taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Usalama wa taifa aliyeikimbia nchi, aeleza maisha magumu ambayo Putin anaishi

    Putin anaishi maisha magumu, uwoga uwoga kila siku, kwa yeye kuhudhuria hafla yoyote hata kama ya dk 15 hulazimu mipango ifanywe kwa muda mrefu. Halafu ni nadra sana atoke, muda mwingi yuko ndani na mara nyingi misafara yake huwa inatoka bila yeye kuwemo, limsafara linakatiza mjini na mbwembwe...
  2. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Asasi inayohamasisha Ushoga na Usagai yafutwa

    Serikali wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro, imesitisha shughuli zinazofanywa na shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na vijana la Kilimanjaro Youth Network baada ya kubainika kufundisha na kufungisha vijana ndoa za mapenzi ya jinsia moja tofauti na usajili wa shirika hilo. Chanzo...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili-Lloganzila kuanza kupandikiza figo

    Baada ya uwekezaji na uwezeshaji mkubwa kutoka Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila inatarajiwa kuingia katika historia tarehe 13/04/2023 kwa kuwa miongoni mwa Hospitali zinazotoa huduma ya kupandikiza Figo hapa nchini Tanzania...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TANAPA yasema mvua zimeharibu Daraja la Marera katika Lango Kuu la Hifadhi ya Taifa Ziwa Manyara

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limesema uharibifu huo umetokea katika Daraja la Marera lililopo Kilometa 2.3 kutoka lango kuu la Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, TANAPA imeeleza kuwa jitihada zinaendelea kurekebisha daraja hilo na miundombinu mingine.
  5. Bryton25

    JamiiForums Tanzania Kuwepo kwa gape za uchumi Kati ya taifa moja na jingine au ndani ya jamii ni sababu moja ya muhimu ya maisha kuwezekana au Kuwepo na amani

    Uchumi unapolingana Kati ya mataifa mengi au Kati ya watu wengi Katika jamii huibua mashindano ambayo Mara nyingi matumizi ya nguvu huonekana na kusababisha machafuko na vifo
  6. Engager

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia hapa naona kabisa kama Taifa, bado tunasafari ndefu

    Nshachoka hata kuhesabu. Hivi tuko na miaka mingapi kweli ya uhuru... Any way, whatever the number is ila bado hatuko serious. Hatuna dira ya Taifa ya maendeleo, hata maandalizi tuu ya kuwa na hiyo dira hakuna, ila kunamchakato wa maandalizi. Unaweza kuona tuko nyuma kisi gani?! Seriously...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tuwafanyeje wanaofanya ubadhirifu wa fedha za umma katika taifa la Tanzania?

    Tufanye yafuatayo: Kuna njia mbalimbali ambazo zinaweza kutumiwa kukabiliana na wanaofanya ubadhilifu wa fedha za umma katika taifa la Tanzania. Nne kati ya njia hizo ni: Kuchukua hatua za kisheria: Serikali inaweza kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaobainika kufanya ubadhilifu wa fedha...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Taifa letu limekosa maafisa Usalama wa Taifa wenye uzalendo kama alivyokuwa Lyatonga Mrema na wenzake. Ufisadi kama huu sio wa kuvumiliwa

    Nimedokezwa kuwa aliyepata tenda ya kuiuzia serikali vishikwambi vya sensa na walimu amepiga kama bil 10 faida ya pesa chafu. Ripogi ya CAG imetupatia jibu sahihi kuwa kumbe pesa za umma zinapotea sababu tu rais hayupo serious kuzilinda. Zinakwapuliwa na wahuni kama njugu. Lakini taifa hili...
  9. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Bunge lisaidie taifa na minyororo ya mafisadi

    Salaam nyote Wana Jamii forums Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge unatarajiwa kuanza tarehe 4 April 2023, ni Bunge la bajeti mambo mengi yatajadiliwa zikiwemo ripoti 16 za kamati za Bunge, Aidha ripoti ya CAG itawasilishwa Bungeni na Kujadiliwa. Ombi langu kwenu wabunge tafadhari kwenye ripori...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Mfumo wa kumpata Makamu wa Rais unatufaa kama Taifa?

    Kila jambo linapotokea kwenye mwelekeo wa maisha ya mtu, kawaida huwa linaleta fundisho la mbele yake ya safari. Elimu ya maisha wakati mwingine huhusisha pia, misukosuko, kufiwa n .k hii yote ni katika kuyaelekea mazuri ya ndoto yetu. Kwa hapa Tanzania kulingana na yaliyotokea, bila ya...
  11. lufungulo k

    JamiiForums Tanzania Tuache Uchale, Chaplin, taifa ni letu sote

    Takribani week 3 hivi, toka Godbless Lema atoe maoni yake juu ya bodaboda! Wapo waliompongeza na wapo waliomkebehi. Suala hili liliwahi pia kuongelewa na Edward Ngoyay Lowassa (waziri mkuu mstaafu) lakini yy alieenda mbali zaidi ila ujumbe ni uleule. Tuache Uchale Chaplin, taifa ni letu sote...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania TISS mnatuangusha tunaowaamini kwa kutomsaidia Rais na Mali za Taifa letu

    TISS inawezekana vipi Mtu anakopa au anaiba Pesa za Watanzania na Kukimbia nchi halafu hamjui? TISS kuna Matukio mengi sana yanaendelea nchini ambayo mna Dhamana nayo Kiusalama ila huwa hakuna hatua mnazochukua Kukabiliana nazo. Hivi TISS mnajua kuwa mnaaminika n kuheshimika sana na Watanzania...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mpango kabambe; Taifa litambe

    MPANGO KABAMBE; TAIFA LITAMBE! Anaandika, Robert Heriel Mastermind Ilisemwa taifa ili liendelee linahitaji mambo makuu manne, i) Watu ii) Ardhi iii) Siasa Safi iv) Uongozi Bora. Hayo yalikuwa mawazo ya Mwl. Nyerere. Watu wapo, Ardhi Ipo, sina uhakika kwenye Siasa Safi na Uongozi Bora. Taifa...
  14. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya usindikaji kinyesi cha wanyama (Biogas)na ukatikaji wa umeme uwanja wa taifa!

    Wakuu Mi nadhani Zama za kutegemea chanzo Cha umeme cha aina moja kama maji pekee na gesi kidogo imepitwa na wakati. Kilichotokea jana uwanjani kinatupa picha kuwa nyakati zimefika za kutotegemea kiitwacho grid ya Taifa ya umeme wa aina moja, Taasisi lazima ziwe na umeme wa kujitegemea kama...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Feisal Taifa litakusahau Ukipotoshwa

    Jambo la kusikitisha ni kuwa wakati wenzake wanarudi katika timu zao yeye anarudi mtaani......." Kuna hesabu dogo alipigiwa, na ndo hizi mbanga zimemfikisha hapa
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Michezo Tanzania wachukia kutumika kuleta Hamasa Taifa Stars na baadae Kunyanyasika Viwanjani na TFF Ofisini

    "Wakitaka tuwasaidie kuleta Hamasa kwa Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) huwa wanatunyenyekea ila tukimaliza tu Kuwatangaza na Kuhamasisha Watanzania na Kujikita katika Majukumu yetu ya Habari wanaanza Kutudharau na hata Kutunyanyasa. Jana baada ya Taifa Stars Kufungwa na Uganda Waandishi wa...
  17. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Mayele azidi kukita mizizi katika kikosi cha Taifa la Kongo

    Katika mechi iliyochezwa usiku huu,mshambuliaji machachali wa Dar Young Africans Fiston Kalala Mayele alipata nafasi ya kuonyesha kiwango chake Kwa kupata dakika 32 uwanjani Na Kwa jinsi alivyocheza na mwitikio wa kocha wake,naona milango ya mshambuliaji huyu ikizidi kufunguka NB: Kuna Mayele...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa stars alishinikizwa kupanga kikosi?

    Huyu kocha mpya wa Taifa stars alimuona wapi Fei Toto akicheza mpira hadi amuite timu ya Taifa na kumpa nafasi ya kucheza mechi ya ushindani kama Ile? Kapombe na Shabalala waliongezwa kwenye kikosi na nani kwasababu zipi? Kikosi kilichocheza kule Misri kilikuwa na madhaifu gani yaliyowahitaji...
  19. The Boss

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars, kwanini tunataka kuvuna bila kupanda?

    Kila mara inapocheza Taifa stars huwa nashangaa jinsi watu wazima wenye akili wakiwa busy kusubiri kuvuna sehemu ambapo hatujawahi kupanda kabisa. Binafsi huwa sifatilii kabisa mechi za stars na huwa sishangai tukifungwa, hata kama tukiweza kubahatisha kwenda AFCON tutaenda kufungwa nyingi na...
  20. Execute

    JamiiForums Tanzania Nafasi anayocheza Samatta pale Taifa Stars awe anawekwa Kibu Denis

    Japo Kibu hana akili ya mpira lakini anakupatia kitu kinaitwa work rate. Yaani akiwepo uwanjani anakuwa na pilikapilika nyingi ambazo zinaweza kuleta matokeo chanya. Huyu Samatta ameshapitwa na wakati.. hana chochote anachoiongezea timu awapo uwanjani.. Kibu anaweza kufanya link ya viungo...
Back
Top Bottom