Tamko
https://www.youtube.com/live/zTiG8A6xBUk?si=0TkwcRajP0kn483k
Tamko la Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Unguja Kuhusu Msimamo wa Kususia uchaguzi Bila Mageuzi na Tahadhari za Madhara ya Uchaguzi wa 2020.
Wananchi wa Zanzibar na Watanzania wenzangu,
Mimi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya...
Tumesali novena sawa lakini ni unafiki kwenda kwenye chaguzi ambazo kwa kila namna hazina maana na tayari tume imeweka mfumo wa kura fake. ! Sasa wakatoliki twende kupiga kura fake!
Toeni tamko tuache uoga na unafiki
Mwenyekiti wa wa zamani wa NCCR Mageuzi, James Mbatia amesema yanayofanyika na akina Polepole, Gwajima na wengine ni baraka ndani taifa letu, hali inayoendelea kuelekea uchaguzi mkuu ni hatari kwa taifa letu.
Awamu ya sita imekuwa vurugu mechi;
Ile dhana ya utawala bora Haionekani hata kwenye mambo madogomadogo kama haya!
Hivi inawezekanaje Barabara zote zijengwe kwa mpigo pasipo mpangilio?
Yaani Unawezaje kufumua;
KILWA ROAD, NYERERE ROAD, MANDERA ROAD, MOROGORO ROAD, MWAIKIBAKI, BAGAMOYO ROAD n.k...
Siku chache zilizopita niliandika uzi unaoitwa: “Watu wanasali, mabomu yanalia. Je, kuna uhuru wa kuabudu?”Ulikuwa ni mwitikio wa kile tulichoshuhudia tarehe 22 na 29 June 2025: waumini wa dhehebu flani wakitawanywa kwa mabomu wakati wakiwa kwenye ibada.
Sikuandika kwa lengo la kutetea mtu...
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amezungumza kuhusu matokeo ya derby ya jana na kujibu kuhusu baadhi ya maoni ya mashabiki wa klabu yake kuto kumuamini na kumtaka aondoke kwenye uongozi.
Siku moja kuna watu watalipa kwa damu na machozi.
Mnaofurahia ufisadi kwenye rasilimali zetu — mtalipa, nawaambieni.
Mnayefumba macho wakati waovu wanatenda kwa mikataba michafu, mnayeziba masikio wakati waonevu wanawapora wananchi wanyonge, na wale mnaoshangilia utekaji na mateso ya wengine...
Mheshimiwa Mama Yetu Samia Suluhu Hassan,
Wapo wanaoongoza kwa mikono, wachache kwa akili, lakini wachache sana huongoza kwa moyo. Wewe ni miongoni mwa hao wachache uliyesimama si kwa nguvu, bali kwa upendo.
Katika historia ya taifa letu, jina lako limechipua kama mti wa mkaratusi wakati wa...
https://www.youtube.com/watch?v=iuttjJJLxG0
Pia soma Mbatia aibwaga NCCR Mageuzi mahakamani
James Mbatia ameanza kuzungumza na waandishi wa habari, itakumbukwa hivi karibuni alishinda rufaa yake aliyokata dhidi ya chama cha NCCR Mageuzi.
Ameanza kwa kueleza kuwa amepanga kuzungumzia migogoro...
Sina mengi kama heading inavyosomeka umoja wa makanisa Tanzania CCT utoke hadharani na tamko lake ili tujuwe msimamo wa kanisa ni nini juu ya haya yanayoendelea.
Serikali imesema itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo ilikuwa ikipata ufadhili wa kifedha kupitia taasisi za Marekani baada ya tamko la usitishaji wa misaada lililotolewa na Rais Donald Trump.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, SACP Richard T. Mchomvu, ametoa tamko rasmi kufuatia kusambaa kwa picha mjongeo kwenye mitandao ya kijamii zinazoonyesha kundi la vijana wakimvamia na kumshambulia mwananchi kwa kutumia silaha.
Jeshi la Polisi limewashikilia Vijana 8 kwa tuhuma za...
30 May 2025
Dar es Salaam
https://m.youtube.com/watch?v=nUGKwZ44tlQ
Tech & Media Covergency na PIN wazungumzia kuhusu changamoto za TEHAMA barani Africa huku mtandao wa X ukiwa umezimwa, na nchi mwenyeji wa mkutano huo wa wadau wa Barani Africa unafanyika Tanzania jijini Dar es Salaam.
Wadau...
Asalam aleykum!,
Kwa uoni wangu hafifu, ningeliomba waandamizi na kamati zote za kiusalama, kuyajadili madhaifu yote yanayolalamikiwa na hatimaye kuja na suluhisho moja, namna jinsi watakavyojipanga kuhakikisha madhaifu yote, yanashughulikiwa kwa ukaribu pamoja na ulinzi kuimarishwa zaidi, huku...
Wakuu,
Hii ishu ya kushikiliwa kwa Boniface Mwangi tunaweza kudhani ni kitu cha kawaida lakini naona kitaenda kuwa na implications kubwa
=============================
Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Masuala ya Diaspora imetoa ikilalamikia kukosekana kwa mawasiliano ya...
boniface mwangi
kenya
kidiplomasia
mambo
mambo ya
mambo ya nje
nje
raia
tamko
tanzania
utekaji
wake
wanaharakati kenya
wao
wizara
wizara ya mambo nje ya kenya
TAMKO RASMI LA MASHABIKI NA WADAU WA MPIRA WA MIGUU TANZANIA
Kuhusu Msimu wa 2024/2025 na Wito wa Mabadiliko ya Haraka TPLB
Sisi kama mashabiki wa mpira wa miguu Tanzania, tunatoa tamko hili kutokana na kukithiri kwa dosari, vitendo visivyo vya kitaalamu, na uendeshaji mbovu wa Ligi Kuu...
CAF ilishirikiana na kusaidia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (“TFF”) pamoja na Wadau wengine kuwezesha Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kuwa mwenyeji wa Mchezo wa Marudiano wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF la TotalEnergies 2024/25
Shirikisho la Soka Barani Afrika...
https://www.youtube.com/watch?v=lWxel_pUiVk
Kiongozi Mkuu mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani Zitto Kabwe amefunguliwa Kesi na Harbinder Singh Seth akidaiwa kumkashifu mtu huyo na kumvunjia heshima mbele ya jamii.
Akizungumza na wanahabari leo Zitto Kabwe amesema kuwa kesi...
Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) imesema kuwa inatarajia kutoa taarifa na tarehe rasmi ya kurejea katika safari zake za kawaida kwa Meli ya New Victoria 'HKT' ambayo imekuwa katika matengenezo tangu Machi 4, 2025 na yanatarajiwa kukamilika hivi karibuni.
Mei 11, 2025 Mwanachama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.