tamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Tunakoelekea ni kubaya, vikundi vya uasi vinakiri kuhusika na mauaji ya mwenyekiti wa CCM na polisi, hii sio tamaduni yetu watanzania, this must stop

    Kama unatumia mitandao nadhani umewaona TFF (Tanganyika freedom fighters) wanakiri kuhusika na kumkata kata mapanga mwenyekiti wa CCM kijiji cha mkoani Mbeya na kumshambulia polisi hadi kifo. Sikuwahi kufikiria hata siku moja tutafikia huku na cha kushangaza nimesoma baadhi ya comments...
  2. ngara23

    Ni upumbavu mtu mweusi kuishi tamaduni za kiarabu

    1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake, Hivi ukisema Asante Mungu utakufa? 2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu? Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu...
  3. Clayton Paul

    Consume and Obey or Question everything ?

    Children sio Sawa na kids. Kids ni watoto wa Mbuzi. Children watoto wa Bin adam. Children of Israel sio Sawa na Kids of Africa. Standard. Priest ikiwa na maana ya Mchunga Ng'ombe jiulize wewe ni Ng'ombe ? Kuna haja ya kurudi kuangalia maneno yote yanayotumika Yana maana gani katika asili yake.
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Tamaduni huchochea tabia za watu. Unaposema kabila Fulani linawatu wenye tabia mbaya kama umalaya au roho mbaya. Jiulize; je tamaduni zao zinachochea

    Hamjambo! Imekua desturi kumsikia MTU akisema Kabila Fulani Malaya Sana. Au kabila fulani wachawi Sana. Au kabila Fulani Wana roho mbaya. Kabla ya kutoa hitimisho kuhusu tabia za watu wa jamii Fulani lazima ujiulize Maswali yafuatayo; 1. Je tabia asili yake ni ipi? 2. Je mambo gani huathiri...
  5. The Burning Spear

    Bulabo :Ni utamaduni wa Kisukuma unaounganisha Ukristo na tamaduni asili naona CCM wamegeuza kuwa uwanja wa siasa.

    GT Jamani jamani mambo ya asili yabaki kuwa ya asili miaka nenda rudi bulabo ni Tamasha lilioasisiwa na kanisa pamoja na kabila la wasukuma hapo Mwanza. Leo nimeshangaa mno kuona hali ilivyokuwa kugeuzwa Tamasha hili uwanja wa siasa ni aibu kwa kweli. Inawezekan hata na ubongo wa waafrika una...
  6. Mme Mwenza

    Naomba kujua mila na tamaduni za Kisukuma ambazo wanaamini ni za kwao wao?

    Habari wana jf. Naomba kama kuna wasukuma org. humu ndani wanisaidie mila na tamaduni za kisukuma wanazoamini ni zao, wanapaswa kuziish. Mim ni msukuma fake(mama mnyarwanda, baba msukuma) watoto tumekulia mjini. Kwa atakae faham ani ainishie tafadhari, najua humu majibu ni uhakika.. Majibu...
  7. S

    Nini kitatokea baadaye endapo serikali itaendeleza tamaduni hii tukilejea mataifa Yale yalipitia hali hii inayopitia Tanzania ??

    Swali lako ni zito sana, na linaonesha unafikiria mbali — kuangalia historia ili kufahamu hatima ya taifa kama hali ya sasa itaendelea. Tukitazama mataifa mengine yaliyopitia hali kama Tanzania ya sasa (yaani, serikali kudharau raia, kukandamiza uhuru wa watu, kukithiri kwa rushwa, na ukiukaji...
  8. MWANAHARAMU

    Inahitajika uwe na moyo mgumu kupinga Mila, tamaduni, dini za jamii yako achilia mbali kusema hadharani na vyombo vya habari

    Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda. Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha. Tena wanasema na kuongea hadharani.............
  9. H

    Ni wakati wa WAAFRIKA kusafisha mabaki ya wazungu na warabu na tamaduni zao ndani ya AFRIKA

    Waafrika tusipochukua hatua kali dhidi ya wazungu na warabu na kuondosha mabaki yao i.e:mratoes ndani ya AFRIKA watakuja kutusimbua na kutuwala tena kwani mtu akila nyama ya mtu haachi milele. Mfano mzuri ni huko Afrka Kusini ambako mabaki ya Wazungu wanadai uhuru wao ndani ya Afrika Kusini...
  10. hamis77

    Uislamu na tamaduni za Kikureshi(Kiarabu)

    Ingawa Mtume Muhammad alileta Uislamu kama dini mpya, ni dhahiri kwamba alihifadhi sehemu kubwa ya mila na desturi za wapagani wa Kikureshi. Hebu tuangalie Leo baadhi ya Mila na desturi za kipagani alizoziendeleza kwenye dini yake mpya 1. Kuheshimu Jiwe Jeusi (Hajar al-Aswad) Katika mila za...
  11. Mshana Jr

    Zifahamu tamaduni za ajabu na kushangaza zaidi duniani

    Zifahamu tamaduni za ajabu na kushangaza zaidi duniani
  12. Cute Wife

    Utamaduni gani kwenye kabila lako unaona ni wa ajabu na haufanyiki sehemu nyingine?

    Wakuu Jmosi inaendaje? Tanzania tumebarikiwa kuwa na makabila mengi yenye tamaduni mbalimbali ambazo kiasi chake zinaanza kupotea kutokana na miingiliano na wageni pamoja na sababu nyinginkede kede. Mimi ni katika wale tumekulia mjini, tunaokoteza huku na huko na kujifunza kila siku kutokana...
  13. Just Pray

    Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Tamaduni na Michezo, yasema kufika mwezi April ukarabati uwanja wa Mkapa uwe umekamilika

    "Bunge linaazimia kwamba Serikali ihakikishe inakarabati uwanja wa Benjamin Mkapa ifikapo April 2025, Serikali iandae mikakati ya kuanzisha chombo maaulumu cha kusimamia uwanja wa Benjamin Mkapa na viwanja vingine vinavyojengwa na Serikali ili kuhakikisha kuwa vinatunzwa na vinakuwa katika ubora...
  14. chiembe

    Kuchezea mpira kwenye kambi ya Jeshi yenye ulinzi mkali kumetuangusha Yanga, tunashindwa kuingia uwanjani usiku kufanya mila na tamaduni

    Huu uwanja tuupige vita, yaani wanalinda wanajeshi usku na mchana, hata taratibu zetu za jadi tumeshindwa kuziingiza na kuzichimbia uwanjani... Hawa jamaa usiku kucha wanalinda kwa mabunduki. Tusikubali timu nyingine itumie uwanja huo kama nyumba ni, hatutachukia ubingwa
  15. Mshana Jr

    Wasotho na tamaduni zao

    Wasotho wana tamaduni zao tofauti, ikijumuisha aina za kipekee za muziki na lugha yao, Sesotho. Shughuli za kitamaduni ni pamoja na kucheza, kupiga makofi, kuimba, na kuimba. Shughuli fulani za burudani pia ziliendelezwa katika utamaduni wa vibarua ndani ya Wasotho, kwani wengi walifanya kazi...
  16. Rorscharch

    Ukipita soko la Buguruni unakumbushwa tamaduni ya mwafrika ni kuridhika na uchafu

    Yaani kabisa mtu mzima na heshima yake (anaitwa mama nyumbani na hata boss ofisini) anapita kwenye tope linalonuka chakula kilichoharibika (kinyesi pia labda kipo maana harufu mbaya) kwenda kununua chakula ambacho analisha watoto, ndugu na marafiki Ukiridhika kupata chakula chako katika...
  17. Stephano Mgendanyi

    Wanafunzi Wafundishwe Nidhamu Bora na Tamaduni za Kitanzania: Bashungwa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ametoa wito kwa Wazazi, Walezi na Walimu kuwalea, kuwaandaa na kuwafundisha Wanafunzi katika misingi ya nidhamu bora na tamaduni za kitanzania ili iweze kufaa katika jamii na kuwa na mchango kwa Taifa kupitia taaluma zao. Bashungwa ameeleza hayo Novemba...
  18. M

    Mambo yanayoendelea Bar ya Savoy, sio tamaduni zetu

    Wakuu, habari za mihangaiko Aisee Kwa wenyeji wa Buza bila shaka mnaelewa Hili. Hii bar inaitwa New Savoy Iko Buza kanisani, Shughuli zinazoendelea hapa zimevuka utamaduni wetu, Sawa Kila mtu ana uhuru lakini kweli ndio hivi? Ifikapo saa 2 jioni hii njia unaogopa hata kupitia, ni mwendo WA...
Back
Top Bottom