa hii video ya mtu anayetajwa kama kapteni wa jeshi la anga.
Video hii iliyotengenezwa kwa msaada wa AI...
Wakili Mwabukusi ambaye pia ni Rais wa TLS (Chama cha Wanasheria Tanganyika), akizungumza na Wakili TV leo, amesema TLS inachukulia suala la polisi kuzunguka katika ofisi zao kwa uzito mkubwa sana. Amesisitiza pia kuwa TLS si wahalifu bali ni chombo cha kisheria kinachotekeleza majukumu yake kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.