taifa stars

The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men's international football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania, Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and theirhead coach is Kim Poulsen from Denmark. They are colloquially known as the Taifa Stars. Tanzania has never qualified for the FIFA World Cup. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team, The team represents both FIFA and Confederation of African Football (CAF).
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taifa stars na The Cranes watacheza mechi yao Ismailia, Misri?

    Wachambuzi ashakumu si matusi, twambieni The cranes watakuwa nyumbani dhidi ya taifa stars,kwanini mechi imepelekwa Misri? Kuna shida gani Uganda?
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kocha Taifa Stars ajuta kuwaacha Kapombe, Shabalala

    KOCHA TIMU YA TAIFA, ANAWAULIZA NINI? 1. Kocha timu ya taifa, anawauliza nini? Si wa timu ya taifa, anawaambia nini? Vipi hamko Taifa, au kwamba kuna nini? Mpira wa Tanzania, tunaujua wenyewe. 2. Hao wachezaji bora, wengine hawafanani, Kwenye namba zao bora, wakiwapo uwanjani, Kuwa Taifa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Muda wowote tegemeeni Taarifa ya Kapombe na Hussein kurejeshwa Taifa Stars

    Kinachochelewesha tu Taarifa yao kutolewa ni jinsi gani Waliowaacha watahimili aibu na chuki zao Binafsi dhidi ya hawa Mabeki Wawili wa pembeni Shomary Kapombe na Mohammed Hussein Tshabalala. No Upumbavu na Uwendawazimu uliovuka mipaka kwa Wachezaji Wakubwa, Wanaocheza Michuano mikubwa ya...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Baada ya 7, Kocha wa Taifa Stars awaomba msamaha Zimbe na Kapombe

  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kocha Cedric Kaze aitwa kuongeza nguvu Taifa Stars, Yanga yampa baraka

    Kocha wa timu ya taifa Taifa Stars, Adel Mrouche amepewa nafasi ya kuchagua wataalamu 4 atakaoambatana nao kwenye timu ya taifa kama sehemu ya benchi lake la ufundi, Kocha huyo amependekeza jina la kocha msaidizi wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze kuwa chaguo lake la kwanza. Ikumbukwe Cedric Kaze...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa kutowaita Kapombe na Tshabalala Taifa Stars na kuita Wengi wa Yanga SC naiombea Laana ifungwe

    Yaani Mabeki Kapombe na Tshabalala wanaopambana Klabu Bingwa Wanaachwa na Kuitwa Mabeki wanaocheza Shirikisho? Halafu unaita Wachezaji wa Yanga SC Sita huku wa Timu inayoshiriki Klabu Bingwa Afrika Simba SC ukiita Wachezaji Watatu tu na unadhani hakutokuwa na Shida? Tafadhali GENTAMYCINE...
  7. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars ametumia vigezo gani kumuacha Kampombe, Zimbwe, Mzize na Sure Boy na kuita kikosini wakalia benchi?

    Salaam, Binafsi nimeshangazwa sana na uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, ambapo nimeona wachezaji ambao wapo kikosi cha kwanza kwenye timu zao (regular players) wameachwa haswa niliotaja hapo juu. Sio hivyo tu wachezaji hao timu zao zipo kwenye mashindano ya kimataifa wakiwalisha timu zao lakini...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Fei Toto aitwa Taifa Stars katika kikosi cha wachezaji 31

    Picha: Fesal Salum 'Fei Toto' Kocha wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Adel Amrouche amemuita kikosini kiungo Feisal Salum katika michezo miwili ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda. Picha: Majina ya kikosi kilichoitwa Katika kikosi hicho cha wachezaji 31 kocha Amrouche amewaacha mabeki wa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Aliyeshauri Serikali imlipe Kocha wa Taifa Stars ni Mhujumu Uchumi asie na nia njema na Maendeleo ya Michezo!

    Moja ya mambo yatakayotuchelewesha sana kama taifa, ni kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu. Unaanzaje kuingia gharama ya kumlipa kocha mamilioni ya pesa za kigeni huku ukijua fika kwamba aina ya wachezaji unaozalisha ni hafifu na uhafifu huo hauwezi kuondolewa na Kocha wa Timu ya Taifa...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali kumlipa Mshahara kocha wa Taifa Stars

    Waziri wa Utamaduni, Sana na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza mchezo wa Soka nchini itamlipa mshahara mwalimu wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Adel Amrouche ambaye ni raia...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mbeligiji Adel Amrouche (58) ateuliwa kuwa kocha Mpya Taifa Stars

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linamtangaza Adel Amrouche (58) kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars. Kocha Amrouche raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Algeria ana uzoefu mkubwa na soka la Afrika baada ya kufundisha klabu na timu za taifa katika ukanda Kusini, Mashariki, Kati na...
  12. adriz

    JamiiForums Tanzania Jezi za Taifa stars kutolewa hovyo kama njugu bila uwoga wowote tuhesabie ni upigaji?

    Moja kwa moja, Barabarani na kwenye nimekutana na Jezi tofauti za Taifa stars Og zaidi ya ishirini na kitu ndani ya msimu mmoja za aina tofauti tofauti kinyume na zile rasmi zilizotambulishwa na Tff kwa matumizi ya wachezaji na mashabiki wa Taifa stars. Jezi zenyewe ni hizo hapo chini...
  13. Tango73

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa TFF lini mtaipeleka taifa stars fainali za world cup?

    Nashangaa kuona TFF haina wivu wa maendeleo, Kama nchi masikini kama senegal, togo na Cameroon zinaweza kwenda world cup finals vipi Taifa stars ishindwe?hii inaonesha kwa jinsi gani viongozi wa TFF hawsivyo na mikakati ya maendeleo vichwani waingiapo madarakani. Iweje walipwe mishahala minono...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars ingecheza Kombe la Dunia tungefungwa hata goli 10 kwa mchezo mmoja, mpira wanaoupiga Wazungu ni hatari

    Naangalia mpira wa Australia dhidi ya Ufaransa, kwa hakika huu mpira 'formula' yake hapa Afrika hakuna. Yaani jamaa kama wanapigana vita. Sisi tubaki kushangilia Simba na Yanga tu. Mpira bado sana.
  15. Dr Ahmed Albah-Shahwa

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars, Robo Fainali na Dona - World Cup 2022

    Wataalam, Niipongeze Taifa Stars kushiriki na kuonyesha uzalendo na ushindani katika michuano ya kombe la dunia ingawa kuna mapungufu mawili matatu yanayosahihishika ni hatua kubwa kwa timu na serikali kwa ujumla tunajua huu ni mwanzo wa maendeleo mapana yajayo, tuizungumzie timu yetu; Hali...
  16. Tango73

    JamiiForums Tanzania Taifa stars mtadi wa huzuni kitaifa mpaka lini?

    Leo tumetolewa na Uganda mashindanoni,kabla yahapo tulitolewa na Zaire katika mashindano ya World cup mchujo, miaka ishirini ilopita tulitolewa na Burundi kufuzu Afcon kabla ya hapo tuliwahi kutolewa na Rwanda kufuzu world cup ligi, hii haibu na huzuni kitaifa mbona haihojiwi bungeni? TFF...
  17. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Taifa Stars iitwe Mandonga Stars

    Kwanza nimefurahishwa sana na matokeo ya leo kati ya timu ya Uganda na Taifa Stars. Kwanini Taifa Stars tusiite Mandonga Stars jamani kwa matokeo makubwa zaidi?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mkipanga hiki Kikosi changu MINOCYCLINE Leo Taifa Stars anashinda 3-1 au 2-0 hivyo Kazi Kwenu mlioko Kampala Uganda.

    1. Aishi Manula 2. Kibwana Shomary 3. Mohammed Hussein 4. Dickson Job 5. Kennedy Juma 6. Jonas Mkude 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum 9. Anwar Jabir 10. John Boko 11. Farid Mussa Tafadhali wanaoanza wawe hawa niliowataja na baadae waingizwe akina Lyanga, Sopu, Mwamnyeto, Kibu na Tepsi...
  19. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Kongole TFF: Uchungu wa mwana aujuae mzazi

    TFF nawapongeza kwa kuamua kutumia wazawa kukinoa kikosi chetu Cha timu ya Taifa. Mtu chake. Mtoto wako ni wako hata akiwa na sura mbaya. Ninaimani na walioteuliwa. Tuwaunge mkono kwa hali yoyote ile, watatuvusha. "MECKY TAFADHALI MRUDISHE YONDANI NA NYONI KIKOSINI utakujanishukuru."
  20. Moshi25

    JamiiForums Tanzania Kim Poulsen wamemtimua Taifa Stars?

    Kim Poulsen wamemtimua kufundisha timu ya wakubwa Taifa Stars but it is too late! Tumepigwa nyumbani mechi muhimu sana Algeria na Uganda wakamalizia kwenye mshono! Nilizungumza sana kocha hatufai huyu TFF hawakusikia wanamtimua kumekucha! TFF wamuombe Prof Nabi asaidie benchi la Taifa Stars...
Back
Top Bottom