taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara ya taifa kimya kimya!

    Naona leo waziri wetu wa afya ambaye hatumuelewi siku hizi, bi Ummy Mwalimu amepokea ripoti ya ukaguzi wa maabara kimya kimya. Chanzo changu cha kuaminika kinadokeza kuwa waziri wetu amepewa ripoti hiyo leo mchana mjini Dodoma. Itabidi tufuatilie hali ya mbuzi wetu hukooo6
  2. JamiiForums Tanzania Mnachotaka hasa nini juu ya taifa letu?

    Kabla ya JPM kuingia madarakani mlikuwa kila siku mnapiga kelele kuwa nchi imeoza, ufisadi umetapakaa kila kona na Ccm inaenda kufa. Ilikuwa kila kikao cha bunge lazima usikie kuna ufisadi wa kuutisha mara Epa ,Escrow n.k. Rais aliyekuwepo najua kwa asilimia kubwa alikuwa hataki haya mambo ndio...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Taifa hili linatisha sana katika nyanja ya usalama

    Hili taifa ni moja ya mataifa duniani yenye complex securty system. Kiasi huwezi mjuwa kiurahisi nani ni nani. Ni taifa pekee ninavyo amini hata Wazungu walipatwa na shock vile tunafanya kazi. Ndio maana kuna mahali ktk mtandao au kitabu jamaa waliambiana wasituamini sana. Kenya ni heaven ya...
  4. JamiiForums Tanzania Let let (retreat) ya Rais Magufuli inaweza kuwa na afya kwa Taifa

    Wakatoliki hususan vijana ambao wako msingi na sekindari huwa wanahudhuria mafundisho ya dini kabla ya kupata komunio ya kwanza au kipaimara. Kwa bahati mbaya sana huwa wanayaita let let ila kimsingi hushindwa kutamka retreat. Ni kipindi kifupi kabla hawajapata hizo ekaristi.kimsingi ni...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya Tano mambo ya kujifunza na kurekebishwa kwa usalama wa Taifa

    Serikali ni ya wananchi na sio yamtawala hivyo madaraka yapo kwa wananchi hivyo lazima uwasikilize sana wapiga kura.. Pili ndani ya katiba kuna ufa mkubwa hivyo ili kuleta umoja wa kitaifa na taifa lenye kuendeshwa ktk misingi ya sheria na kuheshim miimili mitatu lazima katiba tuifanyie kazi...
  6. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimewasikiliza Rais Magufuli na Spika Job Ndugai. Nimesikitika, tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote

    “[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema...
  7. JamiiForums Tanzania Taifa lipo kwenye hofu kubwa, mnapopotosha umma ni kama mnachochea moto

    Hakuna kitu kibaya kama hofu na tena hofu ya kufa. Kila Mtanzania sasa hivi ana hofu kubwa sababu hali ya huu ugonjwa unaoingamiza kwa hapa Tanzania hijulikani ipo katika level gani. Nasema hivyo sababu bado sijasikia toka kwa mamlaka husika kuwa maambukizi yanaaendelea kushika kasi? Yamepungua...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Serikali inaangalia tija, wachukue watu kama Maxence Melo waingize Serikalini tulijenge Taifa

    Mh Rais siku zote serikali inaangalia tija kwamba an individual anaifanyia Nini nchi kwa manufaa ya taifa. Cha muhimu kwenye serikali ni deliverence na uadilifu. Naishauri serikali Iwachukue vijana wenye mafanikio Katika sekta binafsi iwaingize Serikalini ili watumie vipaji vyao na uwezo wao...
  9. JamiiForums Tanzania Taifa lipo kwenye hofu kubwa, wataalamu wa saikolojia wawasaidie wananchi

    Hili lipo wazi kabisa sasa hivi taifa letu wananchi wake wana hofu kubwa kwenye mioyo yao. Hofu juu ya ugonjwa wa Covid -19. Hasa baada ya kuwa na vifo vingi sana ndani ya siku nne zilizopita. Na hii sio imetokea hapa Tanzania tu hata nchi zilizoendelea kama Uk na Usa watu wana hofu. Kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Je, kama Taifa, ikigundulika kwamba ama tunaficha au tunatoa takwimu zisizo sahihi kuhusu janga la COVID-19, tunaweza kuwajibishwa kimataifa?

    Ziko taarifa kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tuhuma kuwa China kwa makusudi ama ilizembea au ilizuia utoaji wa taarifa sahihi kuhusu chanzo na kuenea kwa coronavirus pamoja na idadi ya vifo vilivyotokana na janga hilo. Ikiwa tuhuma hii itathibitishwa, kuna uwezekano wa China kuchukuliwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mshituko: Taifa lapoteza Vigogo na Watu Maarufu ndani ya Wiki moja

    Je kuna haja ya kuongeza neno ?
  12. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kulegeza masharti ya Lockdown kuanzia Mei Mosi ili kufufua uchumi wa taifa hilo

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametoa hotuba kwa njia ya televisheni akisema kuanzia tarehe 1 Mei, Afrika Kusini itapunguza hatua za zuio dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona kuwa ngazi ya nne, na kuruhusu baadhi ya biashara kufunguliwa tena. Rais Ramaphosa amesema kuna ushahidi wa...
  13. JamiiForums Tanzania China: Tutafufua Uchumi wetu kwa haraka kuliko Taifa lolote Duniani

    Je, kwanini kampuni za Marekani zinaongeza uwekezaji nchini China wakati wa janga la COVID-19 Ujenzi wa mradi wa Kampuni ya ExxonMobil ya Marekani nchini China wenye thamani ya dola bilioni 10 za Kimarekani ulizinduliwa rasmi jana. Kabla ya hapo, Kampuni ya Walmart ya Marekani ilitangaza...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mitihani ya Taifa kufanyika kama ilivyopangwa hapo awali

    Rais Uhuru Kenyatta amesema watahiniwa wote wa mitihani ya kitaifa kwa darasa la nane la kidato cha nne, KCPE na KCSE, watarudi shuleni hivi karibuni. Rais alisema kwa sasa shughuli za mitihani hiyo ya kitaifa zitaendelea kama zilivyokuwa zimepangwa kabla ya janga la coronavirus kutokea. Rais...
  15. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

    Wanabodi, Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN) wapitisha azimio la kila taifa kupata chanjo ya Corona kwa usawa pale itakapopatikana

    Mataifa 193 wanachama wa Umoja wa Mataifa yamepitisha azimio linalohimiza kuwepo usawa kwa kila nchi duniani kupata chanjo ya virusi vya corona itakayopatikana katika juhudi zinazoendelea. Azimio hilo ambalo lilitayarishwa na Mexico na kuungwa mkono na Marekani linatoa wito pindi chanjo...
  17. JamiiForums Tanzania Kama Taifa, huu ndio wakati wa kuweka siasa kando. Ni wakati wa kuchukua maamuzi sahihi

    Wantanzania kama taifa tupo katika kipindi kigumu sana.Maambukizi ya huu ugonjwa yameongezeka kwa kasi (Covid -19). Kama taifa inatupasa tuweke siasa kando. Tushikamane ili kupambana na hili janga. Kama jamaa zetu kule China wana namna ya kupambana na huu ugonjwa basi tuwanonog'eze watuambie ni...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ifanye yafuatayo kwa haraka kulinusuru taifa

    Wakati juhudi za kupambana na janga hili zikiendelea,kuna mambo ya msingi na muhimu kama nchi nahisi hayajaenda sawa. Kwa haraka haraka na bila kuchelewa nashauri serikali kufanya mambo yafuatayo: 1. Upo uhaba wa vitendea kazi kwa watumishi zikiwemo Mask aina N95 ambazo kwa mujibu wa Naibu...
  19. JamiiForums Tanzania Babu wa Loliondo Ambilikile Mwaisapile Taifa lote linakusikiliza , Toa neno mzee wetu

    Wewe Mzee ni miongoni mwa Tunu ya Taifa , una maono makali sana , sisi wajukuu zako tunakutegemea utoe mwongozo wa Sintofahamu iliyopo . Tunatanguliza Shukrani
  20. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Tanzania iwe na wabunge 185 tu. Wabunge 199 wapunguzwe wote wanalitia hasa Taifa hawana masaada kabisa

    Ndiyo ! Hayo ni maoni yangu ya dhati kabisa ili kupunguza matumizi ya fedha za umma Tanzania ina halmashauri 185 tu ambazo zingetosha kabisa kuwakilishwa na mbunge mmoja mmoja kila halmashauri wakisaidiwa na madiwani Kuwa na wabunge 384 kwa nchi kama tanzania ambayo ina changamoto nyingi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…