taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Faida gani Taifa lilipata kwa kuwakandamiza CHADEMA?

    Kuna watu wanaonesha kama vile maridhiano kati ya CHADEMA na CCM yaliyoasisiwa na Freeman Mbowe, na Samia Suluhu Hassan, ni upendeleo kwa CHADEMA na CHADEMA ni lazima washukuru kwa kuonewa huruma na Samia. Hivi Taifa la Tanzania lilipata faida gani pale CHADEMA ilipokuwa inakandamizwa isifanye...
  2. JamiiForums Tanzania Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

    Hizi tuhuma ni nzito sana. 👇
  3. JamiiForums Tanzania Sekta ya utalii inatoa mianya ya kufanya na kufanyiwa ujasusi. Tuzibe mianya hiyo sasa na tuitumie sekta hii kwa manufaa ya taifa

    Usalama wa taifa ni muhimu kwa maendeleo ya taifa lolote duniani, Hii inajumuisha usalama wa ndani ya nchi na nje ya nchi ambapo wote kwa Pamoja unajumuisha ujasusi wa kiuchumi, Kisiasa na kijamii. Nchi isipokuwa salama matokeo yake huonekana moja kwa moja kwa raia wake hivyo suala la usalama wa...
  4. JamiiForums Tanzania Ziara ya Eng. Fatma Rembo - Mjumbe wa UWT Taifa Mkoa wa Iringa

    ZIARA YA ENG. FATMA REMBO - MJUMBE WA UWT TAIFA MKOA WA IRINGA Mjumbe wa Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa 2022-2027 Kutokea Mkoa wa Iringa Ndugu Eng. Fatma Rembo amefanya ziara maeneo mbalimbali Mkoa wa Iringa na kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. Eng. Fatma...
  5. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli baba wa uchumi wa Taifa la Tanzania, kaburi lake linawatisha wabaya wake na wametishika

    KABURI LA MAGUFULI KULE CHATO BADO LINATISHA Agenda ya Upinzani kwa sasa ni Kulishambulia Kaburi la JPM na JPM mwenyewe. Toka wameruhusiwa kufanya mikutano ya Hadhara wameshindwa kuleta hoja zinazohusu wananchi badala yake wanapambana na Marehemu. JPM hakuwa wa kwanza kuongoza nchi kwa namna...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kutomteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu

    Sito andika sana katika uzi huu bali nitatoa swali tu. Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kuto mteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu? Yaani hapa lazima kieleweke. Kwa kuanzia Bwana Pascal Mayalla anafaa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya au mkurugenzi au mbunge wa kuteuliwa. Kati ya hizo...
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu Mgombea wa nafasi ya Uweka Hazina Taifa Chama cha Walimu Tanzania Protas Magesa

    Ndugu walimu na wanajamii kwa ujumla wa Taifa hili Tukufu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba nianze kuweka bayana taarifa ambazo huenda hamzifahamu kuhusu Mgombea wa nafasi tajwa hapo juu Mwalimu Protas Magesa. Huyu ni mwalimu mwakilishi kwenye Kamati ya Utendaji...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Aliyeshauri Serikali imlipe Kocha wa Taifa Stars ni Mhujumu Uchumi asie na nia njema na Maendeleo ya Michezo!

    Moja ya mambo yatakayotuchelewesha sana kama taifa, ni kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu. Unaanzaje kuingia gharama ya kumlipa kocha mamilioni ya pesa za kigeni huku ukijua fika kwamba aina ya wachezaji unaozalisha ni hafifu na uhafifu huo hauwezi kuondolewa na Kocha wa Timu ya Taifa...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali kumlipa Mshahara kocha wa Taifa Stars

    Waziri wa Utamaduni, Sana na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza mchezo wa Soka nchini itamlipa mshahara mwalimu wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Adel Amrouche ambaye ni raia...
  10. JamiiForums Tanzania Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

    Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri. Inashangaza Rais Samia kumfutia mharifu makosa Hii ni kinyume na katiba. 👇
  11. JamiiForums Tanzania Mbeligiji Adel Amrouche (58) ateuliwa kuwa kocha Mpya Taifa Stars

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linamtangaza Adel Amrouche (58) kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars. Kocha Amrouche raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Algeria ana uzoefu mkubwa na soka la Afrika baada ya kufundisha klabu na timu za taifa katika ukanda Kusini, Mashariki, Kati na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Taifa la Marekani kwakaribia. Ni suala la muda tu; Mungu hawezi kuacha upuuzi wa nchi hiyo kuendelea

    Enzi na enzi, Mungu huchukizwa mno na ushoga! Na timbwili la kuanguka kwa Taifa hili kubwa Duniani_ inaanzia hapa. Mungu kuonyesha kwamba huchukizwa na upumbavu huo na havumilii kabisa kufuru hizo, aliwawasha moto Sodoma na Gomola. Kitendo cha Marekani kuacha misingi yake na kujikabidhi kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hawa watu walipaswa kuwa usalama wa Taifa kwenye idara kadhaa

    Usalama wa Taifa ni 'sector' kama zilivyo sector zingine. Kikubwa ni vitu vitatu vinne vikubwa hivi: 1. Intelligence 2. Usiri 3. Uaminifu 4. Uwezo to make it happen Mengine ni added advantage. 1. Tundu Lissu - eneo la sheria 2. Peter Kibatala - eneo la sheria 3. Chief-Mkwawa - eneo la Teck...
  14. JamiiForums Tanzania Angalizo: Deni la taifa likifika Trillion 200, nahamia Burundi rasmi

    Kwakweli sitakuwa tayari kulipa deni kubwa kama hilo wakati halijanisaidia mimi wala taifa langu kwa namna yoyote ile. Natoa mifano michache; 1) Unapokopa chanjo za mafua za Trillion 2, halafu wanachoma watu 100 tu, faida yake hasa kwangu binafsi na kwa taifa ni lipi kiasi tukamuliwe tozo za...
  15. JamiiForums Tanzania Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

    Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo. Hivi mama...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli kilileta udumavu mkubwa wa kifikra ambao ni hatari kwa Taifa. Watanzania tubadilike

    Habari JF, Inasikitisha sana kwa sana kuona Watanzania tumegawanyika na huu mgawanyiko umekaa kishabiki kiasi kwamba hata wale waliokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri huo uwezo haupo tena. Kwa sasa ni dhahiri tumegawanyika makundi matatu kama ifuatavyo: 1. Wafuasi wa Awamu ya Tano (JPM), hawa...
  17. JamiiForums Tanzania Elimu ya darasani haina faida zaidi ya kutengeneza vijana tegemezi

    Kuna watu tunawafahamu kabisa hawana hii elimu ila wako vizuri na unaweza shangaa wao ndio waliotusomesha mpaka leo tuko na degree na ma PhD ila wao hata hawakunusa karatasi. Elimu ya darasani hii imerudisha maenndeleo ya wananchi nyuma kabisa. Mtu anauza shamba eti mwanae asome mwisho wa siku...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwa sasa hawajali Rais anamteua nani mwenye nini kama atasimamia Haki, amani na Maendeleo ya Taifa

    Kwanza nimpongeze Mh Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyezi Mungu azidi kumpa nguvu na hekima ktk utendaji wake. Kwamba ameteua Mpagani, Mwislam, mkristo au Myahudi hiyo sio issue wala kesi. Cha muhimu ni kuwa huyo anayeteuliwa anaamini katika misingi ya Utu, Haki, umoja na utamaduni wa kukataa...
  19. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Masanja atatua mgogoro wa mpaka kati ya kijiji cha Buger na hifadhi ya taifa ziwa Manyara

    NAIBU WAZIRI MASANJA ATATUA MGOGORO WA MPAKA KATI YA KIJIJI CHA BUGER NA HIFADHI YA TAIFA ZIWA MANYARA Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ametatua mgogoro wa mpaka kati ya Hifadhi ya Ziwa Manyara Mkoani Arusha na wananchi wa kijiji cha Buger katika Jimbo la Karatu...
  20. JamiiForums Tanzania NADHARIA Huduma ya Pacemaker haipo Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Baadhi ya wanachama wa JamiiForums wamedokeza kudai kwamba huduma ya Pacemaker haipo Muhimbili. Aidha, madai hayo yanabainisha kwamba wagonjwa wamekuwa wakiahidiwa kuletwa kwa huduma hiyo lakini mpaka sasa haijawekwa na kuna taarifa kuwa baadhi wamepoteza maisha kutokana na kukosa huduma hiyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…