Aymeric Laporte aitwa timu ya taifa ya Hispania

Numero Uno

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
337
1,000
Beki wa Manchester city Aymeric Laporte mzaliwa wa Ufaransa ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Uhispania kitakachoshiriki mashindano ya Euro 2022.

Mwaka 2019 beki huyo aliitwa kwenye kikosi cha Ufaransa kwa mara ya kwanza lakini aliondolewa kutokana na majeruhi.

Pia nahodha wa timu hiyo Sergio Ramos ameachwa kutokana na majeruhi.

20210524_143803.jpg
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
38,389
2,000
Beki wa Manchester city Aymeric Laporte mzaliwa wa Ufaransa ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Uhispania kitakachoshiriki mashindano ya Euro 2022.

Mwaka 2019 beki huyo aliitwa kwenye kikosi cha Ufaransa kwa mara ya kwanza lakini aliondolewa kutokana na majeruhi.

Pia nahodha wa timu hiyo Serhio Ramos ameachwa kutokana na majeruhi. View attachment 1796207
Ana uraia pacha?
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
38,389
2,000
Huyo Laporte kabadili uraia baada ya kuona France wanambania kucheza.
FIFA waliapprove maombi yake ya kuchezea Spain last month if I'm not mistaken
Kwahiyo inawezekana kutuma maombi kuchezea Taifa unalotaka na kukubaliwa na FIFA bila kuwa na uraia wa Taifa husika?
 
DreezyD98

JF-Expert Member
Nov 6, 2020
746
1,000
Kwahiyo inawezekana kutuma maombi kuchezea Taifa unalotaka na kukubaliwa na FIFA bila kuwa na uraia wa Taifa husika?
Na uraia unabadili mkuu.
Kama haujawahi kuichezea timu ya wakubwa ya nchi uliyozaliwa inawezekana. Wajuzi watanirekebisha kama nimekosea.

Kwa case ya Laporte hakuwahi chezea senior team ya France. Now ni raia ya Spain by application
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
38,389
2,000
Na uraia unabadili mkuu.
Kama haujawahi kuichezea timu ya wakubwa ya nchi uliyozaliwa inawezekana. Wajuzi watanirekebisha kama nimekosea.

Kwa case ya Laporte hakuwahi chezea senior team ya France. Now ni raia ya Spain by application
Ahsante kwa muongozo mkuu
 
dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
4,768
2,000
France ni ovyo kabisa, yani Vilaza Kipembe na Varane ndio wanacheza huyu hata bench hapati
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom