Wakuu,
Kama ilivyo kawaida ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutumia wananchi ujumbe kuhusiana na masuala ya kupokea, kutoa na kukataa rushwa lakini pia kuziripoti, leo na mimi nilitumiwa huu ujumbe ila nikacheka sana maana wanahangaika na wananchi huku wahusika wanatoa hizo hongo wanaangaliwa tu
Mfano mzuri ni ile habari ya Babu Tale kugawa kanga na yeboyebo kwenye kampeni halijachukuliwa hatua yeyote na cha kushangaza Polisi nao walikuepo eneo hilo
Kweli rushwa ni mbaya akipokea mwingine ila ukipewa wewe ni tamu, hawa TAKUKURU tayari wamepewa fwedha kwaiyo wanafanya kazi ya kutuma meseji zao ili kuonekana kuna mikakati inaendelea kukomesha ruswa
Ikanibidi nitafute haka ka video nicheke vizuri 😂 😂 😂