Wengine inawezekana mmeanza kujua mpira baada ya uwanja wa Mkapa kujengwa. Ngoja leo niwape story moja.
Wakati tunatumia uwanja ambao leo unaitwa wa Uhuru, uwanja ulikuwa katika hali mbaya sana, ingawa kwa macho na mtazamo wetu uwanja ulikuwa fresh tu. Huko ndiyo jina la 'Shamba la Bibi'...