tajiri

  1. J

    Kisa Cha kweli cha Rafiki yangu Tajiri ambaye kwa sasa anaokota Makopo

    Tafadhali naomba usikilize radio yetu hapa kisha add kama favorite Jesus News Radio Leo nataka nikupe kisa cha kweli cha rafiki yangu wa O-level. Mwamba huyu aliyetoka familia ya kawaida kabisa, lakini alikuwa na kiu ya mafanikio isiyo na mfano. Tukiwa shule hakuwa mwanafunzi wa kushika namba...
  2. Nasikia Tajiri Kakasirika na kaachia Mzigo wa maana wa Usajili hivyo kuanzia Wiki hii ni Vyuma tu Vinashuka Lawama Kugombana Sports Club

    Wadanganyeni wengine ila siyo Mimi oky?
  3. Tajiri Temba Watch amchapa risasi kijana huko Kilimanjaro

    ISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la Temba Watch lililopo Double Road mjini moshi. mfanyabiashara huyo kwa sasa yupo mikononi mwa polisi...
  4. Mainfluensa njaa na uchwara wa Simba SC Wiki nzima walitiuaminisha kuwa Tajiri keshamalizana na Kiungo Conte, mbona sasa keshasinya Yanga SC?

    Halafu kutwa nikiwa nasema hapa kuwa Mo Dewji si Mtu sahihi Simba SC na Simba SC ya sasa imejaa Fools hamniamini.
  5. Nikiwa mkuu wa mkoa wa Tabora nitahakikisha mkoa unakuwa tajiri kwa kuzalisha pombe ya asali(Mead)

    Wakuu mi sitaki vyeo vikubwa kama ndugu Dennis Robert Shughuru , ukuu wa mkoa tu unanitosha. Pombe/wine ya asali ni pombe moja ghali sababu ya ughali wa asali. Tanzania ni ya pili Afrika baada ya Ethiopia kwa uzalishaji wa asali. Mkoa wa Tabora ni mkoa unaoongoza kwa kuzalisha zao hilo nchini...
  6. Maisha magumu, Dunia haina huruma, duniani unaishi kwa mateso na bado ukifa unaenda kuteseka, bora kuwa tajiri wa ushirikina

    Sisi binadamu tunaishi maisha yenye dhambi sana duniani, bado ni maskini lakini tunazidi kufanya maovu unafikiri siku ukifa je utaenda peponi hilo ni jambo gumu sana, ni bora uishi maisha ya raha yenye utajiri, yenye dhambi na hata kwa kutoa kafara ila tu umeifaidi dunia, kuliko kuishi maisha...
  7. Tajiri Sina BAYA nimefilisika kwa sasa ni kijana Masikini kama zamani

    Ilikuwa ni taarifa tu nisiwachoshe wapambanaji, endeleeni na Threads za msingi zenye mustakabali wa kulijenga taifa letu. Niwatakie jioni njema. dosho12 Harmful Mama Ndege Intelligent businessman
  8. Jinsi ya kuwa tajiri kwa njia ya nuru kupitia malaika wako

    Njia ya kuwa tajiri kwa kutumia Nuru (mwanga wa kiroho) na msaada wa malaika wa mwanga (divine angels) inahusisha kujenga muunganiko wa kina wa kiroho, nidhamu ya kiroho, na mazoea ya kiimani ambayo huamsha nguvu za mbinguni ndani yako na kuvuta baraka za kiroho na kifedha. Hapa chini ni...
  9. Kumbe tajiri kataitishwa na hamsemi?

    GENTAMYCINE alijitamba sana kuwa wao ni watu wa kimya kimya na ndio imetoka hiyo. Haya boss kubwa kataitishwa katema bungo na ratiba ni kama ilivyopangwa :p :p:p Pole sana GENTAMYCINE pia pole kwa boss najua baada ya hekaheka hizi atazira.
  10. Mfanyabiashara Tajiri wa India Afariki Ghafla Uwanjani Baada ya Kumeza Nyuki

    Tajiri mwenye asili ya India, mwenye umri wa miaka 53 na mpenzi maarufu wa mchezo wa polo, ambaye pia alikuwa karibu sana na Prince William, amefariki dunia kwa kusikitisha wakati wa mechi ya polo huko Windsor mnamo Juni 12. Mashuhuda wanasema alilalamika ghafla akisema, “Nimekimeza kitu,” na...
  11. Huyu tajiri wa mabasi ya Jonhavia investment ni nani hapo Musoma?

    Siku za hivi karibuni hii kampuni ya Jonhavia investment yenye makao makuu yake Musoma mkoani mara imekua ikitoa ushindani kwa wakongwe wa kanda ya ziwa,jamaa nadhani kila mwezi anaingiza vyuma vipya barabarani. Ningependa kumjua huyu mmiliki ni nani hapo Musoma?
  12. Rafiki yangu Muha tajiri wa Tanroad

    Ananisimulia Bukembe Mtobo, rafiki wa Muha. Baada ya mambo kuniendea kombo mjini Arusha au Chuga kama waitavyo wengine. niliamua kukimbilia jijini Dar ili kuunusuru mtaji mdogo uliosalia. Mwaka mmoja baadae nikiwa jiji Dar mambo bado hayakwenda kama nilivyotarajia. Nilifilisika kabisa. Ndipo...
  13. M

    David Kafulila: Tanzania ndio nchi pekee kusini mwajangwa la Sahara ambayo tajiri na masikini wanalingana kwa tofauti nyembamba ya kipato

    === Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika mahojiano na kituo cha runinga cha ITV kwenye kipindi maarufu zaidi cha DK 45 kinachoongwa na mwanadada machachari Ms Farhia Medley, Pamoja na mambo mengine Mkurugenzi Kafulila akirejelea ripoti ya...
  14. Unaweza kuwa tajiri kwa kuwekeza kwenye Betting

    Najua wengi humu mtabisha maana mnajifanya mnagwajimanize kila kitu. Nilichokisema nakijua kiundani na ninamaanisha kuwekeza rasilimali ulizonazo kwenye betting. Utavuna mabilioni ya pesa ndani ya muda mfupi hadi watu wakuonee wivu na kukuita majina ya ajabu. Chakufanya funguackampuni ya...
  15. Tajiri Mo Dewji yule 'Scout' wako wa Mchongo mpaka sasa ameshakuletea majina ya Wachezaji wangapi wa maana kwa Simba SC yetu ya 2025/2026?

    Kwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2 ila kwa Hasira wote nawapeleka Yanga na Azam ili nipate 10% yangu.
  16. We member Marry Diana kama unataka msaada wa kipesa,kimawqzo,mtaji au mume mtafute tajiri wa kusini jamaa ni very gentleman

    Nimesikitika baada ya kusoma thread ya member humu anayeitwa Marry Diana jinsi anavyoilalamikia jamii forum na member wake kwamba watu wengi humu ni wabaya kusema ukweli nimeumia sana hivi unakuaje mwwnamke mzuri na brain woman wanamkosea hivyo? Ila ninachomuambia huyu member Marry Diana ya...
  17. Tusichanganye kati ya Right Hand Man wa tajiri na Chawa wa tajiri. Hawa ni watu wawili tofauti!

    Right Hand Man ni mtu wa kuaminika, msaidizi wa karibu ambaye hukusaidia kutimiza malengo na shughuli zako. Anawajibika kwa spidi ya mategemeo yako. Ni mtu ambaye anaweza kumudu kazi za maana, na anakushauri kwa uaminifu bila kujali maslahi yake binafsi. Chawa, kwa upande mwingine, ni mtu...
  18. Taifa Kubwa Tajiri kama Urusi je Vikwazo vinaliathiri? Huyu hapa Mchambuzi wetu

    Vikwazo vinaathiri Urusi kwa njia mbalimbali, hasa katika nyanja za kiuchumi, kiteknolojia, kifedha, na kisiasa. Hapa ni baadhi ya athari kuu: 1. Athari za Kiuchumi Kuporomoka kwa thamani ya ruble: Vikwazo vya kimataifa, hasa baada ya uvamizi wa Ukraine mwaka 2022, vilisababisha ruble kushuka...
  19. Eti club masikini inatakuinyang'anya mchezaji club tajiri

    Hapo vip! Club ya yanga na umasikini wake anataka kumnyang'anya Simba mchezaji.
  20. K

    Nampenda sana humu member anayeitwa tajiri wa kusini ana pesa na roho mzuri wakuu

    Wakuu kusema ukweli nimetokea sana kumpenda Tajiri wa kusini jamoni wewe huyu mkaka nampenda sana jamani ana hela sana yaani kumsalimia tu na kumpa hi tu najikuta natumiwa pesa taslimu 2.5M wakati sijamuomba jamoni huyu ndiyo husband material kabisa Huyu jamaa sijui anafanya mishe gani sijui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…