taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jengo la Usalama wa Taifa (FSB) latiwa kiberiti Urusi

    Ni dhihirisho tosha kuna yajayo ambayo yatapendeza siku za usoni, hauwezi kuiba ardhi ya nchi jirani na kuua wananchi wake halafu usikutwe na vituko nchini mwako... ====================== At least one person has been killed and two injured in a fire at a building used by Russia's Federal...
  2. JamiiForums Tanzania Juliana Masaburi: Miaka Miwili ya Rais Samia Suluhu Hassan Imekuwa ya Baraka kwa Taifa

    Mbunge wa Viti Maalum CCM Vijana Taifa anayetokea Mkoa wa Mara Mhe. Juliana Masaburi amepongeza Rais Samia kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani hasa akijikita kwa kuelezea miradi mbalimbali ya kimaendeleo iliyotekelezwa na inayoendelea kutekelezwa na Serikali kwa kipindi cha Miaka Miwili ya Rais...
  3. JamiiForums Tanzania Kocha Taifa Stars ajuta kuwaacha Kapombe, Shabalala

    KOCHA TIMU YA TAIFA, ANAWAULIZA NINI? 1. Kocha timu ya taifa, anawauliza nini? Si wa timu ya taifa, anawaambia nini? Vipi hamko Taifa, au kwamba kuna nini? Mpira wa Tanzania, tunaujua wenyewe. 2. Hao wachezaji bora, wengine hawafanani, Kwenye namba zao bora, wakiwapo uwanjani, Kuwa Taifa...
  4. JamiiForums Tanzania Leo taifa linaenda kupata aibu

    Baaada ya jana Mnyama mfalme wa nyika mwenye pori lake kuwatafuna na kuwavulumisha timu nguri ya Horoya kwa magori saba kwa nunge, na kuipa nchi sifa kedekede hatimae leo Taifa litapokea aibu toka kwa vyura wa Jangwani yaani Utopolo max Sasa kwa siku ya leo ndugu watanzania na wapenzi wa mchezo...
  5. JamiiForums Tanzania TFF hawajamuita Feitoto ili acheze timu ya Taifa Bali kumrudisha tu dar Akutanishwe na Yanga

    Yani baada ya Yanga kushindwa kabisa kukutana na Feitoto Licha ya TFF kuwaita kwenye kesi pamoja ili iwakutanishe. Sasa mbinu ya mwisho waliyoitumia ni kumwita Feitoto timu ya Taifa. Huko pia wanampango kumwita Kocha wa Yanga Nabi akae kwenye benchi la ufundi ili wapate wasaa wa kumshawishi...
  6. JamiiForums Tanzania Muda wowote tegemeeni Taarifa ya Kapombe na Hussein kurejeshwa Taifa Stars

    Kinachochelewesha tu Taarifa yao kutolewa ni jinsi gani Waliowaacha watahimili aibu na chuki zao Binafsi dhidi ya hawa Mabeki Wawili wa pembeni Shomary Kapombe na Mohammed Hussein Tshabalala. No Upumbavu na Uwendawazimu uliovuka mipaka kwa Wachezaji Wakubwa, Wanaocheza Michuano mikubwa ya...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Zaidi ya wanawake 1500 wapo Dar es salaam kumpongeza Rais Samia Machi 19, 2023. Hawana nauli za kurudi nyumbani na hawajui wale/walale wapi

    Njoo kwenye hoja. Leo kumetokea kituko Dar. Kuna wanawake zaidi ya 1,500 wamewasili Dar kutokea mikoa yote ya Tanzania. Nia ya wao kuja Dar ni Ili waweze kukutana Kesho asubuhi hadi saa nane Mchana Ili kumpongeza mama Samia. Kwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa wamama hao wamelipa nauli kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya 7, Kocha wa Taifa Stars awaomba msamaha Zimbe na Kapombe

  9. JamiiForums Tanzania Kama Taifa hatupaswi kujutia kumpata mtu aina ya Hayati Magufuli

    Naendelea kuja hapa kivingine Kabla ya kuendelea na declare kwamba Mi ni Mwana CCM nilofanya kazi ngazi zote za chama na kila awamu isipokuwa ya Mwalimu Nyerere, Kila binadamu Ana mapungufu yake na ndo maana Mazuri ya JPM yapo na Mabaya yapo Pia , Niendelee kutumia frusa hii kuwa kumbusha...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu, Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  11. JamiiForums Tanzania Kocha Cedric Kaze aitwa kuongeza nguvu Taifa Stars, Yanga yampa baraka

    Kocha wa timu ya taifa Taifa Stars, Adel Mrouche amepewa nafasi ya kuchagua wataalamu 4 atakaoambatana nao kwenye timu ya taifa kama sehemu ya benchi lake la ufundi, Kocha huyo amependekeza jina la kocha msaidizi wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze kuwa chaguo lake la kwanza. Ikumbukwe Cedric Kaze...
  12. JamiiForums Tanzania Siasa za Kulambisha Asali zinaangamiza Taifa bila kujua

    Amini naawaambieni mambo ni Magumu mno huku kitaa lakini tuliozoea kutusemea wameshalamba asali na hawajui wafanye nini. Wametugeuka sasa wanaona kazi zetu za bodaboda na uvuvi ni za hovyo. Bei za vitu zimepanda sana na Serikali imelala. Wapambe wanahakikisha Rais hajui mambo ya nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Wilson Mahera akabidhi ofisi kwa Mkurugenzi mpya wa NEC, Ramadhan Kailima

    Mkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akimkabidhi vitendea Kazi Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima.
  14. JamiiForums Tanzania Maktaba ya taifa Dodoma rekebisheni kasoro hizi

    Nilifika Maktaba ya Dodoma siku saba zilizopita, ni maktaba nzuri sana kwa kuangalia jengo. Kuna kasoro ambazo lazima zirekebishwe haraka. 1. KELELE NJE YA MAKTABA Viongozi wa maktaba lazima wazingatie ukweli kuwa maktaba ni eneo lenye kuhitaji utulivu sana kama ilivyo mahakamani na...
  15. JamiiForums Tanzania USHAURI: Serikali unganisheni BRELA, TIC, EPZA, TANTRADE kwa maendeleo ya Taifa

    Salaam Dunia inapambana kutatua vikwazo vya biashara,uwekezaji na mitaji..Hapa kwetu kumekuwa na jitihada nyingi Za kukuza uchumi kupitia mikakati mbalimbali ya kuwezesha wafanya biashara na wenye viwanda sambamba na kuvutia uwekezaji. Tatizo Kwa maoni yangu ni wingi wa taasisi zinazofanya...
  16. JamiiForums Tanzania Nchi inabidi kuongozwa na mifumo thabiti na imara na si matamko ya wanasiasa. Wasomi tulisaidie Taifa

    Tumefika hapa tulipo kwa sababu hatuna mifumo ya kuongoza nchi. Inashangaza kuona anatokea mtu mmoja mjinga anavunja katiba ya nchi na bado anaendelea kuwa kiongozi. Hatuwezi kupiga hatua kama Taifa liashindwa kuwa na mfumo sahihi. Wasomi hakikisheni mnalikomboa Taifa kila kitu kinabi kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa kutowaita Kapombe na Tshabalala Taifa Stars na kuita Wengi wa Yanga SC naiombea Laana ifungwe

    Yaani Mabeki Kapombe na Tshabalala wanaopambana Klabu Bingwa Wanaachwa na Kuitwa Mabeki wanaocheza Shirikisho? Halafu unaita Wachezaji wa Yanga SC Sita huku wa Timu inayoshiriki Klabu Bingwa Afrika Simba SC ukiita Wachezaji Watatu tu na unadhani hakutokuwa na Shida? Tafadhali GENTAMYCINE...
  18. JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars ametumia vigezo gani kumuacha Kampombe, Zimbwe, Mzize na Sure Boy na kuita kikosini wakalia benchi?

    Salaam, Binafsi nimeshangazwa sana na uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, ambapo nimeona wachezaji ambao wapo kikosi cha kwanza kwenye timu zao (regular players) wameachwa haswa niliotaja hapo juu. Sio hivyo tu wachezaji hao timu zao zipo kwenye mashindano ya kimataifa wakiwalisha timu zao lakini...
  19. JamiiForums Tanzania Fei Toto aitwa Taifa Stars katika kikosi cha wachezaji 31

    Picha: Fesal Salum 'Fei Toto' Kocha wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Adel Amrouche amemuita kikosini kiungo Feisal Salum katika michezo miwili ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda. Picha: Majina ya kikosi kilichoitwa Katika kikosi hicho cha wachezaji 31 kocha Amrouche amewaacha mabeki wa...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 2025 chukua fomu ili uliokoe taifa letu na hili genge. Tunajua msimamo wako na uchapakazi wako

    Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani. Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya. Watanzania wanachangishwa tozo, ushuru na kodi za kila namna lakini hawaoni yanayofanyika. Tril 1.3 za foreign...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…