takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    TAKUKURU yawafikisha Mahakamani Wabunge wawili wa Chato Kusini na Chato Kaskazini

    TAKUKURU GEITA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WABUNGE NA MADIWANI MAJIMBO YA CHATO KASKAZINI NA CHATO KUSINI Ndugu Wanahabari, Kati ya tarehe 28.11.2025 na tarehe 30.11.2025 TAKUKURU (M) Geita ilipokea taarifa za uwepo wa vitendo vilivyoshukiwa kuwa ni vya rushwa vilivyofanywa na Mhe. Cornel Lucas...
  2. W

    KERO Wanufaika wa Kituo cha Mama Kibonge (Buza) ni kina nani? Wanaidharau hadi TAKUKURU huku Wananchi tukiendelea kuteseka

    Licha ya Mamlaka ya TAKUKURU Temeke kushauri utaratibu wa Daladala kufika hadi Kituo cha Buza Kanisani badala ya kuishia katika kile kituo chao kipya cha Mama Kibonge, yaani ratiba zirejee kama ilivyokuwa awali, bado mambo yamekuwa magumu kutekelezeka. Mjadala wa awali ~ TAKUKURU: Tunafanya...
  3. Roving Journalist

    TAKUKURU Temeke: Tumeamfikisha Askofu Mahakamani kwa tuhuma za kughushi nyaraka za ardhi

    Katika kipindi cha Oktoba hadi Disemba 2025, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke imefanikisha kumfikisha mahakamani Askofu Renatus Joseph Nyalali, Askofu kutoka kanisa la Hosanna Assemblies of God Tanzania (HAOGT), kwa tuhuma za kughushi nyaraka na kutoa nyaraka za...
  4. Roving Journalist

    TAKUKURU: Tunafanya uchunguzi Kituo cha Buza Kanisani kuhamishwa, tunashauri kwa sasa utaratibu wa zamani urejee

    MKUU WA TAKUKURU TEMEKE (M) - HOLLE MAKUNGU TAARIFA KWA UMMA TAKUKURU TEMEKE YACHUKUA HATUA KUFUATIA KERO YA WANANCHI BUZA Temeke Februari, 2026 Ndugu Waandishi wa Habari, TAKUKURU Mkoa wa Temeke tumewaita leo kufuatia taarifa ya kero ya wananchi wanaoishi eneo la Buzza, Wilaya ya Temeke...
  5. R

    Zungu: Wabunge wapo huru kutoa mawazo na kufanya majadiliano. Sijatoa Kibali Mbunge kuhojiwa TAKUKURU

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Zungu, amekanusha madai ya vyombo vya habari yanayodai kuwa baadhi ya wabunge wameitwa kuhojiwa na TAKUKURU kutokana na michango yao wakati wa mjadala wa hotuba ya Rais. Akizungumza bungeni Dodoma Februari 5, 2026, amesema ofisi yake...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Shabiby: Sijaitwa TAKUKURU na hakuna wa kunitisha

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Februari 02, 2026, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Shabiby amesema taarifa hizo si za kweli, akisisitiza kuwa hakuna hata mmoja wao aliyepokea wito kutoka TAKUKURU kama inavyodaiwa. “Hapana, mimi sijawahi kuitwa, na hata nimemuuliza mwenzangu Kangi...
  7. Waufukweni

    TAKUKURU yawaita Shabiby na Kangi Lugola

    Gazeti la Mwananchi la Januari 31, 2026 hii ndiyo haba kuu ambapo wamedai, Bosi wa Takukuru afunguka sakata likichukua sura mpya, orodha yasubiriwa. Wasomi wataka hoja zisiishie bungeni, hatua zifuate. Huku Chief Odemba akiandika alichokisema, Crispin Chalamila, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya...
  8. H

    Dkt. Mwigulu aelekea Morogoro kufungua mkutano wa mwaka wa TAKUKURU

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisafiri kwa Treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kutoka Dar es Salaam kuelekea Morogoro ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU, unaofanyika leo Januari 26, 2026.
  9. Roving Journalist

    Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Chalamila atoa taarifa kwa Kamati ya Bunge kuhusu majukumu na muundo wa TAKUKURU

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Crispin Chalamila, Januari 19, 2026, ametoa taarifa kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kuhusu majukumu, mamlaka na muundo wa Taasisi hiyo, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti...
  10. Roving Journalist

    TAKUKURU yakabidhi mashine mbili za watoto waliozaliwa kabla ya muda kwa Hospitali ya Tumbi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza kuwatafuta washtakiwa Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi ikiwemo kuongoza genge la uhalifu, kughushi, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu pamoja na utakatishaji fedha kupitia shauri...
  11. Heparin

    SI KWELI Victor Mhagama akamatwa na TAKUKURU akiwa na Tsh. Milioni 500

  12. Mkalukungone Mwamba

    TAKUKURU: Tunamtafuta Alex Msama ana mashtaka ya uhujumu uchumi na kuongoza genge la uhalifu. Atakayempata kuna zawadi nono

    Machawa wa Serikali ya CCM kumbe ni mijitu mibaya kiasi hiki! Msama ukimuona kama mtu mwema ila ni jizi la hatari mtapeli viwanja vya watu! ============== Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza kuwatafuta washtakiwa Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na...
  13. K

    Hivi kwanini nafasi ya Bosi wa TAKUKURU haina kinga kama nafasi ya CAG?

    Nilikuwa katika kijiwe flani cha Wasomo wakati tukijadiliana suala la rushwa, kuna hoja ilianzishwa kwamba moja ya jambo ambalo watu wanalichukuliwa poa ni kwamba linaweza kuwa linachan gia matukio ya rushwa kuendelea kuwa ngumu kudhibitiwa hasa yale makubwa ni mtu anayeshika nafasi ya...
  14. A

    KERO Elimu bure lakini Shule ya Nyampulukano – Sengerema kuna upigaji mkubwa. TAKUKURU walifanya kazi yao, 'wakapozwa' wakaingia 'mitini'

    Shule ya Secondary Nyampulukano iliyopo Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza ili kupata nafasi ya kuhamia pale au kwa Wanafunzi wanaoanza kidato cha kwanza wanatozwa Tsh. 320,000 au unapeleka mifuko 10 ya saruji pamoja na Nondo nne, kitu ambacho ni kinyume kabisa na utaratibu wa elimu bila malipo...
  15. Mafyangula

    Clemence Mwandambo: TAKUKURU hawajui cha kufanya, mpaka wapokee maagizo kutoka kwa wanasiasa

    Clemence Mwandambo ameendelea kuwasha moto, hajapoa hata kidogo Leo kupitia ukurasa wake wa Instagram amehoji TAKUKURU wanayatambua kweli majukumu yao, maana wao wamekuwa ni watu wa kupokea oda kutoka kwa wanasiasa wakati kuna wala rushwa kibao na mafisadi. Sielewi hii TAKUKURU ipo kwaajili ya...
  16. figganigga

    Angalia jinsi TAKUKURU inavyo bagazwa na kubanangwa. Alitekataa Rushwa akalia kuti kavu

    Viongozi wote wanatokana na CCM. Walitakiwa wazuie Rushwa. Lakini ndio wanatoa Rushwa. Huyu mzee alokataa Rushwa ya Elfu kumi, anapata wakati mgumu
  17. R

    GE2025 TAKUKURU yawahamasisha wenye ulemavu kupiga kura

    Kwani TAKUKURU wamemaliza jukumu lao la kupambana na Rushwa? hadi kuhamia kwenye jukumu la kumasisha watu kupiga kura ------------- Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 wa kuwachagua Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Familia ya Katibu wa ACT Wazalendo, Kigoma yadai kuvamiwa usiku. TAKUKURU yasema ilikuwa ni upekuzi kwa tuhuma ya rushwa

    Familia ya Katibu wa Chama cha ACT Wazalendo mkoa wa Kigoma ambaye pia ni mgombea udiwani wa kata ya Kibirizi, Yunus Ruhomvya, imedai kuvamiwa na watu wanaodaiwa kuwa askari polisi usiku wa kuamkia Oktoba 9, 2025, katika makazi yao yaliyopo eneo la Kibirizi mkoani Kigoma. Kwa mujibu wa mke wa...
  19. R

    GE2025 Meseji za TAKUKURU: Mpiga kura Makini hukataa hongo

    Wakuu, Kama ilivyo kawaida ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutumia wananchi ujumbe kuhusiana na masuala ya kupokea, kutoa na kukataa rushwa lakini pia kuziripoti, leo na mimi nilitumiwa huu ujumbe ila nikacheka sana maana wanahangaika na wananchi huku wahusika wanatoa...
  20. A

    GE2025 Je, Takukuru kuwafungulia Mashtaka ya Rushwa Mashahidi na Vyama Vya Mchongo

    Hivi karibuni Takukuru wamekuwa wakitoa onyo au maonyo Kwa wagombea wasitoe Rushwa , pamoja na ahadi zinazoelekea kuwa ni Rushwa. Hivyo kuharibu uchaguzi na kupitia nchi hasara kubwa, na kuwanyima wananchi nafasi ya kufanya uchaguzi wa haki, na demokrasia. Lakini kuna matokeo yanayoonyesha Kwa...
Back
Top Bottom