tajiri

  1. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Muha tajiri wa Tanroad

    Ananisimulia Bukembe Mtobo, rafiki wa Muha. Baada ya mambo kuniendea kombo mjini Arusha au Chuga kama waitavyo wengine. niliamua kukimbilia jijini Dar ili kuunusuru mtaji mdogo uliosalia. Mwaka mmoja baadae nikiwa jiji Dar mambo bado hayakwenda kama nilivyotarajia. Nilifilisika kabisa. Ndipo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Tanzania ndio nchi pekee kusini mwajangwa la Sahara ambayo tajiri na masikini wanalingana kwa tofauti nyembamba ya kipato

    === Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika mahojiano na kituo cha runinga cha ITV kwenye kipindi maarufu zaidi cha DK 45 kinachoongwa na mwanadada machachari Ms Farhia Medley, Pamoja na mambo mengine Mkurugenzi Kafulila akirejelea ripoti ya...
  3. JamiiForums Tanzania Unaweza kuwa tajiri kwa kuwekeza kwenye Betting

    Najua wengi humu mtabisha maana mnajifanya mnagwajimanize kila kitu. Nilichokisema nakijua kiundani na ninamaanisha kuwekeza rasilimali ulizonazo kwenye betting. Utavuna mabilioni ya pesa ndani ya muda mfupi hadi watu wakuonee wivu na kukuita majina ya ajabu. Chakufanya funguackampuni ya...
  4. JamiiForums Tanzania Tajiri Mo Dewji yule 'Scout' wako wa Mchongo mpaka sasa ameshakuletea majina ya Wachezaji wangapi wa maana kwa Simba SC yetu ya 2025/2026?

    Kwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2 ila kwa Hasira wote nawapeleka Yanga na Azam ili nipate 10% yangu.
  5. JamiiForums Tanzania We member Marry Diana kama unataka msaada wa kipesa,kimawqzo,mtaji au mume mtafute tajiri wa kusini jamaa ni very gentleman

    Nimesikitika baada ya kusoma thread ya member humu anayeitwa Marry Diana jinsi anavyoilalamikia jamii forum na member wake kwamba watu wengi humu ni wabaya kusema ukweli nimeumia sana hivi unakuaje mwwnamke mzuri na brain woman wanamkosea hivyo? Ila ninachomuambia huyu member Marry Diana ya...
  6. JamiiForums Tanzania Tusichanganye kati ya Right Hand Man wa tajiri na Chawa wa tajiri. Hawa ni watu wawili tofauti!

    Right Hand Man ni mtu wa kuaminika, msaidizi wa karibu ambaye hukusaidia kutimiza malengo na shughuli zako. Anawajibika kwa spidi ya mategemeo yako. Ni mtu ambaye anaweza kumudu kazi za maana, na anakushauri kwa uaminifu bila kujali maslahi yake binafsi. Chawa, kwa upande mwingine, ni mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Taifa Kubwa Tajiri kama Urusi je Vikwazo vinaliathiri? Huyu hapa Mchambuzi wetu

    Vikwazo vinaathiri Urusi kwa njia mbalimbali, hasa katika nyanja za kiuchumi, kiteknolojia, kifedha, na kisiasa. Hapa ni baadhi ya athari kuu: 1. Athari za Kiuchumi Kuporomoka kwa thamani ya ruble: Vikwazo vya kimataifa, hasa baada ya uvamizi wa Ukraine mwaka 2022, vilisababisha ruble kushuka...
  8. JamiiForums Tanzania Eti club masikini inatakuinyang'anya mchezaji club tajiri

    Hapo vip! Club ya yanga na umasikini wake anataka kumnyang'anya Simba mchezaji.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana humu member anayeitwa tajiri wa kusini ana pesa na roho mzuri wakuu

    Wakuu kusema ukweli nimetokea sana kumpenda Tajiri wa kusini jamoni wewe huyu mkaka nampenda sana jamani ana hela sana yaani kumsalimia tu na kumpa hi tu najikuta natumiwa pesa taslimu 2.5M wakati sijamuomba jamoni huyu ndiyo husband material kabisa Huyu jamaa sijui anafanya mishe gani sijui...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Tangu waafrika tupate uhuru Hadi Sasa hakuna nchi Tajiri iliyofanikiwa

    Tatizo ni ngozi? Ubongo? Au tuliumbwa tuwe masikini na Tegemezi? Au hii sehemu Mungu aliiweka kama mashambani pa dunia watu watoke kwingineko waje wapige pesa na kuondoka. Maana Sasa hivi DUNIANI Kila rangi inayoamua kuendelea duniani inaendelea tena faster isipokuwa hii nyeusi rangi ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania wanaume 100 vs Sokwe 1 haipo fair, Tajiri alie serious akiweka dau nono nakusanya vijana 40 tu, Hatutatoka wote salama ila sokwe atajuta kuzaliwa

    Labda itokee kuwe na mwamuzi lakini vinginevyo hataona mwezi wala jua tena. Kupigana kunahitaji akili sio nguvu tu, Sokwe hana akili kwenye mashambulizi anategemea nguvu pekee. Ni kweli sokwe lina nguvu sana lakini huchoka haraka sana kwa mashambulizi yanayotumia nguvu kubwa bila mpangilio /...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nakupenda sana mume wangu tajiri wa kusini

    Mume wangu tajiri wa kusini nakupenda sana jamoni yaani bila wewe siwezi kuishi japo wewe ni tajiri ila umeamua kujishusha,kunihudumia,kunilinda na kunijali jamoni wewe ndiyo umenifanya nione thamani ya Maisha tena baada ya kutendwa mume wangu Tajiri wa kusini hivi nimpende nani zaidi yako...
  13. JamiiForums Tanzania Zijue nchi tajiri za Kiafrika mwaka 2025

    Shirika la fedha duniani limetoa takwimu za mwaka 2025 zikitaja nchi 5 tajiri barani Afrika kwa vigezo vinavyokubalika. BBC swahili news
  14. JamiiForums Tanzania Kunani kila tajiri anapeleka bus ruti ya Tanga. Au Tanga vigagula vyenu vilikufa, New force ndani ya Tanga

    Zamani ruti ya Tanga ilikuwa ngumu kama ilivyo ruti ya Dar kusini kama si mzaliwa wa huko utoboi. Alianza Abood, anakuja Shabiby na sasa New force nae anapeleka chuma Tanga Dar Tanga. Hizi ruti za mabus zamani ilikuwa kama we ni WA kaskazini ni huko huko ukienda ruti ya Dar Tunduma wakinga na...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Ulanga: Rais Samia ni tajiri sitoacha kumuomba, tutamlipa kwa kura nyingi 2025

    Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ameeleza yale yote yaliotekelezwa na Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan na kusema pamoja na yote bado hatoacha Kumuomba fedha Rais Samia Kwa ajili ya kutekeleza miradi iliobaki. Salim Alaudin aneyasema hayo mara baada...
  16. JamiiForums Tanzania Ni dhambi kupromote umasikini misikitini/makanisani

    Adam na Eva waliumbwa na kuwekwa kwenye mazingira ya utoshelevu. Kama haitoshi Mungu aliwawekea akiba kubwa ya Dhahabu (Dhahabu ya Havira) na vito ili viwasaidie watakapoongezeka. Bustani ya Eden hapakuwa mahala pa kimasikini. Eden maana yake ni protected place of pleaseure (Sehemu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tajiri namba 2 Duniani, Jeff Bezos kuja na Kampuni ya Magari Slate Auto: Wataanza na EV Truck ya $25,000 tu!

    Mmiliki wa Amazon nae sasa kuja na Kampuni yake ya Magari. Kwa kuanza, anakuja na 2 seater Pick-up truck itayouzwa kwa $25k tu. Hii ni bei ndogo kuliko Tesla yoyote iliowahi kuuzwa. Taarifa zaidi za gari kama battery, motor na power hazijawekwa wazi ila sio muda zitakua wazi. Ikumbukwe kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Soko tajiri Duniani ni la Marekani likufuatiwa na la Jumuia ya Ulaya, huko Asia China hakuna kitu

    Hata mashirika makubwa ya ndege Duniani wanakuambia njia yenye pesa ni ya kwenda Marekani au kutoka Marekani, Mfano London to New york, New Delh to New york, Tokyo to New york na kadhalika. Hio ndio njia tajiri inayo yapa mashirika ya ndege pesa. Turudi kwenye bidhaa, producer yoyote Duniani...
  19. JamiiForums Tanzania Bakhresa tajiri asiyependa camera

    Bwenyenye wa Kitanzania, mtu mwenye ukwasi wa maana Bakhresa hapendi mapicha wala kuonekana ovyo japo ana media kubwa, ana ving' amzi vyake, viwanda na timu ya mpira, ila ni nadra sana kumwona huyo tajiri Bakhresa Bakhresa sijawahi kumwona lakini nimeona matendo yake mema, mfano Kuna kipindi...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Manchester United Club Tajiri Duniani Atua Ikulu na Kumuahidi Rais Samia kuitangaza Tanzania Dunia Nzima kukuza Utalii

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu. Na kwa kuwa ni chaguo la Mungu ,Taifa linaendelea kupata Neema na baraka kila uchao . Siyo jambo dogo wala la kawaida kwa club kubwa na tajiri Duniani na yenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…