tamisemi

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Noah Saputu asisitiza usawa ajira za TAMISEMI

    NOAH SAPUTU MOLLEL - ASISITIZA USAWA KATIKA AJIRA ZINAZOTANGAZWA TAMISEMI Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Mhe. Noah Lemburis Saputu Mollel wakati akichangia bungeni katika vikao vinavyoendelea amesisitiza pawepo na usawa katika kugawa ajira pia ameiomba Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuwa...
  2. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Mnaoomba kazi TAMISEMI mkijaaliwa na mola mkapata, zingatia haya...

    Kufanyakazi kwa bidii zote. Usimssikikize mtumishi mwenzio fuata sheria za kazi. Jambo usilolijua la kiutumishi kabla ya kuchukua hatua uliza. Usiwaulize watumishi wapya uliza wale senior. Fomu za mikataba uwe makini na vipengele, kwa mfano place of domicile. Jizoeze kuamka saa 11 kasoro...
  3. W

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI ongezeni muda wa kutuma maombi ya ualimu na afya

    Ndugu zangu ningeomba tutumie huu Uzi kutoa maoni Kwa kuwaomba TAMISEMI kuongeza Muda wa watanzania kutuma maombi ya Kazi za ualim na Afya. Kwanza muda uliotolewa no siku ambazo sio Chini ya 20 na yawezekana wengi wasiombe na kukosa Fursa ya Kuajiriwa(Kwa wale watoto wa maskini) ambao hawana...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri TAMISEMI

    Pole na majukumu Ndugu Waziri, nina machache ya kukushauri juu ya suala la ajira za walimu; Rejea enzi za Ummy Mwalimu, alichukua wahitimu wa 2012, 2013, 2014, na 2015 akapeleka wote primary hakukuwa na shida. ~ Chukua wahitimu wote wa 2015 peleka primary ili upunguze kelele.
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Anjela Kairuki jiuzulu!

    Nirejee kusema kuwa Waziri Anjela Kairuki Wizara hiyo imekushinda. Wizi ni 100% kwenye mikoa na Halmashauri, nchi pia ukirejea ripoti ya CAG. Nikutake utamke neno moja Tu, Jiuzulu nafasi hiyo japo Hata Samia mambo yamshinda Yeye Tutakuwana naye kwenye kampeni 2025
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Santiel Kirumba achangia Bajeti ya TAMISEMI Sekta ya Elimu

    MHE. SANTIEL KIRUMBA ACHANGIA BAJETI YA TAMISEMI SEKTA YA ELIMU Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Eric Kirumba ameunga mkono hoja ya kupitisha bajeti ya Wizara ya TAMISEMI ambapo amechangia hasa upande wa Elimu kwa watoto kupewa chakula mashuleni. Mwaka 2021 Bunge...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI 21,200 Kila Halmashauri Inaweza Kupata Nafasi 115 kama Zikigawiwa kwa Usawa

    MHE. EZRA CHIWELESA - AJIRA 21,200 KILA HALMASHAURI INAWEZA KUPATA WATUMISHI WAPYA 115 KAMA ZIGAWIWE KWA USAWA Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mhe. Eng. Ezra Chiwelesa ameunga mkono hoja na kuchangia katika bajeti ya Wizara ya Ofisi ya Rais - Utumishi na Utawala Bora. Mhe. Chiwelesa amesisitiza...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwako waziri wa TAMISEMI, angalieni na namna ya kuwachuja wanaoomba kazi za ualimu walau hata kwa "Online aptitude test"

    Mhe.Rais wa JMT, Mhe.Waziri wa TAMISEMI Nawapongeza kwa jitihada zenu katika kutengeneza na kutoa fursa za ajira nyingi sana katika kada ya ualimu na Afya. Ni ishara njema katika kupunguza tatizo la ajira nchini. Mhe. Waziri wa TAMISEMI, maoni na mapendekezo haya ni kwa ajili ya ofisi yako...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Janeth Mahwanga Achangia Wizara ya TAMISEMI Agusia Mikopo ya 10%

    MHE. JANETH MAHAWANGA ACHANGIA WIZARA YA TAMISEMI MIKOPO YA 10% Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janeth Elias Mahwanga amechangia Wizara ya TAMISEMI kwa kuiomba Serikali kuangalia upya utaratibu mzuri wa mikopo ya 10% ambayo inatolewa kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu...
  10. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ni lazima Wakuu wa Mikoa wakusanyane Dodoma kwenye bajeti ya TAMISEMI?

    Hii nchi ina matumizi ya anasa sana, kwamba ni lazima hawa jamaa wasafiri kote huko kutoka Kona za Tanzania kwenda Dodoma kushuhudia bajeti ya Tamisemi ikisomwa? Sina kumbukumbu kama hu utaratibu ni wa wakato wote au umeanza awamu ya kula kwa urefu wa kamba, Kwamba hawawezi fuatilia mkutano...
  11. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Wakati magari mengine yakitupwa na kutelekezwa, Tamisemi waomba magari ya Bil 16, kununua magari 81

    Wakuu Salam, Hata kama nchi haina vipaumbele, hata umasikini wa watu wetu hatuuoni? Katikati ya kutupa magari tunanunua megine...? Kairuki kaomba mengine ya bil 16, magar 81. Tizama video ya magari yaliyotupwa👇 ====== Waziri wa TAMISEMi, Angellah Jasmine Kairuki amewasilisha Bungeni...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali nikijaribu kutuma maombi Tamisemi taarifa za chuo zinagoma

    zina load muda mrefu then UNDEFINED.. see attachment
  13. Joan lewis

    JamiiForums Tanzania Tamisemi tunaomba angalau mwaka huu muwachukue Waliosoma Postgraduate Diploma Ualimu kwa Makubaliano

    Jaman hebu mwakahuu kwenye hizi muwakumbuke waliosoma stashahada ya uzamili. Wengine wamemalza Tangu mwaka 2014. UDSM kwanini mnawaacha? Hakuna mtu anatafuta special seat ya mshahara ila walisoma ili wapate nafasi ya kupractice passion zao za kufundisha. Baada ya kuchaguliwa Kozi nyingine...
  14. Sauti ya amani

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutuma maombi ya ajira TAMISEMI kwa waombaji wapya na wale waliowahi kuomba

    Wakuu napenda kuomba msaaada namna ya kutuma haya maombi ya ajira mpya ,je anwani za barua ni zipi?na kwa walioomba awali wanatumia mfumo upi asnth
  15. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI

    Hakikisha una upload vyeti ambavyo ni certified ( Vyeti vyenye muhuri wa Mwanasheria ) Cover Letter ( Barua yako ya maombi ) inakuwa na sahini yako chini/mwishoni mwa barua.
  16. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI nimeshatuma maombi tafadhali naombeni koneksheni sasa

    Kama waziri alivyotangaza nami naomba niseme nimechangamkia fulsa. Kwenye akaunti nilitakiwa kuweka barua na machaguo tu. Niwapongeze kwahili maana adha ya kuscan mavyeti Kila wakati imeondoka. Kam nilivyosema hapo awali kuwa nimehitimu mwaka 2017 masomo history na Kiswahili na nimechoka kukaa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023 ====== Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ajira mpya 13,130 za kada ya Ualimu watakaofundisha katika Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, idadi ya watumishi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI waziri labda Ummy Mwalimu

    TAMISEMI ni wizara kubwa sana yenyewe tu ni serikali inayojitegemea, waziri ninayemwona kuifaa ni Ummy Mwalimu. Huyu mama yuko makini hacheki makima yaliyojaa halmashauri. Mwingine profesa Ndalichako. Mama ana ugomvi na Ndalichako? Hakuna waziri mwanaume wa kumpeleka TAMISEMI wamejaa uroho na...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ukaguzi wa CAG 2021: Halmashauri zilizopata Hati Mbaya zimepungua

    Mwaka wa fedha 2020/21 Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kuhusu ukaguzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2020/21 zinaonesha kuimarika ikiwa ni kielelezo kuimarika kwa usimamizi wa fedha katika ngazi hiyo. Halmashauri zilizopata Hati...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amuapisha Dkt. Charles Mahera kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - TAMISEMI

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Ikumbukwe kabla ya...
Back
Top Bottom