taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mama zetu wana thamani kubwa kwenye maisha yetu

  2. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge na mavazi yao sio jambo katika Taifa la leo

    Siku ya jana Spika Ndugai alimtoa nje Mbunge mmoja kwa kosa la kuvaa mavazi anayosema kuwa yapo kinyume na maadili ya Bunge , cha ajabu watanzania wengi wakashikilia hili jambo kama vile lina maslahi yoyote kwa taifa , ikifika mbele mpaka NGO moja ikaandika taarifa ya kulaumu kama vile...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Tanzania, lisaidieni Taifa kuhusu Yusuf Manji. Ni raia wa Tanzania au Marekani?

    Naandika hoja hii hapa kufuatia mijadala inayoendelea mitandaoni kuhusu tafsiri ya uraia wa Bw. Manji. Naamini amekuja nchini kuendeleza miradi yake lakini pia ameletwa na mfumo kwa ajili yakurejesha imani ya wageni waweze kurejea nchini baada ya miaka kadhaa diplomasia yetu kimataifa kuwa na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde: Serikali isiendeshe Timu zetu za Taifa kwa kuungaunga

    Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe Mavunde ameitaka Serikali kutenga fedha kwa ajili ya kuzisaidia Timu zetu za Taifa zinapokwenda kuwakilisha nchi. Ameyasema hayo wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Michezo hapo jana.
  5. JamiiForums Tanzania Hili sio Bunge bali ni 'genge la watafuna kodi za wananchi'

    Kama wananchi maskini na wasio uhakika wa maisha yao wanakamuliwa kodi zao kisha zinatumika kulipa wabunge wa namna hii basi ni maumivu makubwa kwao Kwamba bunge ambalo ni sehemu ya wanannchi ambao lilituma wawawakilishi wao alafu hao wawakilishi wanaenda Bungeni kama wamevaa nguo za disko na...
  6. JamiiForums Tanzania Festo Sanga: BASATA ni Baraza la Sanaa la Taifa, sasa hivi limegeuka ni Mahakama ya Sanaa ya Taifa

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga, amesema asilimia kubwa ya Wasanii wa Tanzania wamejipambania wenyewe bila msaada wowote wa Vyombo vinavyotakiwa kuwasadia lakini Baraza la Sanaa (BASATA) linafanya urasimu kwenye kazi zao Ameongeza kuwa, Sheria zilizopo BASATA ni za kikoloni ambazo zimejikita...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa manufaa ya Taifa, Serikali izihamishie pengine zile taasisi za kidini Kurasini kupisha Bandari

    Pale ilipo TEC na Pentecost pale kurasini zinatatiza sana kazi za bandari ya Dar es salaam. Kuna ubaya gani serikali ikafanya mazungumzo kama ikivyofanya na wakazi wengine kuzihamisha zile taasisi pale zilipo kwa manufaa ya bandari? Malori ya mzigo yanakosa maegesho kwakuwa hakuna nafasi ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Polisi barabarani dhidi ya walipa kodi ni hujuma isiyo na afya kwa Taifa

    Mabibi na mabwana niko safarini kuelekea pande za Burigi katika kutia shime juhudi za kizalendo zenye mashiko zilizoasisiwa na hayati mzee baba katika kulisukuma gurudumu la utalii wa ndani, mbele. Niliyoyashudia njiani hasa kuwahusu wale waliozowea kubrashi viatu kwa kutumia pesa za wengine...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa viti maalumu ni mzigo wa TAIFA

    Jamani niambieni ni nchi gani hapa duniani ina wabunge wa kuteuliwa na viti hapa duniani . Mimi nawaita mzigo wa walipa kodi tunataka katiba mpya ili tuwaengue kwenye nafasi zao
  10. J

    JamiiForums Tanzania CCM ingeruhusu demokrasia kwenye nafasi ya Mwenyekiti taifa ili marais wastaafu waweze kugombea pia!

    Ni swala la demokrasia tu. Marais wanastaafu wakiwa bado na nguvu mfano Dr Shein na JK. Hata mh Karume,mh Sumaye na mh Pinda hata yule Vuai Nahodha wa Zanzibar bado wako fiti. CCM ingebadili utamaduni wake ili kutoa fursa kwa wastaafu kuendelea kasaidia kukiongoza chama, hii inawezekana...
  11. JamiiForums Tanzania Ndugai aulizwe kwanini Bungeni wamepelekana Wabunge wa CCM pekee na kama hawaoni hatari yake kwa mshikamano wa Taifa

    Watanzania wapaswa kuwaogopa sana wanasiasa, tena ikiwezekana kuwasusia mikutano yao ya hadhara na kuwaweka kundi moja na walowezi wa kizungu kule Afrika Kusini. jana spika Ndugai alisema kuwa Serikali iajiri kwa usawa wa kijiografia! Aibu kubwa kwa spika huyu asiyejua maana ya ajira. Nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Aymeric Laporte aitwa timu ya taifa ya Hispania

    Beki wa Manchester city Aymeric Laporte mzaliwa wa Ufaransa ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Uhispania kitakachoshiriki mashindano ya Euro 2022. Mwaka 2019 beki huyo aliitwa kwenye kikosi cha Ufaransa kwa mara ya kwanza lakini aliondolewa kutokana na majeruhi. Pia nahodha wa timu...
  13. JamiiForums Tanzania Kutoka kwenye maktaba ya Taifa

  14. P

    JamiiForums Tanzania Nguvu yetu ipo katika umoja wetu, tukumbushane hili tunapoikaribia miaka 60 ya uhai wa taifa letu

    Tarehe 9 mwezi wa kumi na mbili mwaka huu inatimia miaka 60 ya uhuru wetu. Itakuwa ni siku maalum yenye kila sababu ya kupambwa na nyimbo za furaha na zenye kukumbusha maana pana ya uhuru wetu. Ni lazima tukumbushane kuwa umri huu tunaoufikia mwaka huu haujaweza tu kwa bahati kuweza kufikiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wajumbe waliogombea NEC Taifa mwaka 2017 wateuliwe kuwa Wakuu wa Wilaya

    WAJUMBE Walioteuliwa kugombea CCM NEC TAIFA MWAKA 2017 ,ukipitia CV zao , ni wanaccm halisi na wenye uwezo wa kuiongoza CCM na kukipisha mwaka 2025. WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea ila kura zao hazikutosha,ni muda sasa wateuliwe kwenye nafasi za wakuu wa wilaya, Wakurugenzi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mbashara: Mapokezi ya Sekretarieti mpya ya CCM Taifa mkoani Dar Es Salaam

    Katibu Mkuu wa CCM na sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi siku ya leo 22/05/2021 wanapokelewa katika jiji la Dar Es Salaam. Kazi Inaendelea, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Dar Es Salaam. MAPOKEZI YA SEKRETARIETI MPYA YA...
  17. JamiiForums Tanzania Nani atawasemea watanzania juu ya kadhia mbaya inayokuja kulikumba taifa letu?

    Alikuwepo Dk.Slaa huyu alikuwa na source of info za uhakika na zilikuwa zikimpa pasi mpenyezo lazima aibue madudu ya kifisadi ya uhakika. Ndio maana alikuwa anaishi maisha ya mashaka muda wote kabla hajalala lazima akague kama kuna tape recoder ili kubaini wanaomtrace. Zitto naye kabla...
  18. JamiiForums Tanzania Swali kwa Ayubu Rioba: Siku hizi sera ya Taifa inaruhusu taasisi za kidini kunufaika na fedha za walipa kodi kupitia TBC?

    Dk. Ayub Chacha Rioba, Mkrugenzi Mtendaji wa TBC Kwa kuzingatia matakwa ya katiba ya Tanzania, swali hapo juu linatokana na bonde la ufa lililopo kati ya yale ninayoyaona, na yale ninayoyatarajia kuhusiana na uendeshaji wa TBC. Kwa hiyo, kwa kuzingatia mfumo wa hoja yenye muundo wa OPHETAR...
  19. JamiiForums Tanzania Kama Wazazi wa leo ni kama huyu je, tuendelee Kuwekeza katika Elimu za Watoto wetu ili waje kuwa na Maendeleo yao na Faida kwa Taifa?

    Leo nimedokezwa kuwa Wanafunzi wa Darasa la Nne wanafanya Mtihani wa Moko sijajua kama ni kwa Taifa zima au labda ni kwa baadhi ya Shule tu. Nikiwa katika zunguka zunguka yangu nimekutana na Mzazi Mmoja wa Kike akifanya Tukio moja ambalo kutokana na kwamba namjua vyema lakini limenishtua pia...
  20. JamiiForums Tanzania Mungu (Jehovah) hapendelei taifa la Israel

    Israel ni taifa teule Spiritual kwa wakristo nikimaanisha mambo mengi ya kiroho alipitisha kupitia wao, wana baraka nyingi na adhabu pia kwa hiyo sio kweli kwamba Mungu anawapendelea Leo naelezea adhabu walizozipitia Wakati ndugu zake yusuphu wanamuuza misri ilikua ni moja ya uovu walioufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…